Viongozi boresheni miundombinu Majimboni kwenu. Msingoje mpaka Ziara ya Rais ndio mshtuke!

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,836
4,587
Habari,

Kumekuwa na tabia ya viongozi wengi wa kisiasa katika ngazi za mikoa (majimbo) mbalimbali kufanya marekebisho ya miundombinu ya jimbo lao wanaposikia Rais atapita maeneo yao. Viongozi hawa wamekuwa wakimwaga na kusawazisha vifusi barabarani, kufanya ukarabati wa kuzuga ili kumuaminisha Rais kwamba kazi inafanyika vizuri.

Tabia hii imekuwa inawakera sana wananchi, kwani viongozi hawa wamekuwa wakifanya kazi kumfurahisha mtawala na kusahau majukumu yao kwa wananchi.

Inakera sana.
 
Tabia ni kama ngzozi.
 
Back
Top Bottom