Search results

  1. Gulio Tanzania

    Maisha ni mafupi ila vijana tujitahidi kutunza pesa

    Vijana tujitahidi kutunza pesa kuna magonjwa,Kuna ajali Kuna uzee vijana wanatembea na msemo wao wanaosema kuwa wanaokula ujana maisha ni mafupi ukiwakuta huko sehemu za starehe wanakunywa pombe kifo sio jambo rahisi hivyo kuondoka duniani hiyo yote watu hawapati muda wakutembelea wagonjwa...
  2. Gulio Tanzania

    Tusitegemee nyomi za watu kwenye mikutano uchaguzi mkuu ujao

    Kutokana na hali ya ukuaji wa matumizi makubwa ya mitandao habari zimekuwa zinafika kwa wakati hali hii mpaka tufike uchaguzi mkuu sizani kama nyomi zile tulizoziona chaguzi zilizopita zitaweza kuamua nani anakubalika au nani hakubaliki hii nimetoa kama angalizo kwa wale jamaa wakijani...
  3. Gulio Tanzania

    Mafanikio huwa yanaanza na watu kuanza kujali usafi na utunzaji wa mazingira

    Kuna siri kubwa katika kujali usafi na utunzaji wa mazingira yanayotuzunguka ardhi inanguvu kubwa sana tangu kuumbwa kwa adam na Eva waliwekwa kwenye bustani ya Eden bustan safi yenye kupendeza na kuvutia hili ndilo lilikuwa kusudio la Mungu binadam waishi katika mazingira yanayopendeza na...
  4. Gulio Tanzania

    Simu za maduka ya tigo na utapeli wa ofa za mb

    Mwezi huu wa tatu nilienda kumnunulia mdogo wangu simu kwenye duka la tigo nilishawishika kununua simu Ile sababu ya ofa ya kupewa gb kadhaa kwa mwaka lengo langu zile GB zimsaidie kuongeza maarifa kwenye masomo yake ishu ikaanza pale pale kupewa gb pungufu nikauliza kwanini ila nikaambiwa kila...
  5. Gulio Tanzania

    Kuna shida gani? Vijana wengi wanaohitimu wa kozi ya IT hawawezi kutengeneza website

    Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa nataka niwape wafanye lakini naona wameshindwa walikimbia kuifanya Kazi yangu Ahadi nyingi nitafanya...
  6. Gulio Tanzania

    Kijana acha kunywa pombe za bei rahisi

    Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazolewesha haraka kama sungura, master, jogoo nk. Ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi kufanikiwa kimaisha, hizi pombe zinapunguza uwezo wa kufikiria Kuna wengine wanakunywa hizi pombe za...
  7. Gulio Tanzania

    Kuna utapeli mpya umeingia nchini wanaigeria kuweni makini

    Kuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe🤣🤣 Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu maisha kupewa fursa ya task akahisi ni Mungu amemshushia neema kutumiwa pesa za bure kumbe wajuba wapo kazini nao...
  8. Gulio Tanzania

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko...
  9. Gulio Tanzania

    Soma biblia kama mwanafunzi anayejiandaa kufanya mtihani

    Habari zenu wadau nimewaletea somo hili muhimu kwa wale wote wakristo kwa lengo la kufundishana na kukukumbasha ili sote tuweze kutenda sawa sawa na maandiko yanavyotutaka Biblia inafundisha kila kitu katika maisha yetu haya tunayoyaishi Biblia inatufundisha kufakari neno la Mungu usiku na...
  10. Gulio Tanzania

    Kufanya mauzo makubwa sio kupata faida

    Nilikuwa najiuliza kwa muda mrefu kwanini hizi biashara za mtaani kwanini hazikui kwanini watu hawatajiriki nyingi zinakufa Biashara hizi zilizopo mtaani Maduka ya vitu vya rejareja Maduka ya vipodozi Wachoma chips Migahawa Maduka ya dawa nk Kwanini sasa biashara hizi watu hawatajiriki au...
  11. Gulio Tanzania

    Kwanini watanzania wengi huwa hawakubali kuwa kuna watu wanafanikiwa kihalali?

    Ni jambo la kushangaza kwa watanzania wengi sio watu kukubali pale mtu anavyofanikiwa kimaisha lazima mtu azushiwe jambo lolote ataitwa mchawi, tapeli, anafanya biashara haramu ukisamehewa kidogo utaambia unasaidiwa na familia ili ionekane uwezo wako ni mdogo kwamba hauna tofauti na wao...
  12. Gulio Tanzania

    Misemo iliyoanza kutrend hapa JF na kuwafikia watanzania wote

    1. Single mother Watanzania wengi walikuwa hawajui single mother ni nani 2. Wanaume wa dar 3. Mizagumuo 4. Kataa ndoa 5...
  13. Gulio Tanzania

    Vijana ni kundi lililotengwa na uongozi

    Teuzi tunazoziona kila siku watu ni wale wale mbaya zaidi viongozi wengi wanaoteuliwa ni wazee hii inamaanisha Nini wadau? Swali je vijana hawatoshi kwenye nafasi hizo wazee hawa tumekuwa nao kwenye uongozi kwa muda mrefu lakini hatujaoni ufanisi Wazee Hawa waliwaaminisha watanzania kuwa wao...
  14. Gulio Tanzania

    Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

    Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani Kilichonisikisha mwaka huu vyombo vya dola kuendelea na zoezi hili la kukamata watu wanaokula mchana ni jambo baya sana halileti afya kwa...
  15. Gulio Tanzania

    Hii ndiyo sababu kwanini mtaji wako unashindwa kukua

    Habari zenu wadau Leo nimekuja hapa nataka niwashirikishe sababu zinazofanya biashara nyingi kushindwa kukua na Nini cha kufanya ili biashara yako ikue Nipo kwenye biashara kwa muda mrefu Kuna mengi nimejifunza kipindi naanza biashara nilikuwa nayumbisha sana mtaji mtaji kushindwa kukua Kuna...
  16. Gulio Tanzania

    Facebook bado ni mtandao muhimu sana duniani

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook Hali ambayo nimeona ni tofauti sana huko duniani kwa mabara ya ulaya na Asia wengi wameendelea kuutumia kwa manufaa makubwa Kuna kitu...
  17. Gulio Tanzania

    Kijana kama ni bachela acha na hizi starehe utafanikiwa sana

    Kuna haya mambo nimeyaona kwenye jamii ya vijana wa sasa wanayakosea sana bila wao kujua ama kujua hapa naongea na vijana ambao wapo siriazi kujenga maisha yao ya kesho Ugumu wa maisha umesababisha watu kuwa na stress sana hivyo kupelekea watu wengi kukosa utulivu wa akili Ushauri wangu kwa...
  18. Gulio Tanzania

    Mkoa niliopo naona jamaa zangu wengi wanaukimbia

    Kuna mabadiliko nimeanza kuyaona mkoa niliopo tangu mwaka 2020 rafiki zangu wengi wameukimbia mkoa huu sijui shida ni nini washkaji zangu hata wakubadilishana mawazo sina nimebaki na machawa tu wale wazee wa "oya we unabuku hapo" Mwaka mpya nikaenda kumsalimia jamaa yangu hatujaonana kitambo...
  19. Gulio Tanzania

    Kampuni gani ni bora kwa huduma za web hosting Tanzania?

    Habari zenu wadau Nimekuja hapa nahitaji muongozo wenu nijue kampuni gani inafaa za hii huduma web hosting hapa Tanzania Ninataka nifungue site yangu kabla sijakulupuka nimeona ni vyema nipate muongozo
  20. Gulio Tanzania

    CHADEMA mpaka sasa sielewi mipango yao uchaguzi mkuu ujao

    Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
Back
Top Bottom