Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,234
- 4,762
Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa nataka niwape wafanye lakini naona wameshindwa walikimbia kuifanya Kazi yangu
Ahadi nyingi nitafanya nitafanya mwisho mtu hapokei simu
Ahadi nyingi nitafanya nitafanya mwisho mtu hapokei simu