Search results

  1. X_INTELLIGENCE

    Niagize chochote Dubai

    Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi! Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye...
  2. X_INTELLIGENCE

    Ajira za Madereva TAESA

    kuna hii fursa imejitomeza huko TAESA, nimeona nisiwe mchoyo ni waletee humu ili MADEREVA wenye vigezo mkajaribu bahati yenu hii fursa bwana ni mkataba wa mwaka mmoja. kama upo Dar es salaam hakikisha unaenda kwenye ofisi za TAESA wanazo ajira za udereva wanahitajika madereva wengi sana. Uwe...
  3. X_INTELLIGENCE

    INAUZWA Pikipiki boxer BM 125 inauzwa

    kimfaacho mtu chake sindio wanajamiiforums enh nina uza pikipiki yangu aina ya Boxer bm 125. pikipiki hii imetengenezwa mwaka 2022 ikasajiliwa hapa Tanzania mwaka 2023 hivyo ina mwaka sasa tokea ianze kufanya kazi. nilikuwa naitumia kwendea kazini tu. na vijisafari vidogo vidogo. hivyo sijawahi...
  4. X_INTELLIGENCE

    Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

    Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia. Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia...
  5. X_INTELLIGENCE

    Ushauri kwa mnaohitaji misaada mbali mbali mtandaoni/popote

    Kuna tabia mimi binafsi niseme tu ina kera sana. Mtu humjui akujui anakutumia kimeseji "Mambo mkuu" ujumbe kama huo una kera sana. Kwa kifupi ndugu zangu tunaotafuta fursa tujitahidi sana kuwa straight to the point. Unahitaji msaada wowote kwa yeyote jitahidi uende straight kwenye point kuna...
  6. X_INTELLIGENCE

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kitunda, Dar es Salaam

    Kiwanja kinauzwa KITUNDA DAR ES SALAAM, kiwanja hiki ni kikubwa mita 30*40 bei milioni 23 tu...! Unaweza ukajenga nyumba 2 za wastani... na car parking kidogo ikabaki. Barabara ya mtaa inafika hadi kilipo kiwanja. Kiwanja hiki kipo karibu kabisa na barabara ya Lami kama hatua 700 hivi kutoka...
  7. X_INTELLIGENCE

    Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

    Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana. Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae WS INSIGHT kampuni zote hizi ni za ulinzi ambazo kwa hapa nyumbani ndizo zenye malipo mazuri...
  8. X_INTELLIGENCE

    Ni mtu gani maarufu ulitamani ukutanae lakini kabla hujakutana nae alikufa. Je, unge mwambia nini...?

    kipindi naifahamu Facebook, rafiki yangu mkubwa alikuwa Marehemu Steve Kanumba....na nina uhakika alikuwa ni yeye haswa maana kuna matukio ambayo alikuwa anaya post yalikua real kabisa ya muda huo huo. Nilikuwa nikichat sana na Kanumba na kiujumla alikuwa social sana kwa hilo namsifu sana...
  9. X_INTELLIGENCE

    Rais Samia jukumu la kuwafanya Watanzania wakukumbuke kwa wema lipo mikononi mwako

    Awali ya yote Rais Samia Suluhu Hassan nikupongeze kwa kibarua kizito ulicho nacho cha kuhakikisha Tanzania na Watanzania tunapata maisha bora. Wapo wanao kubedha, wapo wanao kukejeli, lakini tupo tunao kupenda kwa dhati ambao ukizungumza sauti yako inapenya hadi ndani uvunguni mwa mioyo yetu...
  10. X_INTELLIGENCE

    Ushauri kwa mliopo JKT wa kujitolea (WAZALENDO)

    Ndugu zangu kwanza niwapongeze sana kwa moyo wenu wa pekee wa kutamani kwa dhati kabisa kuitumikia nchi yetu richa ya JESHI LA KUJENGA TAIFA kujidhatiti dhahiri kuwa awatoi Ajira😭😭😭 Kitendo cha JKT kutoa Rai kuwa awatoi Ajira huo ni kama mchujo wa kwanza tunaita🤣🤣🤣🤣 kwa ambae hatolizika maana...
  11. X_INTELLIGENCE

    Naongea na Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko. nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku. nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite...
  12. X_INTELLIGENCE

    Wamiliki wa vyombo vya usafiri tujitahidi kuzingatia matengenezo ya vyombo tunavyovimiliki

    Ndugu zangu jana nilipata Ajari na pikipiki yangu nikiwa na abiria wangu {pole sana boss lady hope unendelea vizuri} ajari hiyo niliipata pale Sinza africa sana...kuna gari ilipoteza break ikagonga bajaji, bajaji ikapoteza uelekeo nikajikuta nagongana nayo uso kwa uso.😭😭😭 Ndugu zangu wamiliki...
  13. X_INTELLIGENCE

    Ndoa za wake wengi ni mateso sana kwa watoto/ wake

    Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la jamhuri ya Tanganyika. Mimi ni muumini wa dini ya kiislam Ambae Kwa kiasi Fulani naweza kusema Imani yangu imeteteleka kutokana na baadhi ya matendo ya watu wa Imani ambao nilikuwa na waamini sana ila mwisho wa siku wanafanya mambo kinyume na maelekezo ya Dini...
  14. X_INTELLIGENCE

    Najuta kumtia umasikini Mama yangu

    Mimi ni kijana Ambae nimezaliwa mwanzoni mwa mwaka 1990. Hapa hapa kwenye jiji la MAKONDA. Japo Baba na Mama yangu Kila mmoja ni mwenyeji wa mkoa wake. Mama yangu alibahatika kusoma Hadi darasa la 7. Alifanikiwa kusoma typing enzi hizo ilikuwa hot sana kozi hiyo kama ilivyo computer siku hizi...
  15. X_INTELLIGENCE

    Ushauri kwa vijana ambao hamjawahi kuajiriwa

    Awali ya yote nawaomba wapambanaji wenzangu ambao kwa namna moja ama nyingine mmesoma au kusomeshwa na ndugu, jamaa ama mataasisi mbali mbali, wengi wetu tumekuwa na matarajio makubwa sana pindi tulipokuwa vyuoni, tulikuwa tunajiona kwa picha mbali mbali za kufikilika, unajiona ukiwa unazunguka...
  16. X_INTELLIGENCE

    Msaada kupata uzoefu kuendesha Semi, semitrella n.k

    Ndugu zangu kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza, kijana wenu nimerudi tena najua hapa jamiiforums ni junguu kuu lisiloisha ukoko, ambamo ndani yake Kuna watu wa Kariba na hali tofauti tofauti. Nipo mkoani Dar es salaam kwasasa. Nilipambana nikasoma udereva wa awali hivyo kuendesha gari...
  17. X_INTELLIGENCE

    Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki aina ya Boxer, CC 125

    Ndugu wanajamvi nategemea kwenda Shinyanga nikitokea Dar es salaam kwa Piki piki boxer cc125 mwenye uzoefu itakuwa vyema ukanisaidia. Nataka kujua mafuta naweza kutumia kiasi gani. Je, nijiandae kwa changamoto gani barabarani pikipiki hii ninayotaka kuitumia ni mpya. na nina tegea kwenda na...
  18. X_INTELLIGENCE

    Uchaguzi ujao ni kizungumkuti nguo kuchanika

    Ndugu zangu Watanzania, Kila nikiutazama uchaguzi ujao haki vile nabaki mdomo wazi. Mimi ni shabikia mkubwa sana wa serikali iliyopo madarakani. Nampenda sana Rais SSH. na katika ndoto zangu ninazoota naamini ipo siku nitapeana nae mkono🙆{sijui kama ndoto hii itatimia🤣🤣🤣} Lakini Kila nikitazama...
  19. X_INTELLIGENCE

    Wazee wa zamani mlijua kutunyoosha

    Mimi ni kijana Ambae Kwa kiasi kikubwa asilimia 75 ya maisha yangu Hadi kufikia hapa nilipo fikia nimelelewa na mababu zangu, na toka enzi hizo Hadi hivi sasa nathamini sana mawazo ya wazee na Huwa nayaenzi Kwa vitendo {alale mahali pema peponi BABU yangu}. Leo nataka niwape Siri ya ile LAANA...
  20. X_INTELLIGENCE

    Tusipo badili aina ya uongozi Tanzania inaenda kufilisika na kuwa ombaomba {fallen empires}

    Ndugu zangu Huwa nakaa nakuwaza hivi kweli hii nchi sisi Watanzania ni yetu kweli au Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia, kwani Kwa yanayoendelea ni kama vile nchi yetu inaongozwa na watu wasiokuwa na huruma hata kidogo. Kiongozi atakacho kiamua yeye hata kama akina baraka za Wananchi...
Back
Top Bottom