Ajira za Madereva TAESA

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,692
12,286
kuna hii fursa imejitomeza huko TAESA, nimeona nisiwe mchoyo ni waletee humu ili MADEREVA wenye vigezo mkajaribu bahati yenu hii fursa bwana ni mkataba wa mwaka mmoja.

kama upo Dar es salaam hakikisha unaenda kwenye ofisi za TAESA wanazo ajira za udereva wanahitajika madereva wengi sana.​

  1. Uwe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea...!​
  2. Uwe na uzoefu wa kuendesha magari makubwa kuanzia miaka 5,​
  3. Uwe na Leseni ya class E.​

Screenshot_20240426-102206.jpg

muende kwa wingi mwambie Dereva mwenzako amwambie dereva meenzie, Jumatatu hii 29/4/2024​
 
Taesa hii hii Tunayoijua ama nyingine? Hahahha nicheke kwanza. Hii Taasisi imekuwa kinara kuwakatisha wahitimu na vijana Tamaa ya maisha badala ya kusaidia Vijana. Huku sekta ya kazi na Ajira ikiendelea kuchafuka.

Wengi ninaofahamu waliokamilisha Usajili wakapatiwa interviews na wengine kupatiwa Trainings wametelekezwa huku Taasisi na Sekta za umma na binafsi zikiwa na upungufu mkubwa wa Rasilimali watu.
 
Upo sahihi kabisa mkuu, mimi ni miongoni mwa watu hao, nimefanya kila kitu mpaka interview zao toka January mpaka leo hakuna lolote
 
Ninamsihi sana sana kaka yangu Cyprian Luhemeja na waziri mteule au mpya wa sekta ya kazi vijana Ajira na watu wenye ulemavu haswa vijana na ajira, kuimulika sana sana hii taasisi kwa jicho la Kizalendo na Utu. Wakiwa kama Rika moja na vijana wenzao ili kubaini uozo na madudu yaliyomo katika Taasisi hii ambayo walikuwa kitengo sasa wanapigania na kujinadibu kuwa mamlaka wakilenga kupatiwa Fungu kubwa zaidi huku wakiwa vinara wa kukatisha vijana wasomi Tamaa za maisha.

mkuu Mtu mbadi shida ni Upendeleo, na kutowajibika kikamilifu. Mbaya zaidi asilimia 90 ya Ofisi hii ni Rika la vijana. Inasikitisha na kufedhehesha sana.

ina
 
Mkuu acha tu yaan Taesa ni scan tu hamna chochote si internship wala ajira wanaweza kutafutia
 
Back
Top Bottom