INAUZWA Pikipiki boxer BM 125 inauzwa

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,726
12,342
kimfaacho mtu chake sindio wanajamiiforums enh nina uza pikipiki yangu aina ya Boxer bm 125. pikipiki hii imetengenezwa mwaka 2022 ikasajiliwa hapa Tanzania mwaka 2023 hivyo ina mwaka sasa tokea ianze kufanya kazi.
IMG_20230406_101539_180.jpg

nilikuwa naitumia kwendea kazini tu. na vijisafari vidogo vidogo. hivyo sijawahi kuifungua engine kabisa.

haya kutokana na malalamiko ya member humu kuwa bei kubwa sana hivyo nimeshusha bei...

mwenye ako na tsh 1,900,000/= aje nimpe pikipiki

ipo DAR ES SALAAM... Mkoa wowote inakufikia...!

mawasiliano 0759170794​
 
kimfaacho mtu chake sindio wanajamiiforums enh nina uza pikipiki yangu aina ya Boxer bm 125. pikipiki hii imetengenezwa mwaka 2022 ikasajiliwa hapa Tanzania mwaka 2023 hivyo ina mwaka sasa tokea ianze kufanya kazi.
View attachment 2960200
nilikuwa naitumia kwendea kazini tu. na vijisafari vidogo vidogo. hivyo sijawahi kuifungua engine kabisa.

bei ni 2.4 milioni not open for negotiation 🙏🙏🙏🙏

ipo DAR ES SALAAM... Mkoa wowote inakufikia...!

mawasiliano 0759170794​
Ina mana mwez mzima imefanya kazi imelipwa elfu kumi tu?. Mbona umeipunja mshahara yani mwaka mzima umeilipa laki 3 tu?
 
Mkuu prince mhando huwa unauza vitu kwa bei ya juu niliona kuna nyumba unauza maeneo ya kitunda aiseee ile nyumba bei yake ni kisu.
Sasa naelewa kwann vtu havitoki, yaani kwwli boxer mpya ni 2.6 mpka 2.5 wewe unauza 2.4M upo serious kwwl?
 
umeenda dukani hivi karibuni...? au unazungumzia bei za miaka 3 iliyopita... yani hivi sasa boxer 125 bila m3 huwezi kupata
 
twende nikupeleke kwa wahindi 2.7 mpya wewe unauza 2.4 na ushaitumia.
Sema sawa ni chako tu. Ile nyumba ya kitunda vipi ilishapata mtu?
ndio mkuu haikuwa nyumba ni kiwanja... nilipata mteja humu humu... kwa bei ile ile sikupunguza hata mia...!​
 
umesahahu kama tuliongea na nikafika bado kiwanja kipo lile eneo. Au umesahau ndugu yangu ukanipa na mawasiliano?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom