Search results

  1. profesawaaganojipya

    Ipi kampuni bora ya bima ya magari kati ya hizi?

    Wakuu, kati ya kampuni hizi hapa ipi ni bora kwa ajili ya bima ya gari?
  2. profesawaaganojipya

    Dawa ya kuzuia magari madogo kuoza, kwa Dar

    Eti wamiliki wa magari madogo kwa DSM, hivi ni gari langu tu nasumbuliwa na kuoza na kupata kutu kwa body, reli za vioo vya madirisha kuoza, milango kwa ndani, katikati na sehemu nyingine au kuna mwingine ana tatizo kama hili. Je dawa yake ni nini wakuu, milango ya corolla runx imeoza sana...
  3. profesawaaganojipya

    Iran imepiga hatua kubwa kwa zana za kivita

    Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita. Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea umbali wa km 2000,na kuruka futi 35000 toka usawa wa bahari. Jambo hili limemuuzi sana USA na...
  4. profesawaaganojipya

    Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Wadau wiki mbili zilizopita, dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua China plaza. Walipompeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka. Juzi rafiki yangu, google pixel 7...
  5. profesawaaganojipya

    TV inaonesha battery charge 100%

    Wakuu, nimenunua TV ya kichina mpya, iko vizuri tu. Ila cha ajabu kwenye kona juu kulia, inaonesha alama ya battery na 100%, sijui inamaanisha nini?
  6. profesawaaganojipya

    Ni dawa gani niitumie kutibu uvimbe kwenye haja kubwa

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Wakuu ni dawa gani inaweza kutibu viuvimbe na vidonda sehemu ya haja kubwa,na wakati wa kujisaidia damu inamwagika na maumivu makali, pia vinawasha sana. Ni dawa gani ninunue dukani inayoweza kunisaidia.
  7. profesawaaganojipya

    Msaada; Tv za kichina nzuri ni zipi?

    Naomba kuuliza kwa mafundi na wajuzi, ni TV aina ipi za kichina ni nzuri au zina afadhali, kwa ubora, uimara, picha nzuri nk kushinda nyingine maana nasikia nyingine hazitimii hata zile inches za upana wa kioo. Kuna MEWE, ALYONS, STAR ONE, STAR X, RISING, TCL, ALITOP, SOLAR MAX NK
  8. profesawaaganojipya

    Msaada: Kuondoa utelezi maji ya mvua

    Wakuu, kutokana na maji ya bomba ya dawasa kutoka kwa muda wa lisaa limoja tu kwa kila miezi 3, nimeona nihifadhi maji ya mvua Tatizo yana utelezi fulani mwilini mimi napooga, je njia rahisi ya kuondoa huo utelezi ni ipi? Msaada tafadhali.
  9. profesawaaganojipya

    Chimbo gani naweza kupata bodi za gari ndogo kama Runx na IST?

    Wakulungwa, gari yangu bodi yake imechoka sana. Ni chimbo gani naweza pata bodi iliyokatika hali nzuri, na bei gani? Gari ni RUNX.
  10. profesawaaganojipya

    Buyuni sokoni toeni risiti za mashine kwa daladala

    Kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa daladala za 1.BUYUNI SOKONI-SIMU 2000 2.BUYUNI SOKONI-M/COMLEX 3.BUYUNI SOKONI-KIVUKONI. Wanalazimisha daladala zifike mpaka ndani ya soko wakati barabara ni mbovu sana,lengo wapate ushuru. Tatizo ni kwamba wenye daladala wanataka risiti za...
  11. profesawaaganojipya

    Naomba namba ya dharura ya LATRA/SUMATRA

    wadau naomba msaada namba ya dharura ya latra au sumatar mkoa wa dar es salaam,makondakta wanatukomesha sana..
  12. profesawaaganojipya

    Mke wangu kasema nafeli; je, nafeli wapi?

    Wakuu, Nilikatiwa kipande cha ardhi na kanisa, kwa makubaliano kwamba nijenge fremu halafu tutakatana kwenye kodi na makato yakiisha fremu itakuwa mali ya kanisa. Unapewa miezi 3 ya kujenga, hata kama hujamaliza fremu inaanza kusoma. Nilimaliza ujenzi ndani ya miezi tisa, nikaweka vifaa vya...
  13. profesawaaganojipya

    Kuagiza bidhaa China

    Wadau nataka kununua kifaa cha umeme online china,chenye thamani kama laki mbili,ni supplier yupi ni wa uhakika,na je anasafirisha mpaka tz,msaada please,kifaa kinaitwa INSULATION RESISTANCE TESTER(MEGGER).
  14. profesawaaganojipya

    Mafundi umeme wa magari msaada

    Taa za mbele(bim na full)zote haziwaki, lakini pass light zinawaka, indicator zote zinawaka,na hazard zinawaka, gari ni RUNX 2005,INZ,nimefanya yafuatayo 1. Pale kwenye fuse box ya engine slots za taa za mbele ziko empty,hazina fuse(HEAD RH,HEAD LH),ila fuse zingine zote nzima. 2. Relay ya...
  15. profesawaaganojipya

    Msaada haraka, kafungia funguo ndani ya gari na kalock milango

    jamaa kafungia ufunguo ndani ya gari na ka lock milango,na kapandisha vyoo vyote, gari ni runx, msaada tafadhali kwamafundi na wazoefu,afanyeje jamaa..
  16. profesawaaganojipya

    Maji kupungua kwenye rejeta, engine 1 NZ

    Wakuu, kila nikienda kazini na jioni kurudi home maji hupungua lita 1, engine haichemshi na mshale wa cooling uko katikati. Kwenda na kurudi ni km 60, tatizo nini wadau?
  17. profesawaaganojipya

    Ikiwa D, naendesha gari, inawaka R na kupiga alarm ya reverse, P indiketa ya kulia inawaka signal

    Wadau,engine ni 1NZ,nikiwa naendesha iko kwenye D,nikikanyaga breki inawaka taa ya R na alarm,pia taa ya indiketa ya kulia inawaka,ila safari inaendelea bila tatizo,je maji yameingia sehemu? Au waya zimegusana? Msaada tafadhali@jitumirabaminne..
  18. profesawaaganojipya

    Tatizo la gari za engine ya 1NZ kuji lesi ghafla ikiwa idle

    Kuna jamaa yangu ana IST, cc1490, 1NZ engine, akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu, halafu baada ya dakika 4, inashuka kuwa normal, shida nini wakuu? Msaada tafadhali.
  19. profesawaaganojipya

    Ford Everest Titanium 2022

    Msaada kwa wanaoifahamu, waliowahi kuendesha au hata kumiliki hii gari aina ya FORD EVEREST TITANIUM 2022. Kuna rafiki yangu anataka kununua hiyo gari 0 km anaulizia; 1. Upatikanaji spea hapa Tanzania 2. Uvumilivu wa barabara za rafu, anakaa dar ila atakuwa anaenda makete mara kwa mara 3...
  20. profesawaaganojipya

    Naomba ushauri kuhusu Gear Box oil ya 1NZ

    Mafundi msaada, eti gear box oil, mfano ya ist, unapima wakati engine imezimwa au iko on, naona mafundi wananichanganya sana. Msaada tafadhali.
Back
Top Bottom