Habarini ndugu,
Namshukuru Mungu niliomba
chuo kipo England (Norwich city) kinaitwa University of East Anglia (UEA) course niliyo kubaliwa Masters of science in Economics and Data science kwa mwaka mmoja. Napenda sana hizo mambo za uchumi, changamoto nimepata ufadhili pound £4000 ila...
Itoshe kusema Diamond Platinum ni Mkubwa sana kwenye mziki wa Afrika, tusimuchukulie poa tu kwa kuwa anatokea Tanzania.
TMA mmejitaidi kuandaa tuzo zenu changamoto ipo kwenye namna ya kuaandaa Category ili kuweza kuleta msisimko na hamasa kwa wadau wote wa mziki.
Mimi sipendi hizi timu za...
Yaani unakuta walimu wanakaa zaidi ya siku 11 kwa ajili ya usahihishaji pepa za NECTA means mitihani hasa kidato cha sita, ila kwa siku zote hizo za usahihishaji na kukaa nje ya kituo unakuta pesa anayopata haizidi 550,000. Sasa hii sio haki ukizingatia ugumu wa kazi yenyewe.
Masaa zaidi ya 12...
Simba na Yanga zinacheza tarehe 16/04/2023. Mechi ya Simba na Yanga au Derby ya kariakoo ni mechi inayoitaji akili, nguvu na utimamu wa mwili kuikabili mechi hii kwa timu zote mbili.
Wapizani wa Simba na Yanga pia wapo kwenye tension kubwa namna gani kuzicheza mechi zao na hizi timu ambazo kila...
Mpaka sasa wezi wa mabilioni ya shilingi za watanzania wapo uraiani wanajipongeza kuibia watanzania.
Watu wanaiba mabilioni ya shilingi halafu Rais anatukana, badala achukue hatua za KUWAACHISHA KAZI NA KUFILISIWA.
Rais ndo Amiri jeshi mkuu means ndo anatakiwa kuwa mstari wa mbele kupambana...
Tusiseme mengi ila kumbuka hakuna dora zilizokuwa na nguvu kama Ottoman empire, Roman empire, Greek, Egypt, Babeli chini ya vyama vyenye nguvu na ushawishi lakini viliporomoka mpaka mavumbini. CCM kuamini kwamba mtatawala milele huko ni kujidaganya mchana kweupe.
Chini ya CCM tunaona namna nchi...
Hii scholarship mwisho wa kufanya application ni 28/ 03/ 2023. Bado hujachelewa ku apply.
https://cscuk.fcdo.gov.uk/scholarships/commonwealth-distance-learning-scholarships-candidates/
Kwa namna scene za matukio vilivyopangiliwa kwenye wimbo wa Yatapita, now Diamond anaweza ku switch kunako kiwanda cha Bongo movie na akafanya vizuri zaid na kuinua tathinia hiyo kimataifa zaidi.
Imagine Diamond anaigiza movie kama hii;
Diamond (askali polisi) anayedhalaurika kazini, kitengo...
Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM.
Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana,
Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa...
Mara zote nimekuwa nikisia pesa inatoka Tanganyika kwenda Zanzibar. Mfano soma nukuu hii kutoka kwa rais wa JMT;
”Kwa mfano mwezi huu kulikuwa na vimaneno sijui hakuna pesa serikalini pesa kwasababu mikopo tulikopa imechelewa ya kufanyia kazi hizi lakini mbili kuna mikopo iliyo ‘mature’ kwa...
Kifupi Zanzibar hawatupendi wa Tanganyika kwa kudhani wao ni waarabu koko wa oman (fikra za kimaskini)
Sasa kuliko kuleteana shida huko mbele ya safari, naomba serikali ifikirie kuuvunja huu muungano kwa amani bila damu kumwagika.
Haiwezekani kero za muungano zinatatuliwa tu zile zinazo wa...
Now Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana, Kila Tv na radio habari yao ni moja tu "cheza ushinde kwa buku tu" hii inafikirisha sana. Inaamana Uchumi wetu umeporomoka sana kiasi kwamba kila mwananchi anavizia mchongo wa kamali ili kutimiza malengo.
Uchumi huru kwa wananchi hasa wa hizi nchi...
1. Kuinua na kuhimiza kilimo cha umwagiliaji.
Hiki ni kitu muhimu kutoka kutegemea mvua za msimu, serikali iweke na kuwezesha UKUAJI WA SEKTA YA KILIMO.
Tanzania tuna fursa ya maeneo bora ambayo sasa yametelekezwa kama mapori, yana udongo wa rutuba vyanzo vya maji ya mito na underground...
salama!
Niende kwenye mada kwa kuanza na maswali ya utangulizi.
Ni kwa namna gani unavyoshuudia idadi ya watoto wa kike wakipewa mimba na kutelekezewa watoto na waume zao?
Ni kwa namna gani vijana wa kiume wanakimbia suala la kuoa ( kuweka wake ndani) kwa kisingizio cha ugumu wa maisha?
Ni kwa...
Kabla sijafika miji mikongwe kama Bagamoyo nilijua ni miji ya kuvutia kwa makazi yaliyoboreshwa kumbe nilikuwa najidaganya.
Tuongelee mji wa Bagamoyo na makazi yake, yaani wingi wa nyumba za udongo na kuridhika kwa wakazi wazawa wa hapo kwenye huo mji.
Mji wa Bagamoyo una jina kubwa lakini...
Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais...
Kwa mujibu wa hotuba ya mh. Pius Msekwa katibu wa bunge kipindi cha kusaini hati ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar amedai kwamba baada tu ya muungano huo rais wa Zanzibar Mzee Karume alijihudhuru cheo chake cha urais na kuwa Makamo wa rais wa Kwanza wa JMT chini ya rais Mwl. JK...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.