watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Mapenzi Waliyokuwanayo Watanganyika kwa TANU na Julius Nyerere

    Hii video fupi naeleza nguvu ya TANU na Mwalimu Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimekusanya kiasi ya picha 50+ za Mwalimu kutoka Maktaba alizopigwa kati ya mwaka wa 1854 na 1961. Natafuta namna ya baadhi kuziweka hapa. Ukitazama hizo picha hapo juu na kusikiliza hii video...
  2. chiembe

    Tundu Lissu alishambuliwa na watanganyika, mzanzibari akaenda kumpa pole, aliwakimbia watanganyika, mzanzibari kamrudisha

    Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana. Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo...
  3. Nsanzagee

    Mimi ninaamini, nyuma ya migogoro mingi ya Muungano inayoibuliwa na Wazanzibar, kuna kitu kimejificha!

    Kero nyingi za Wazanzibar kuhusu muungano, huibuliwa na kuchochewa na wanao kaa nje ya Zanzibar yaani wapo Ughaibuni huko, sisi tulioko huku tutawaaminije kama hawakutani na kutumwa na maadui wa muungano wetu na wenye masilahi binafis? Badala ya kurahisisha tu kwamba muungano uvunjwe au wabara...
  4. GoldDhahabu

    Tanganyika na baraka za Watanganyika

    Japo hazina uthibitisho wa kuaminika, lakini kutokana na hali ilivyo, unaweza ukashawishika kuziamini. Maelezo ya mtu anayedai kuwa alikuwa Mwenyekiti wa wachawi wa Tanzania kabla ya kuachana nao mnamo mwaka 2000 ni kama ifuatavyo: 1. Tanzania inatawaliwa kwa msaada wa nguvu za kichawi. Kabla...
  5. R

    CHADEMA mnawafia, mnawatetea watu walio Kufa, tufufuke watanganyika tupaze sauti, TUANDAMANE serikali ijue kuwa sisi ndio wenye nchi

    Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui. Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji...
  6. Roving Journalist

    Rais Samia: Kero za Muungano 15 kati ya 18 zimeshatatuliwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kihutubia Taifa kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Pamoja na mambo mengine, Rais Samia amesema mojawapo ya sababu zinazofanya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar udumu ni uwepo wa tume ya pamoja...
  7. B

    Fatma Karume: Tatizo Watanganyika hawajitambui utaifa wao, sisi Zanzibar hatuwezi kufuta utaifa wetu

    Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo. Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha inafuata uTanzania. Lakini viongozi wa kutoka upande wa bara hasa hawa wa CCM na serikali yake...
  8. III II II II II

    Watanganyika ndio Wazenji halisi

    Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi! Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio wazanzibari orijino. Asili ya neno Zanzibar ni maneno mawili ya kiarabu. "Zanj" ikimaanisha 'watu...
  9. Mto Songwe

    Wazanzibari ni wazalendo wa nchi yao ila Watanganyika sijui tuna matatizo gani!

    Huyu mbunge ameongea jambo la maana sana juu ya mstakabali wa nchi yake ya Zanzibar ila alicho ambulia mitandao ni matusi, kebehi na dharau juu yake na kwa Wazanzibari kutoka kwa Watanganyika(Watanzania). Ni nini huko somo la uraia linafanya mashuleni juu ya Watanganyika mbona ni wapumbavu...
  10. Kiboko ya Jiwe

    Watanzania wengi ni wachawi, makinika

    DALILI kuu ya mtu anayeitwa mchawi ni kupata furaha, amani au raja moyoni pindi mtu hasa yule wa karibu naye anapopata matatizo. Kwanini nasema Watanzania wengi ni wachawi? Ni kwasababu Watanzania raha yao ni kuona watu hasa wa karibu yao wanakwama, wanafilisika, wanahangahika kusaka ajira...
  11. GoldDhahabu

    Mtanganyika wenzangu usiwe mwoga! Hizi zote ni fursa zinazokusubiria

    Najua wengine watakimbilia kusema "motivational speaker", lakini hata kama wote watakejeli, kejeli zao hazitaubadili ukweli ninaoenda kuuwasilisha! Kenya ndiyo nchi inayoongoza Afrika Mashariki kwa kusafirisha nje mboga na matunda. Lakini wakati huo huo, Tanzania ina eneo kubwa linalofaa kwa...
  12. tpaul

    Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

    Kauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa uzalendo umewashinda, hivyo wameamua kutoka waziwazi na kusema jinsi wanavyokandamizwa na muungano huu...
  13. Kanye2016

    Ajira za PBZ Bank kwa Watanganyika

    Habari, Majuzi kulitangazwa nafasi za ajira katika Bank ya PBZ Kupitia mitandao mbalimbali na pia kwenye website ya PBZ Bank. (Tangazo nime ambatanisha hapo chini). Kwenye tangazo wamesema wanataka wa Tanzania wenye sifa watume maombi ya kazi kujazia nafasi zilizoachwa wazi. Changamoto...
  14. Nyankurungu2020

    Uchaguzi 2025 isiwe sababu ya Rais Samia kumtumia Hayati Magufuli kama chambo ili kuwavuta Watanganyika wasiomkubali

    Naona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge. Eti atakuwa anasikiliza wananchi mmoja mmoja kero zao. Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema? Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Akaona...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Umeme na Sukari ni njia pekee ya mafisadi kuwaibia Watanzania. Hawatakubali kutatua tatizo hili

    Hata Bwawa la JNHP likamelike na kutoa Mw 2100 bado watafanya mchongo kuliibia taifa. Mfano watatengeneza mgawo na kupiga kupitia hata ukarabati wa njia. Japokuwa unatakiwa kuwa endelevu. Sukari huwa dili la mafisadi wa CCM na wafanyabiashara wakubwa ambao uhaba ukiwepo huagiza Sukari kwa bei...
  16. Zanzibar-ASP

    Watanganyika msilalamike sana kuhusu Zanzibar, tumieni akili kuufukia huu muungano!

    Haihitaji nguvu kubwa sana kumalizana na hizi kero za muungano wa kiajabu kiajabu wa Tanganyika na Zanzibar, ni Akili kubwa tu inatosha sana kuufukia huu muungano baada ya miaka mitano tu, hizi blah blah za muungano zitatoweka na hazitafufuka tena. Na hapa nitawapa mbinu chache za kiakili tu...
  17. BICHWA KOMWE -

    Watanganyika wanaogopa maandamano: Virungu vya polisi ni vikali

    Famchezo nini!! Ukinyukwa kirungu cha ugoko lazima utoe gesi kwa mkupuo. Historia inaonesha watanganyika wanaogopa matokeo ya maandamano kuliko maandamano yenyewe. Mwaka 2018, Bwana Mbowe aliitisha maandamano lakini akaambulia patupu. Hakuna mtanganyika aliyejitokeza. Baadaye dada uchwara wa...
  18. Erythrocyte

    Mshikamano: Watanganyika Wajazana Zanzibar kushiriki Sherehe za Mapinduzi Matukufu

    . Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zingali zikiendelea huko visiwani , ambapo sherehe hizo kabambe zimefanyika kwenye Uwanja wa Aman, Gwaride Maalum na Hotoba za viongozi zimesikika . Jambo kubwa la kufurahisha ni uwepo wa Watanganyika wengi kuliko wakati wowote tangu sherehe hizo...
  19. Kinkunti El Perdedo

    Wazanzibari ni wazalendo kuliko Watanganyika

    Utaifa ni jambo ambalo mataifa yote duniani huulinda kwa nguvu zote,hakuna taifa lenye watu wenye akili timamu wako tayali kuona utaifa wao unachezewa hovyo,hili tuna liona kwa mifano michache kupitia mataifa kadhaa mfano ni mgogoro wa Israel na Palestine. Ni mvutano wa uwepo na utetezi wa...
  20. Mto Songwe

    Kwanini Zanzibar haipewi uhuru wake toka kwa Watanganyika?

    Jambo linalonisikitisha na kunishangaza na kuacha swali juu yangu. Ni kwa nini ZANZIBAR haipewi uhuru wake na kutoka mikononi mwa makucha na ukoloni wa Tanganyika na kuendesha mambo yake kivyake kama nchi huru? NB: Hivi ni kweli Nyerere aliuchukia ukoloni na utumwa au ilikuwa kinyume chake?
Back
Top Bottom