Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa...
25 Reactions
446 Replies
43K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo...
5 Reactions
72 Replies
6K Views
1 September 2020 Dodoma, Tanzania Bila Uwoga SUGU ailipua TUME ya UCHAGUZI, Amtaja Katibu wa CCM, - "Amani ya nchi Ipo mikinoni Mwao" Wabunge Wa CHADEMA Walioenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi...
14 Reactions
120 Replies
15K Views
Hili ni ombi langu kwenu tume, kwamba uchaguzi ujao, punguzeni majimbo ya uchaguzi. Hatuwezi kuendelea kwa kuwa na majimbo kila mtaa. Ongezeko la majimbo limeifanya siasa kuwa ni agenda ya nchi...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
CCM ilianza mapema kutafuta kura, ilianza na mbinu ya kuzuia vyama vingine na wagombea wao kujitangaza akabaki Magufuli peke yake, ikaja na mbinu ya kununua wapinzani waliyoshauriwa na Polepole na...
54 Reactions
102 Replies
11K Views
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya...
22 Reactions
379 Replies
38K Views
Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona...
36 Reactions
640 Replies
65K Views
Wasalaam, Upendo Peneza najua unapita hapa au wasaidizi wako wanapita hapa, kuna Mbinu chafu kuzuia ushindi wako Kesho na haya yanafanywa na msimamizi wa uchaguzi Geita Mjini akushirikiana na...
31 Reactions
62 Replies
7K Views
"Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo...
8 Reactions
70 Replies
7K Views
Mwandishi: Kusaidia kwenye hii janga, sijui ungependa kutuambiaje? Gwajima: Kwanza hii hali ni hali ya kusikitisha sana, ni hali ya hatari, mbaya na hali ya kuhuzunisha kwelikweli na mimi hata...
14 Reactions
87 Replies
10K Views
Huyu nambii mkuu wa manabii wote Tanzania askofu ,his excellence Joe Davie amewaasa wanaarusha na watanzania kwa ujumla kuangalia mazuri ya mh John Magufuli kama rais bora madhabahuni Nabii huyu...
5 Reactions
169 Replies
18K Views
Hawa ni baadhi ya wanaccm walioonyesha nia ya kugombea Ubunge jimbo la Babati mjini. Je, nani anaweza kuwa kuipeperusha bendera ya CCM?
2 Reactions
59 Replies
9K Views
Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi...
39 Reactions
289 Replies
22K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo...
182 Reactions
677 Replies
59K Views
Pamoja na mapungufu ya awamu zilizopita kiutawala, lakini awamu hii ya tano haikufuata kabisa utawala Bora. Watu wamekuwa wakifokewa hovyo hadharani, watu wamekuwa wakidhalilishwa hovyo...
20 Reactions
17 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Tanzania (TEC), Fr. Charles Kitima ambaye aliwahi kuwa Vice Chancellor wa SAUT amekosoa wizi wa kura na kusema ni dhambi kwa Mungu kwa...
31 Reactions
112 Replies
7K Views
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni...
20 Reactions
200 Replies
18K Views
Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi amemnukuu Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais Chadema akieleza sera ya Chama chao kuwa ni kubinafsisha biashara zote ili ziendeshwe na sekta binafsi. Amesema Serikali...
16 Reactions
154 Replies
9K Views
Tundu Lissu katika Ukurasa wake wa Twitter, ameweka Barua ya Polisi na kuandika Maneno haya "Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la...
93 Reactions
509 Replies
54K Views
Back
Top Bottom