Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,898
22,683
Huyu nambii mkuu wa manabii wote Tanzania askofu ,his excellence Joe Davie amewaasa wanaarusha na watanzania kwa ujumla kuangalia mazuri ya mh John Magufuli kama rais bora madhabahuni

Nabii huyu mwenye wafuasi wengi ndani na nje ya nchi akiwa katika madhabahu takatifu amewaasa watu kuangalia nini amefanya JPM kama kiongozi bora kwa kipindi hiki

Madhabahu imetamka nani apinge

View attachment 1403780
Samahani Mkuu, unamwamini huyu jamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"nambii mkuu wa manabii wote Tanzania askofu " Duuuu!! Nyie ndio mnakamliwa pesa na mmeshapumbazwa hamuoni kitu.

Soma habari zake:
Mahakama ya hakimu mkazi jijini Arusha leo imevunja rasmi ndoa ya bibi Pamela na mumewe baada ya kuthibitika pasi na shaka kuwa alikuwa na mahusiano nje ya ndoa na nabii Joe Devie wa ngurumo za upako wa jijini Arusha.

Mtoto wa wanandoa hao mwenye umri wa miaka 15 ndiye aliyetoa ushadihi wote ukiwemo wa nabii kufika nyumbani na kupelekewa juice kwenye gari yake yenye vioo vyeusi na kukaa humo kwa muda mrefu na mamaake pia nabii kufika nyumbani usiku baba akiwa hayupo na kuambiwa akalale huku nabii akibaki na mama sebuleni muda mrefu akifanyiwa maombi maalum

Huyo ndiye Nabii!!! anayetaka tuchague kiongozi tunayemtaka
 
Huyu jamaa anatoza watu hela taslimu sio sadaka ya MTU kujitolea unavyowiwa alafu halipi kodi kama haitoshi yeye na mkewe wanafurahia rais hajazuia mikutano ya injili maana angepoteza pesa nyingi sana.

Amepatia business ya kupiga hela bila kodi na ninadra kumwona anasaidia yatima/wajane lakini utamwona na maisha yake ya kifahari kupindukia akijiachia na familia binafsi bila kujali waumini wasiojua hata mlo wanaupataje!! Bora nikasalie shambani kwangu sio kwenye hema lake lilojaa madoa sugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom