Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Najua itawawia vigumu kuamini hili lakini ndio ukweli. KUNA mstaafu MASHUHURI huenda akalamba TEUZI wakati wowote kuanzia sasa jiandaeni kumpa Maua yake.
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Hizi Ndio habari mpasuko nilizopenyezewa hivi punde kwamba Muungano wa Vyama vya Demokrasia Duniani utatuma Waangalizi wake kwenye Baraza Kuu la Chadema litakalochagua Mwenyekiti wa taifa Ngoja...
2 Reactions
13 Replies
726 Views
Pafukapo moshi ujue kuna moto, Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti. Kikao...
5 Reactions
35 Replies
997 Views
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka . Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
10 Reactions
107 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa ndugu Lissu anatarajia kuondoka na kuihama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa.hii ni baada ya kutoridhika na mwenendo na aina ya siasa zinazoendeshwa na ndugu...
8 Reactions
252 Replies
8K Views
Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida. Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024...
18 Reactions
84 Replies
6K Views
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodoma na Lumumba kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka. Hiko hivi, watu wengi hawakuwa wakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
11 Reactions
46 Replies
2K Views
  • Redirect
Kwa mujibu wa taarifa iliyonukuliwa na gazeti la the Guardian inaelwza kwamba Benki ya Dunia WB Imezuia kuendelea kutoa ufadhili wa Mradi wa Regrow kufuatia madai ya ukiukwaji wa Haki za binadamu...
1 Reactions
Replies
Views
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi...
18 Reactions
163 Replies
7K Views
WAsalaam,Kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya, hebu jadilini pale old CCM. Mji wa Moshi ni mchafu na haukui sababu kubwa ni CCM kukamata, kushikilia na kuhodhi maeneo muhimu ya mji ambapo ni...
5 Reactions
8 Replies
687 Views
Ali Hapi ambaye anatoka familia ya Mzee Ugula katika kijiji cha Tutu, Kata ya Kiomboi, Wilayani Iramba amekuwa na safari nyingi za kumtembelea bibi yake Mzaa Mama kijijini hapo na safari ya mwisho...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa...
20 Reactions
54 Replies
2K Views
Taarifa ya Wakili Msomi Alphonce Lusako inadokeza kwamba zipo njama za kuhujumu Mawakili waliopeleka kesi ya Mkataba wa kitumwa wa Bandari Mahakamani. Mbinu iliyotumika kumhujumu Wakili Fatuma...
34 Reactions
109 Replies
9K Views
  • Redirect
Mtumishi wa Mungu, Dr. Ian Ndlovu, ametabiri kifo cha mwanamziki nyota, kutoka nchi ya Afrika ya Mashariki, iliyokuwa na mpiganiaji uhuru maarufu wa Afrika ambaye sasa ni marehemu. Ingawa hakutaja...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara hiyo katika kipindi cha miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
Replies
Views
Kufuatia na yanayoendelea Jijini Arusha , uwezekano upo mkubwa John Mongella kuteuliwa kuwa Mbunge na badae kwenda kugombea Ubunge Katika Jiji la Arusha akichukua nafasi ya Gambo ambaye Kwa kweli...
2 Reactions
8 Replies
790 Views
Habari njema Kwa wana-Arusha Mjini. Tunasubiria PDF ya Uteuzi wa Mheshimiwa Mbunge kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr Gekul. Cc. Mbunge Mstaafu,
6 Reactions
51 Replies
5K Views
  • Redirect
Taasisi ya islamic foundation ime andika barua kwa Rais Mama SAMIA SULUHU HASSAN kwakuiomba aiangalie vizuri taasis ya BAKWATA na USIMAMIZI wake baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nilishangaa kuona ila sasa Nina amini Mungu alisema nami 15 years back. Yakwamba vita kubwa ya Dunia inakuja na leo nashuhudia jambo Hilo. Siandiki sana ila tusali jambo zito sana laweza ikumba...
0 Reactions
Replies
Views
Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
Back
Top Bottom