Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Igweee! CCM ndio chama lao full jasusi kukitetea chama na kamwe hawajashindwa. Hii Ramani ndio ya mchezo mzima plz do not ask me more question. Baada watoto wa vigogo kuingia ulingoni na kuusaka...
15 Reactions
89 Replies
10K Views
Waziri wa maji na umwagiliaji Mhe.Makame Mbarawa amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar. Career Highlights Professor...
6 Reactions
54 Replies
8K Views
Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM. Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na...
18 Reactions
226 Replies
27K Views
Mapema asubuhi ya leo kada mwengine wa CCM ndugu Pereira Ame Silima amejitokeza katika ofisi kuu za Chama cha Mapinduzi Kisiwandui na kuchukua fomu Idadi ya wagombea wa kuteuliwa kugombea urais...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni. Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa...
21 Reactions
125 Replies
16K Views
Aliyevaa koti ni Azizi Hamid Mahmoud, mtoto wa Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Huyu Azizi ambaye ni Mwanasheria, ndiye mshauri wa...
23 Reactions
58 Replies
8K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Mohammed Aboud Mohammed amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari JF Siasa, Humu ndani kumekuwa na maoni au chapuo mbalimbali juu ya wagombea Urais Zanzibar. Kuna mmoja wetu humu jukwaani amekuwa wazi kwa kuwapa chapuo Dr Hussein Mwinyi na Prof Makame...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Pemba. Mgombea ubunge wa Jimbo la Konde kupitia ACT Wazalendo, Mohamed Said Issa ametoka ndani ya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni yanapofanyika majumuisho ya uchaguzi akidai kutokuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi tunapenda kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba kwa kuendelea kukiamini chama chetu na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu Shekha Mpemba Fakhi kwa tiketi ya CCM ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba. Ikumbukwe Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
ACT walidhani kuwa maadam wamo katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar, basi labda CCM wangeanza kuwatreat fairly. Lakini wakasahau kuwa CCM kimeshakuwa chama cha dhulma, kama...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
Pemba. Mgombea ubunge wa Jimbo la Konde kupitia ACT Wazalendo, Mohamed Said Issa ametoka ndani ya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni yanapofanyika majumuisho ya uchaguzi akidai kutokuwa...
0 Reactions
Replies
Views
Mgombea uwakilishi jimbo la Pandani kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Prof; Omar Fakih Hamad, ameibuka mshindi baada ya kupata kura 2361 dhidi ya kura 1934 alizopata mgombea wa CCM kwenye...
12 Reactions
69 Replies
9K Views
Wazanzibari msijidanganye kuwa eti mtachagua Rais. Bara tunafahamu kuna baadhi ya Wanzanzibar wanaogombea nafasi hiyo wanataka waje kutumika na Maarabu. Hatutaruhusu hilo. Hussein Mwinyi ndiye...
5 Reactions
53 Replies
7K Views
Pazia la kuichukua fomu za kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi huenda likafunguliwa Rasmi muda wowote kuanzia mwezi Juni 2020. Sina hakika na ndoto yangu, Ila haya ndio...
31 Reactions
243 Replies
28K Views
Urais Zanzibar 2020: Barua kwa Balozi Ali Abeid Amani Karume Ndugu yangu Ali, As-salamu alaykum. Nakuandikia barua hii ya wazi kwa upendo wangu wa kikamaradi kwako. Nafsi yangu imenisukuma...
16 Reactions
109 Replies
14K Views
Mussa Aboud Jumbe, Mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Aboud Jumbe amechukua fomu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Jumbe amekuwa mgombea...
3 Reactions
42 Replies
8K Views
Member of the Central Committee of the Party @IsmailJussa has been severely beaten by the Zanzibar Armed Forces and he is currently at the Police Headquarters Hospital, Ziwani Zanzibar...
4 Reactions
54 Replies
11K Views
Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka...
13 Reactions
90 Replies
11K Views
Back
Top Bottom