Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu Uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi. Huyu Mwanyika ndo Rais...
22 Reactions
228 Replies
25K Views
Wanabodi, Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM. Huu ni uthibitisho...
8 Reactions
111 Replies
10K Views
Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
29 Reactions
217 Replies
17K Views
Huko majukwaani tunasikia mengi, lakini mengine nadhani yanafanywa kwa makusudi ya kutafuta kura. Inawezekana ikawa ndio maana halisi ya kampeni kwa tafsiri yetu ya Kibongo tu. Ukimsikiliza...
4 Reactions
104 Replies
7K Views
Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma...
16 Reactions
382 Replies
32K Views
Huu ndio ukweli wa wazi kabisa, kwamba kauli za polepole kwamba waliotoa rushwa watafundishwa adabu zichukuliwe kama porojo za kunogesha mazungumzo yake tu, hazina ukweli wowote na hata kwa cheo...
13 Reactions
53 Replies
5K Views
UPDATE "Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa...
22 Reactions
504 Replies
46K Views
Dar es Salaam Jimbo la Kawe - Askofu Josephat Gwajima Jimbo la Temeke - Doris Kilave Tanga Jimbo la Muheza - Hamis Mwinjuma (Mwana FA) Mbeya Jimbo la Tunduma - David Silinde Manyara Jimbo...
13 Reactions
293 Replies
35K Views
Unakuta jimbo lako watia nia ndani ya chama wapo zaidi ya 17, halafu kwa utaratibu mpya Kamati kuu inatakiwa kuteua majina matatu tu ndiyo yakapigiwe kura za maoni. Na Magufuli ndiye Mwenyekiti wa...
58 Reactions
151 Replies
12K Views
Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu umegubikwa na udanganyifu mkubwa kuliko uchaguzi mwingine wowote tuliowahi kuufanya. Ushahidi ni mwingi mno hadi imekua kama kichekesho hivi. Sasa, kuna...
35 Reactions
85 Replies
6K Views
Kesho Oktoba 28, 2020 ni siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Nianze kwa kuwatakia Uchaguzi mwema wa Kizalendo kwa watanzania wote, ukiwa uchaguzi wa amani, huru na haki kwa watanzania wa vyama...
27 Reactions
122 Replies
8K Views
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2)...
57 Reactions
372 Replies
28K Views
Habari wanajamvi, Katika Taarifa iliyotoka jana kuna taasisi moja walitoa majumuisho ya Uchaguzi 2020, na Takwimu yao wamesema watanzania waliojiandikisha katika daftari ni milioni 29 na...
4 Reactions
59 Replies
4K Views
Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini. Kiukweli shehe alhad Salum...
27 Reactions
246 Replies
25K Views
Wakuu habari za asubuhi! Siku chache zilizopita nilisoma uzi mrefu wa mwanajukwaa moja aliyejitambulisha kama mwalimu wa chuo cha MIST huko Mbeya na mzaliwa wa Rorya Mkoa wa Mara. Alieleza kinaga...
11 Reactions
40 Replies
5K Views
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea...
30 Reactions
223 Replies
16K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli...
81 Reactions
570 Replies
71K Views
Even the king of Jungle (The lion) has an end, it can never hunt again to feed its stomach due to oldness. Hakuna wakati mgumu Chama cha Mapinduzi kinapita kama wakati huu. Chama kimekosa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanabodi, Mimi ni mwana ccm na nilitoa hapa ushauri kwenye uzi huu Uchaguzi 2020 - CCM msimjibu Tundu Lissu, Mnavyomjibu ndio anazidi kuongea mengi Mkutano wa Tundu lissu Tunduma ni dhahiri jinsi...
23 Reactions
35 Replies
5K Views
Mimi ni mwana CCM, Tundu Lissu anachotufanyia sio sahihi kabisa, Sasa anatuchezesha segere ya kujibu hoja zake ambazo kwenye TV hazionyeshwi na hazijibiki. Yale maelfu ya watu wanaomfuata...
37 Reactions
102 Replies
35K Views
Back
Top Bottom