Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari nilizonazo tayari Prince Dube amesaini mkataba na Yanga wa miaka miwili. Tutegemee kumuona Dube akikiwasha Jangwani msimu ujao.
3 Reactions
21 Replies
787 Views
Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam. Simba inajiandaa...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo 2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi 3. Kuna...
8 Reactions
25 Replies
5K Views
Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa! Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene Try...
44 Reactions
347 Replies
10K Views
Mimi sio mtume, nabii wala mtabiri, Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd...
6 Reactions
55 Replies
2K Views
Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu. Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushindi dhidi ya Yanga ili kuwapa...
1 Reactions
16 Replies
904 Views
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa...
14 Reactions
162 Replies
6K Views
Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki...
11 Reactions
155 Replies
4K Views
Katika kikao kilichofanyika Juzi Jumamosi, Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu alishauliwa kujiuzulu katika nafasi hiyo, lakini hadi muda huu ameshikilia msimamo wa kutokuachia ngazi...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
JUSTIN: Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba,Imani Kajula amefutwa kazi ndani ya Klabu hiyo kufuatia kufanya vibaya kwa Simba. Je nani anafuata?
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana hao Pyramid hawana hata shida na Mayele kihivyo. Ni hivi za nyuma ya kapeti kutoka mitaa ya jangwani ni kwamba: 1. Mpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza...
39 Reactions
111 Replies
13K Views
Kauli ya Waziri wa Michezo Ndugu Ndumbaro kuagiza wananchi watakao-vaa jezi ya Mamelodi au ya Al ahly wakamatwe na kupelekwa polisi ama waingie kwa Passport imeleta sintofahamu. Chama cha Soka...
9 Reactions
15 Replies
945 Views
Chama huu ndio msimu wake wa mwisho, na kakataa kuongeza muda. Mayele naye anaomba kuvunja mkataba kule Pryamid, maana yake mayele anaenda simba na chama anaenda yanga.
6 Reactions
97 Replies
4K Views
Wiki nzima hii mganga wao utopolo anahaha kuhakikisha wanapangiwa na Asec ambao kwao ndio wanaona wanaweza kupambana nao, wao hawataki mamelodi wala petro wala Mwarabu, wao wanatambika ss hv na...
5 Reactions
15 Replies
761 Views
Taarifa za uhakika kuhusu usajili wa Kylian Mbappe zimeeleza Staa huyo wa Paris Saint-Germain ambaye yupo katika miezi sita ya kumalizia mkataba wake anatarajiwa kujiunga na Real Madrid akiwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15.12.2023. Karibu 1. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar 2. Beki...
11 Reactions
136 Replies
38K Views
Tetesi kutoka kwenye chanzo Cha kuaminika kutoka nchini Mali kuhusu Kipa wa Yanga SC Djigui Diarra zinasema Kuna timu ya ligi nchini Uturuki inahitaji huduma ya golikipa Huyo Bora ndani ya Africa...
11 Reactions
45 Replies
4K Views
Uongozi wa Simba SC umeridhia ombi la mchezaji wake Moses Phiri aliyeandika barua kuomba kuvunja mkataba ili aondoke zake. Siku chache huenda wakatangaza kuachana naye. Phiri alichukia...
6 Reactions
50 Replies
6K Views
Zile tetesi za kuwaleta wachezaji niliowataja hapo juu,ni za kusikitisha sana kwani viongozi wetu wanaendekeza siasa badala ya uhalisia wa mprira wenyewe. Hata hivyo bado kuna tetesi kuwa coach...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom