Tetesi: Simba kuibomoa Yanga, Azam

Newbies

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
1,538
2,241
Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam.

Simba inajiandaa kunasa saini za wachezaji Hawa kutoka Yanga ambao wamepangiwa Dau Nono la usajili pamoja na mshahara wa kufuru. Wachezaji hao nipamoja na

1. Ki Azizi
2. Ibrahim Baka
3. Bakari mwamnyeto
4. Mudhathiri Yahaya

Kubali Clabu ya Azam Simba imepanga kuwanyakua
1. Bajana
2. Faisal salum

Pamoja na usajili huo wa nguvu Simba inajiandaa kubisha kwa majirani Kenya Kumnasa Mshambuliaji hatari wa Gormahya Omalla

Pia Simba inasaka saini ya Melinda mlango konako ligi kuu ya Africa kusini ambapo Kama itashindikana wamejiandaa pia kumshawishi golikipa Bora wa ligi kuu mpaka Sasa Diara kutoka kwa Wana jangwani
Iko hivi miamba hiyo ya Msimbazi imejipanga vilivyo kuhakikisha inarudisha ubingwa kwa wanasimba ili kurudisha Imani kwa mashabiki.

Kwa upande wa Kocha huenda wakapiga hodi kule Morocco kwa Nabi kuona Kama wanaweza kumrejesha Kocha huyo nchini

KUHUSU MAYELE
Kama Simba itashindwa Kumnasa Omala Basi huenda wakageukia saini ya aliyekuwa Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom