Tetesi: Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine

Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
3,485
5,820
Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu.

Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushindi dhidi ya Yanga ili kuwapa ahueni mashabiki waendelee kuwa na Imani naye.

Try Again anapambana kumtoa Mo kwenye uwekezaji na amuweke Bakhresa na Dangote tajiri Mo anaenda soka kutoka Nigeria ambaye pia ana uwekezaji mkubwa hapa bongo.

Pia Soma:
- Tetesi: - Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!
 
Plagiarism tu.

Hakuna jipya ulichoandika hapa ambacho Nifah hajakiandika.

Hata kama umemcredit thread yake bado huu ni ujinga, thread ya Nifah inajitosheleza.

Moderator pls do needful huu Uzi uunganishwe Kwa Nifah.
 
1713551696746.png
 
Bora mwekezaji muafrika kuliko muhindi na mchina...Mwekezaji bora kabisa ni mzungu anafyata muarabu then mwafrika.. na mchina wakatafute tenda za kutengeneza barabara na muhindi awekeze kwenye kiwanda vya kutengeneza viungo au pilipili kabisa
 
Endapo Pacome akawepo kesho uwanjani, tayari Simba ashapigwa 3 kavu.
 
Back
Top Bottom