Tetesi: Mayele kwenda Simba, Chama kwenda Yanga

kama mudathir anaanza yanga kweli Chama akae nje kwa kikosi Gani icho mlichonacho ambacho Chama ataka Benchi kweli manara alikua sahihi kusema mashabiki wa Yanga hamna akili
Chama hana uwezo wa kufanya majukumu ya Mudathir.

Chama anacheza nafasi ipi na Mudathir anacheza nafasi ipi? Halafu ukipata jibu nambie kati ya mimi na wewe nani Mbumbumbu.
 
Hivi mnajua mpira kweli? Kwa io chama na mudathir wanacheza namba Moja, we tungekua karibu ningekunasa kibao

Kiufupi chama akija yanga hawezi kupata namba, yaani tumeweke nje Aziz ki mtu mbaad kisa chama??

Shenzi
 
wew huna hata akili Chama wakati anafika Simba alikua anacheza Namba Ngapi si alikua ancheza attack middlefield saizi anacheza wide middlefield uyo mudathir yaya saizi anacheza postion ipi si anacheza attack middlefield kwahyo Chama hawezi kucheza Attack middlefield mbona ni wajinga ivi
 
Chama hana uwezo wa kufanya majukumu ya Mudathir.

Chama anacheza nafasi ipi na Mudathir anacheza nafasi ipi? Halafu ukipata jibu nambie kati ya mimi na wewe nani Mbumbumbu.
Unahangaika na watu wasiojua mpira mkuu..hajui hata majukumu ya Mudathiri pale Yanga na anacheza nafasi gani pale Yanga..
Utashangaa mtu aliwahi kumlinganisha chama na tuisila kisinda hii inaonyesha jinsi watu ambavyo hawajui mpira bali ni mihemko tu.
 
Hivi mnajua mpira kweli? Kwa io chama na mudathir wanacheza namba Moja, we tungekua karibu ningekunasa kibao

Kiufupi chama akija yanga hawezi kupata namba, yaani tumeweke nje Aziz ki mtu mbaad kisa chama??

Shenzi
Mim na wew Nani ambaye hajui mpira Mudathir anacheza attack middefield pale Yanga Chama pia anauwezo wa kucheza attack middlefield wakati anafika Simba iyo postion kacheza sana saizi Ndio anacheza wide attack middlefield kenge mkubwa we
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom