Tetesi: Kocha wa Simba kutimuliwa kwa kushindwa kutikia malengo ya kuipeleka simba nusu fainali

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,370
5,652
Kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani.

Je, hiyo hatua ya kutaka kusitisha mktaba wa benchika ni sawa ukichukulia aina ya team aliyopewa?
 
kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani.
je hiyo hatua ya kutaka kusitisha mktaba wa benchika ni sawa ukichukulia aina ya team aliyopewa??
Tunaomba hayo makubaliano. Bado tunajadili goli la Yanga walilonyimwa😁😁
 
Simba Ina kocha mzuri, ila Haina wachezaji wanaoendana na ubora wake.

Usajili wa maana unahitajika, siyo levo za wachezaji wengi waliopo Simba SC.
Benchikha katokea tu kukubalika kwenye mioyo ya wanasimba ila kimbinu ni mweupe. Simba ilikuwa na kikosi kibovu sio tu msimu huu ni misimu miwili nyuma lakini hawakutolewa robo fainali kwa kipigo kitakatifu kiasi hiko. Robertinho aliweza ku battle na Al Ahly game zote mbili kwa mbinu sio kwa kikosi.
 
kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani.
je hiyo hatua ya kutaka kusitisha mktaba wa benchika ni sawa ukichukulia aina ya team aliyopewa??
Kwa hiyo mangungu ndio mtimuaji mwenyewe kabla hajamtimua ajiaze yeye kutimuliwa
 
FB_IMG_1682646137959 (3).jpg
 
Kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani.

Je, hiyo hatua ya kutaka kusitisha mktaba wa benchika ni sawa ukichukulia aina ya team aliyopewa?
Wewe umesikia wapi?????
 
Back
Top Bottom