Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

Mr Alpha

JF-Expert Member
Jul 31, 2018
210
582
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu

KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa sana kwa wachezaji wetu wazawa, vilabu vyetu viangalie upya maslahi ya wachezaji wazawa hii sio sawa.

Hiyo ndo mishahara yao wanaolipwa ukitoa posho na zile bonasi.
Mishahara Ya Wachezaji Wa Yanga 2024

# Player Nationality Salary
39 Djigui Diarra Mali 4 Mil
1 Metacha Mnata Tanzania 2 Mil
16 Abuutwalib Mshary Tanzania 500k
2 Ibrahim Hamad Tanzania 3.5 Mil
3 Bakari Mwamnyeto Tanzania 3 Mil
5 Dickson Job Tanzania 2.5 Mil
37 Fred Gift Uganda –
13 Lomalisa Mutambala DR Congo 2 Mil
30 Nickson Kibabage Tanzania 990k
21 Kouassi Attohoula Cote d’Ivoire 3 Mil
33 Kibwana Shomari Tanzania 1 Mil
8 Khalid Aucho Uganda 6 Mil
18 Salum Abubakar Salum Tanzania 3 Mil
27 Mudathir Yahya Tanzania 2.3 Mil
26 Pacôme Zouzoua Cote d’Ivoire 3.1 Mil
19 Jonas Mkude Tanzania 5 Mil
20 Zawadi Mauya Tanzania 2.2 Mil
10 Stephane Aziz Ki Burkina Faso 23.4 Mil
7 Maxi Nzengeli DR Congo 2 Mil
40 Denis Nkane Tanzania 900k
17 Faridi Mussa Tanzania 750k
6 Mahlatsi Makudubela South Africa €5k
15 Augustine Okrah Ghana 8.2 Mil
28 Joseph Guédé Gnadou Cote d’Ivoire 29.8 Mil
11 Crispin Mhagama Tanzania 550k
24 Clement Mzize Tanzania 600k
25 Kennedy Musonda Zambia 6 Mil
22 Shekhan Ibrahim Khamis Tanzania 420k

Mkeka huo nmekuekea hapo chini kwenye comments
View attachment 2964980
 
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu...
Ndugu zangu,
Kuna kitu hapa tunapaswa kuelewa, kila mshahara anaolipwa mtu huja baada ya maongezi na makubaliano.

Kama mshahara wa mtu ni mdogo au mkubwa uliotokana na makubaliano aliyofanya na mlipa mshahara huo.

Guede kaijua thamani yake na akadai mshahara kulingana na thamani yake kama anavyojijua isilaumiwe Yanga.

Kama Mzize anaona analipwa kidogo basi aende atakakopewa mshahara mkubwa, kama ilivyokuwa kwa Fei.

Yanga haitoa mshahara kwa kufupa, ila kwa makubaliano ya pande zote mbili, wala haina haja ya kuingilia sisi mashabiki.

Ova
 
Mishahara Ya Wachezaji Wa Yanga 2024

# Player Nationality Salary
39 Djigui Diarra Mali 4 Mil
1 Metacha Mnata Tanzania 2 Mil
16 Abuutwalib Mshary Tanzania 500k
2 Ibrahim Hamad Tanzania 3.5 Mil
3 Bakari Mwamnyeto Tanzania 3 Mil
5 Dickson Job Tanzania 2.5 Mil
37 Fred Gift Uganda –
13 Lomalisa Mutambala DR Congo 2 Mil
30 Nickson Kibabage Tanzania 990k
21 Kouassi Attohoula Cote d’Ivoire 3 Mil
33 Kibwana Shomari Tanzania 1 Mil
8 Khalid Aucho Uganda 6 Mil
18 Salum Abubakar Salum Tanzania 3 Mil
27 Mudathir Yahya Tanzania 2.3 Mil
26 Pacôme Zouzoua Cote d’Ivoire 3.1 Mil
19 Jonas Mkude Tanzania 5 Mil
20 Zawadi Mauya Tanzania 2.2 Mil
10 Stephane Aziz Ki Burkina Faso 23.4 Mil
7 Maxi Nzengeli DR Congo 2 Mil
40 Denis Nkane Tanzania 900k
17 Faridi Mussa Tanzania 750k
6 Mahlatsi Makudubela South Africa €5k
15 Augustine Okrah Ghana 8.2 Mil
28 Joseph Guédé Gnadou Cote d’Ivoire 29.8 Mil
11 Crispin Mhagama Tanzania 550k
24 Clement Mzize Tanzania 600k
25 Kennedy Musonda Zambia 6 Mil
22 Shekhan Ibrahim Khamis Tanzania 420k
 
You don't get what you deserve you get what you negotiate. Kabla ya kusaini mkataba kuna makubaliano baina ya pande zote mbili ambapo mshahara wa mchezaji unakua determined kutokana na CV yake. Huyo Guede kabla ya kuja Yanga alitokea wapi na uyo Mzize alitokea wapi? Yanga haitoi mishahara mikubwa kwa hisani, kumbuka ni taasisi ile mwisho wa mwaka wa fesha lazima iangalie financial statement kujua faida na hasara.
 
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu

KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa sana kwa wachezaji wetu wazawa, vilabu vyetu viangalie upya maslahi ya wachezaji wazawa hii sio sawa.

Hiyo ndo mishahara yao wanaolipwa ukitoa posho na zile bonasi.

Mkeka huo nmekuekea hapo chini kwenye commentsView attachment 2964704View attachment 2964703
Kqmq ni kweli feisal toto alikuwa na haki ya kususa ni upumbavu
 
Mishahara Ya Wachezaji Wa Yanga 2024

# Player Nationality Salary
39 Djigui Diarra Mali 4 Mil
1 Metacha Mnata Tanzania 2 Mil
16 Abuutwalib Mshary Tanzania 500k
2 Ibrahim Hamad Tanzania 3.5 Mil
3 Bakari Mwamnyeto Tanzania 3 Mil
5 Dickson Job Tanzania 2.5 Mil
37 Fred Gift Uganda –
13 Lomalisa Mutambala DR Congo 2 Mil
30 Nickson Kibabage Tanzania 990k
21 Kouassi Attohoula Cote d’Ivoire 3 Mil
33 Kibwana Shomari Tanzania 1 Mil
8 Khalid Aucho Uganda 6 Mil
18 Salum Abubakar Salum Tanzania 3 Mil
27 Mudathir Yahya Tanzania 2.3 Mil
26 Pacôme Zouzoua Cote d’Ivoire 3.1 Mil
19 Jonas Mkude Tanzania 5 Mil
20 Zawadi Mauya Tanzania 2.2 Mil
10 Stephane Aziz Ki Burkina Faso 23.4 Mil
7 Maxi Nzengeli DR Congo 2 Mil
40 Denis Nkane Tanzania 900k
17 Faridi Mussa Tanzania 750k
6 Mahlatsi Makudubela South Africa €5k
15 Augustine Okrah Ghana 8.2 Mil
28 Joseph Guédé Gnadou Cote d’Ivoire 29.8 Mil
11 Crispin Mhagama Tanzania 550k
24 Clement Mzize Tanzania 600k
25 Kennedy Musonda Zambia 6 Mil
22 Shekhan Ibrahim Khamis Tanzania 420k
List ya uongo hii
 

Mishahara ya Wachezaji wa Simba SC 2023/2024 Player Salaries​

#MchezajiCountrySalary
17Clatous ChamaZambia20Mil
22John Raphael BoccoTanzania15Mil
FarouzTanzania1Mil
28Aishi Salum ManulaTanzania14Mil
40Peter BandaMalawi6Mil
18Nasolo KapamaTanzania2.5Mil
Moses PhiriZambia15Mil
11Luis MiqussionTanzania8.1Mil
16Fondoh Che MaloneCameroon9Mil
Aubian KramoCote d’Ivoire9Mil
15Mohamed HusseinTanzania10Mil
12Shomari KapombeTanzania10Mil
13Hamisi KaziTanzania2.2Mil
8Sadio KanoutéMali16Mil
19Mzamiru YassinTanzania7Mil
Devid KametaTanzania2Mil
30Husein AbelTanzania2Mil
1Ally Salim JumaTanzania1.8Mil
8Fabrice NgomaDR Congo7Mil
Henoc Inonga BakaDR Congo11Mil
26Kennedy JumaTanzania3Mil
10Saido NtibanzokizaBurundi6.2mIL
Israel Patrick MwendaTanzania2mIL
38Denis KibuTanzania3.7Mil
Jimson Stephen MwanukeTanzania1Mil
7Willy OnanaCameroon6 Million
20Hussein HasanTanzania
Auyoub LakreyMorocco
Hussein AbelTanzania2.1 Mil
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom