Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Za ndaaaaaani kabisa, #TETESI Yanga wamempa Million 400 Beki wa Simba Mohamed Hussein ''Zimbwe Jr'' ili aweze kujiunga na Yanga katika kipindi hiki. Taarifa zaidi inasema kwamba Yanga wanataka...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
FISTON Mayele anatakiwa na klabu ya RS Berkane 🇲🇦 ambao tayari wameaanza kumshawishi meneja wa wa nyota huyo ili avunje au kununua mkataba wake kisha wampe pesa ndefu kiasi cha $ 550k (Sh 1.2b)...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Mchezaji maarufu Mzungu wa Simba Dejan Georgijevic ametangza rasmi kutua nchini kukipiga. Dejan hajaweka bayana kama ataendelea na Simba au atatua Yanga kuziba pengo la Faizal Fey Toto...
4 Reactions
8 Replies
814 Views
Klabu ya AZAM FC inahusishwa na kutaka kumsajili beki wa kulia Kibwana Shomari kutoka Yanga Sc. #sportsplanetupdates
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Ndo inaishia hivyo. Kutoka vyanzo vya ndani, licha ya Yanga kurejesha pesa na kudai mkataba uheshimiwe lakini imeonekana na wazi kuwa hali haitakuwa tena shwari kati ya Fei na Wananchi kwa sasa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
~ Yanga wamalizana na Muzungu kutoka Berkane. ~ Yanga wanamaliza na Bobosi. ~ Yanga wanatarajia kuwatumia Yacouba, Sogne na Kambole kwenye mashindano ya Mapinduzi, ili kuwaangalia nani wa...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wadau wa michezo, Kuna tetesi au taarifa ya kweli ikihusu TBC1 kuonyesha mechi za Kombe la Dunia nchini Qatar mechi takribani 28 ni jambo la kupongezwa sana. TV'S Kama KBC, UBC, MBC YA...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Kuelekea dirisha dogo Disembe 15, licha ya tetesi kuwa mitaa ya Msimbazi hali si hali, habari zikufikie kuwa wachezaji hawa wafuatao wanaelekea Simba SC. ~ Lobi Manzoki 100% done. ~ Luis...
6 Reactions
68 Replies
14K Views
Wakuu taarifa iliyopo ni kwamba watani kwa sasa hawana basi baada ya basi lao kukamatwa na dalali aliyeagizwa na kampuni iliyowauzia basi. Basi limekamatwa baada ya Simba kushindwa kulipa deni kwa...
9 Reactions
87 Replies
7K Views
Habari za ndani kabisa tulizozipokea zinaeleza ya kuwa mojawapo kati ya hizi klabu mbili kongwe hapa nchini ipo mbioni kupigwa mnada. Japo chanzo chetu cha kuaminika hakijaitaja moja kwa moja...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Hivi karibuni kuna kocha wa makipa alikamatwa na madawa ya kulevya. Haraka haraka simba wakatoa taarifa ya kumkana kuwa hakuwa mwajiriwa wao japo. Mda utaongea zaidi
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Inasemekana club ya soka ya Simba inaandaa mashtaka dhidi ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, lengo ni kuwasiliaha malalamiko kuhusu mwenendo wa mechi 4 zamwisho za club ya Azam. Tayari...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimesoma mahali kwamba Qatar iliwahonga wachezaji 8 wa ecuador mabilion ya pesa ili washinde mechi yao ya ufunguzi. Inasemekana huo mchezo ulishtukiwa na mashushu na wachezaji hao 8 hawatacheza...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo amewaambia Real Madrid kuwa yupo tayari kujiunga na klabu hiyo kwa muda wa miezi sita. Ronaldo (37) ambaye yupo mbioni kuachana na Manchester United anataka kwenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inadaiwa kocha huyo, Erik ten Hag wa Manchester United anataka kumuuza nahodha wake lakini kikwazo ni kiasi ambacho wanatakiwa kukipata kutoka sokoni Beki huyo aliyesajiliwa kwa Paundi Milioni 80...
0 Reactions
4 Replies
844 Views
Nipenyezewa taarifa kutoka insiders wa kampuni ya Adidas kuwa, wako wanandaa dili ya merchandise kwa klabu ya Simba baada ya kuona watapata milliage kubwa barani Afrika. Hi imekuja baada ya Simba...
44 Reactions
64 Replies
5K Views
Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa! "Za...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Uongozi wa Klabu ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba. Wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani 'match...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom