wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjina Mrefu

    Nimeoa ila natamani sana wanawake wengine

    Wakuu kwema? Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto. Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu...
  2. BabuKijiko

    Wadau mbona kama mitandao ya simu kuna mgao wa Internet ila hawasemi,vipi wengine mmegundua hili jambo

    Maana kama jana Kuna muda Vodacom na halotel Internet ilikata Tigo ilikuwepo,usiku hivi Tigo ilikata nayo nahisi kuna jambo ambalo linaendelea ila wanaficha kwa kumuhofia Waziri Nape
  3. ndege JOHN

    14 wafariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kuanguka India

    Takriban watu 14 wameaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kubwa kuanguka wakati wa dhoruba ya ghafla katika mji wa Mumbai nchini India. Bango hilo, lenye ukubwa wa mita 70 kwa 50 kwa mujibu wa polisi, lilianguka kwenye nyumba na kituo cha petroli jijini siku ya Jumatatu...
  4. Erythrocyte

    Rais Samia amepunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI - Waziri Ummy

    Katika Hotuba yake Bungeni, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake, amezungumza mambo mengi mazuri sana na ya kueleweka. Isipokuwa mimi labda kutokana na uchovu wa mwili , sijaelewa kwenye jambo hili , naomba Aliyeelewa anieleweshe Natanguliza Shukrani
  5. G

    Family business: Mke wa kamshika masikio kaka, anazidi kuingiza ndugu zake, ndio mwanzo wa hostile takeover ??

    kuna family business ya close relatives naona inakoelekea sio kuzuri and i am so concerned, Binafsi nimepewa huu mkasa na moja wanafamilia ila nikaona mawazo yangu pekee yanaweza yasitoshe. OK ipo hivi.... Inatokea mna family business mliachiwa na wazazi muisimamie. Kaka mwenye nafasi kubwa...
  6. Kaka yake shetani

    Huyu Dr sulle na wengine muwe mnawatafakari wanacho kiongea kama na wenyewe sijui kama wanaelewa wanayo sema

    Sipendi sana kuingia kwenye hizi online Tv sababu nyingi zina watangazaji njaa na taaluma zao. Tuje kwenye mada Dr sulle huyu anaojiwa na kudai Quruan ndio imeleta kila kitu ambayo sehemu kubwa agano la kale limetoka kwenye quruan,Hapo hapo nikakata kuangalia. sijiu kama anafahamu dini ambazo...
  7. J

    Watu Wengine Wanakufa Kabla ya Wakati

    Watu Wengine Wanakufa Kabla ya Wakati Kibiblia, kuna vifo ambavyo havistahili kutokea kwa mwanadamu, isipokuwa kutokana na sababu za kiroho, yaani za kiimani. Hii ni kutokana na kutokuwa timilifu katika imani na matendo yetu mbele ya Mungu. Sababu hizo zimeelezwa katika sehemu zinazofuata...
  8. John_Anthony

    Sababu ya watu kuogopa kutoa ushahidi kwenye baadhi ya matukio aliyo shuhudia live na wengine baadhi hukimbia kabisa

    Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏 Ndg zangu nimeamua kuandika uzi huu kutokana na mambo yanayo fanyika kwenye jamii zetu haya mambo yanaumiza sana😭 mitaani kumekuwa na...
  9. kimsboy

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo Yemen tayari keshaandaa wanajeshi laki 4 Iraq kuna wanajeshi laki 2 na nusu Hezbollah wapo zaidi laki...
  10. Webabu

    Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa

    Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na...
  11. M

    Ulaya na Marekani wanapata wapi vibali vya kuwakemea wengine?

    Marekani wakitumia nguvu kuzima maandamo ya wanafunzi wa kupinga nchi yao kuwasaidia Isreal. Kwanini sasa Marekani wanapofanya nchi nyengine wanakuwa wakali sana? Sababu wanazotoa Marekani kuzima maandamnao haya ni nyepesi kuliko nchi nyingine wanaotoa sababu za kuzuia maandamano kama haya.
  12. R

    PSSSF imeshindwa kulipa pensheni za wastaafu. Wengine sasa ni zaidi ya mwaka hawajalipwa

    Kila wakienda wanapigwa danadana bila maelezo ya kueleweka. mwaka mzima, wengine miezi 4, 5, 6 etc etc. Waziri mwenye dhamana ni nani? Nina uhakika anajua hilo, na habari za ndani ni kuwa wamefilisika hawezi lipa mafao ya wastaafu kama lumpsum, na malimbikizo ya kila mwezi kwa ambao tangu...
  13. C

    TMA wakitoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa shule zifungwe kwa kipindi hicho, tusisubiri wengine wazame tena

    Wakuu, salama huko ulipo? Wataalam wa hali ya hewa wakitoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha shule zifungwe kufuatia matangazo hayo, kama tangazo hili lililotolewa juzi. Wote tunajua ni hatari kipindi hiki, kwanini shule hazichukui iniative kuongeza usalama kwa watoto. Halafu cha kushangaza...
  14. GENTAMYCINE

    Samahani nauliza tu je, na Helikopta za Wengine nazo ziko salama kwani Israeli sasa kabadili Formula ananyakua Juu kwa Juu tu

    Kuna moja sijui kama bado ipo pale EAC Block kila ikiruka ni lazima ikate Kwanza Kiuno kidogo na Kupinda ili ipate Mwelekeo. Na hata ikiwa inatua ni lazima Boza la Maji liwe Jirani ili Kuipoza. Na nasikia kuna wakati huwa inatumiwa sana na Baba, Mama, Mpaka Supa Blaki na Sura Ngumu Funga Buti...
  15. B

    Ridhiwan Kikwete atumia siku yake ya kuzaliwa kusambaza upendo kwa wengine, afikisha miaka 45

    Kila ifikapo Aprili 16 ni Kumbukizi ya Kuzaliwa ya Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete. Kwenye Siku yake hii ya Kuzaliwa mwaka huu 2024, Kikwete ameitumia kusambaza upendo kwa wananchi mbalimbali kwa kutoa vyakula mbalimbali. Kikwete...
  16. SAYVILLE

    Suala la abiria kwenye mabasi makubwa ya mikoani kujaa hadi wengine kusimama limehalalishwa?

    Nakumbuka kulikuwa na utaratibu barabarani kwenye mabasi makubwa ya masafa marefu yanayotoka mkoa mmoja hadi mwingine, askari wanaingia kukagua mabasi na moja ya mambo waliyokuwa wanaangalia ni kama basi limezidisha idadi ya abiria. Kutokana na hulka ya Watanzania tulivyo, tulikuwa tunakaushia...
  17. uhurumoja

    Ukitaka kwenda mbali nenda peke Yako ukitaka kwenda mbali sana nenda na wengine

    Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa tumelikosa huku tukiwaangalia wengine wakisonga mbele Kwa Sasa ni wito wangu kwa Yanga na Simba linapokuja...
  18. Wadiz

    Sio kila Single Mother anateseka na maisha wengine wanabarikiwa baada ya kuwa Single Mothers

    Shalom, Siwezi kusema mengi sana kuwa single mother ni matokeo ya maisha ya sisi wanadamu kama ilivyo kwa magonjwa na vifo na mengineyo. Kuna single mothers wamebarikiwa baada ya kuwa single mothers, wengine wamefunuluwa baraka na Neema tele baada ya kuachika kwenye ndoa zao. Kuna baadhi ya...
  19. JanguKamaJangu

    Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili Akitoa...
Back
Top Bottom