rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Rais Samia “amzawadia” Millioni 10 Askofu Ruwa’ichi Kwa kutambua mchango wake kwa Kanisa na Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amemzawadia kiasi cha...
  2. Roving Journalist

    Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

    Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member wa JamiiForums.com kuandika andiko likiwa na madai hayo Pia soma: Inadaiwa hasira za Lissu...
  3. U

    Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana na kukubali kuwa lipo tatizo ktk muungano huu linalostahili kutatuliwa sasa na sio kesho kama...
  4. Mkalukungone mwamba

    Mohammed Issa: Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake

    Mbunge Khalifa Mohammed Issa (ACT) kutoka Jimbo la Mtambwe, Zanzibar amesema Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake. Amebainisha kuwa wanzanzibari hubaguliwa kwa uzanzibari wake na kauli zingine husema Rais Samia anatawala nchi isiyo yake, amekopeshwa kutoka Zanzibari aje kuwa Rais wa Jamhuri...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma Mbunge wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma, Augustine Vuma amesema kazi kubwa ya kumtua mama ndoo kichwani inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maji imeleta mabadiliko makubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji...
  6. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Mkutano wa kwanza unaohusu Nishati Safi Jijini Paris, Ufaransa, Mei 14, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kwanza unaohusu Nishati katika ukumbi wa Makao Makuu ya UNESCO jijini Paris, nchini Ufaransa leo tarehe 14 Mei, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika...
  7. Jidu La Mabambasi

    Nini umuhimu wa ziara ya Rais Samia Ufaransa?

    Rais Samia huyoo? Sasa hivi kaenda Ufaransa! Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri. Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali, Burkina Faso na nchi nyingine siyo mzuri kabisa. Nchi hizo za wenzetu zime experience ushenzi wa...
  8. L

    Rais Samia amewasili salama nchini Ufaransa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia

    Ndugu zangu Watanzania, Tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Fadhili kwa kumsafirisha na kumfikisha Salama Nchini Ufaransa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
  9. M

    RAIS SAMIA KAWAZIBA MDOMO

    Mijadala mingi huko nyuma imeibuka kuhusu mtazaomo wa wasio waislam kwa waislam Baadhi yao wakiamini wanawake wa kiislam wanakaa majumbani na wanaume wa kiislam hawawapi fursa pia waislam hawakusoma Yote hayo hivi sasa yamezibwa mdomo. Rais mwanamke tena muislam Nakutakieni J2 njema. Mod...
  10. L

    Rais Samia kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa Kimataifa Kujadili Nishati Safi utakaofanyika Ufaransa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa...
  11. Uzalendo wa Kitanzania

    Rais Samia ndani ya ya Gari lililounganishwa Kiwanda kipya cha Kuunganisha Malori kigamboni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
  12. R

    Hivi kwa nini Rais Samia anawafanyia wamasai haya mateso? Kwanini anauza Tanganyika yetu?

    Tumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu. CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea matumbo yao wamepitisha sheria za hovyo as long as wanashiba na familia zao. WANAMPA SAPOTI SAMIA AUZE TANGANYIKA WHILE ZANZIBAR REMAINS...
  13. G

    Hivi rais Samia anawaogopa mawaziri wanaomtukana mitandaoni ama anamuogopa Makonda?

    Kipi ni kipi? Ni kweli kuna mawaziri wanaowalipa watu kumtukana mhe rais ama ni uzushi? Kama ni uzushi mbona aliyeutangaza uzushi huo (Makonda) hachukuliwi hatua? Na kwa nn aliitwa na Kamati ya maadili? Na mbona maamuzi ya kamati hayajawekwa wazi hadi leo? (Mtakumbuka walipoitwa Kinana na...
  14. 1

    Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

    Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo nchini ndio hoja kweli ya kuwaambia watanzania? Hatujui hata mnakosimamia, mara maandamano, mkitoka...
  15. C

    Makalla: Mabango tuyatoe kwaajili ya kitu gani? Walimualika wenyewe kwenye baraza la wanawake kuonesha Rais Samia ni mwana demokrasia na mzalendo

    "Kuna clip moja mimi nimeipata, Rais Samia alipokuwa madarakani Lissu alisema Rais Samia amebadilisha upepo wa siasa, nilikuwa na kesi 6 za hovyo hovyo zimefutwa na mama anafanya kazi nzuri. Sasa leo anasema mambo yote hayajafanyika, leo anahoji nani alimwalikwa kwenye baraza la wanawake la...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Fyandomo: Rais Samia Alitoa Ruzuku ya Mbolea Bei Ikashuka Kutoka 150,000 Mpaka 60,000 kwa Kilo Moja

    MBUNGE SUMA FYANDOMO: RAIS SAMIA ALITOA RUZUKU NA BEI YA MBOLEA IKASHUKA KUTOKA TSH. 150,000 MPAKA TSH. 60,000/KILO "Nampongeza sana Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Amir Jeshi Mkuu kwa kazi kubwa nzuri ambayo aliwaona wakulima maana walikuwa kwenye kipindi kigumu sana ambapo Mbolea...
  17. Stephano Mgendanyi

    KITETO: Kata ya Engusero Yapokea Ambulance 🚑 Mpya ya Kubeba Wagonjwa, Wananchi Wamshukuru Rais Samia Suluhu Hassan

    KITETO: Kata ya Engusero Yapokea Ambulance 🚑 Mpya ya Kubeba Wagonjwa, Wananchi Wamshukuru Rais Samia Suluhu Hassan Wananchi wa Kata ya Engusero Jimbo la Kiteto wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Gari jipya la wagonjwa ambalo...
  18. Poppy Hatonn

    Serikali imeshindwa kuendesha NHIF

    Wapo watu (Space Brothers) wanasema value system ya NHIF yetu ni all wrong. "It does not follow the value system of National Insurance in general". Kwa hiyo there is the suggestion kwamba NHIF is being mishandled. Tatizo moja nimeona NHIF ni kwamba mtu anaweza kuondoka na dawa nyingi (far more...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Rais Samia ndio aliruhusu shughuli za kisiasa kuendelea, kwanini hamkuhoji wakati ule huyu ni Mzanzibari?

    "Jambo hili watu wengi wamelizungumzia huko nje, wapo waliolipotosha na wapo waliokwenda mbali zaidi na kuzungumza yale ambayo ni hatari kwa Umoja wa nchi yetu na mshikamano wa Taifa letu. Nataka niwakumbushe wakati nchi yetu ilipopita kipindi kigumu cha COVID-19 wakati Dunia yote ilijifungia...
  20. Kabende Msakila

    Rais Samia - CDM wakikashfu mamlaka waonywe, wakiachwa wanajenga usugu - watasumbua

    Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini, Salaàm! Nimefuatilia mienendo ya kukijenga chama cha CDM hapa nchini - iko wazi kuwa CDM wanatumia njia hiyo kama sehemu ya haki yao ya kukusanyika, kuandamana, kuongea na kutoa maoni. Kinachonipa mashaka ni iwapo wanatumia forum HIYO...
Back
Top Bottom