Rais Samia ndani ya ya Gari lililounganishwa Kiwanda kipya cha Kuunganisha Malori kigamboni

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,373
4,991
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.

1715410064711.jpg
 
Kiwanda kikiwa mali ya serikali kinakuwaga shamba la bibi , bora tuwawezeshe watu au taasisi binafsi wawekeze kwenye viwanda kwa kuwawekea mazingira rafiki na kuweka government subsidies kwenye eneo hilo
Sina uhakika kama BWM hakufanya haya unayosema. Uhakika ni kuwa mwisho wa safari ni kama alijutia vile. Wakati mwingine viwanda havichanui sababu ya nakodi yaliyojaa gunia , ongeza na matakwa ya walliofanikisha kiwanda kuwepo. Mwenye mali anafika pahali anahamia nchi nyingine. Hivi dangote si alitaka kufunga vilago!!
 
Dangote ukiacha mambo mengine kama ilivyo kwenye biashara alikuwa anataka kuleta makaa ya mawe kutoka southafrica badala ya kutumia ya kwetu kwa kisingizio kuwa kule anapata kwa bei nafuu, serikali ilimgomea kwa misingi hiyo, na alikuwa anataka kukwepa baadhi ya kodi kwa kisingozio cha hiyo importation yake
Ingawa utitiri wa kodi na tozo bado ni tatizo kwenye investments
 
Dangote aikuwa hana kosa,kosa ni sera zetu mbovu,niliwasikia madereva wa malori kwenye BBC SWAHILI walikuwa wanalalamika kuwa makaa ya mawe yakiagizwa SAUZI wanapata tani laki 1,na madereva walikuwa wanapiga kazi,lakini Serikali ikamwambia makaa ya mawe anunue hapahapa. Matokeo yake sisi tukawa tunazalisha tani elfu 20,ikafika kipindi uzalishaji ukashuka hadi tani elfu 5,ukashuka tena hadi elfu 2,matokeo yake madereva wakakaa benchi..
 
I get u
 
Naunga mkono hoja
 
Dangote ukiacha mambo mengine kama ilivyo kwenye biashara alikuwa anataka kuleta makaa ya mawe kutoka southafrica badala ya kutumia ya kwetu kwa kisingizio kuwa kule anapata kwa bei nafuu, serikali ilimgomea kwa misingi hiyo, na alikuwa anataka kukwepa baadhi ya kodi kwa kisingozio cha hiyo importation yake
Ingawa utitiri wa kodi na tozo bado ni tatizo kwenye investments
Nashukuru umekiri juu ya gunia la kodi na tozo na bado matakwa ya waliofanikisha uwepo wake ingawa haisemwi hadharani lakini ni ukweli. Mali ghafi kutoka ndani inakuwa ghali saana kuliko inayoagizwa toka nje.huenda na hii ilikuwa sababu.
 
Hapo ndio anapo penda kizimkazi. Mwambie afanye maamuzi magumu anatetemeka tu. Na kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wake ni kuteua na kutengua TU.

Maamuzi yenye kuleta tija kwa mwananchi wakawaida cjaona mpk leo ni miaka 3.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom