makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. B

    Paul Makonda anafanya kazi kama ambavyo Ma-DC wa Mkoloni walivyokuwa makini Tanganyika

    Ukipitia diary / shajara za waliokuwa ma DC wakati wa serikali ya mkoloni utaona walipewa majukumu mengi ya jinsi ya kuendesha tawala za mikoa na serikali za mitaa. Ambapo DC hakutakiwa kukaa ofisini bali alifunga safari kupitia maeneo waliyopangiwa kuangalia masuala ya utoaji haki, makusanyo...
  2. A

    Nimemshauri sasa shemeji yangu engineer wa longido akamuombe msamaha Makonda. Na familia tutamsindikiza

    Wakuu, Familia imeamua shemeji yangu wa longido tutamsindikiza Arusha kwenda kuomba msamaha ni baada ya wazee kujadiliana na kuona kua makonda alikua katika utani. Tunawaomba UWT na LHRC watuache hili suala tutalimaliza wenyewe, na wale wsliolipeleka kisiasa watuachie wanafamilia wenyewe...
  3. comte

    Kwa hali hii wanaharakati mnapata wapi nguvu za kuzodoa makonda?

    https://www.youtube.com/watch?v=nKpJ3VRvg70
  4. Mhaya

    Jerry Silaa na Paul Makonda ni viongozi wa mfano wa kuigwa

    Appreciation post to MAKONDA na SILAA Niliwahi kuwaeleza huko nyuma kwamba kwa dunia ya sasa hivi haiwataki watu imara, yaani watu haiwataki wale waliokuwa na misimamo yao, haiwataki wale wapiga kazi, inawataka watu walegevu. Namwangalia Paul Makonda anavyofanya kazi yake, kiukweli ni mtu...
  5. M

    Makonda ana mapungufu yake lakini ana hekima kubwa na uzalendo. Tofauti na viongozi aina ya Halima Bulembo

    Nimeona namna anavyojua kutatua migogoro na pande zote mbili zikamuelewa , anaelimisha, ni msikivu sana na penye ukweli anausema kama ulivyo. Pia yupo sensitive sana katika mambo yanayogusa amani na usalama wa Taifa. Juzi nimeona jinsi alivyoendesha mkutano baina ya wananchi wa Oljoro ambao...
  6. Aramun

    Anthony Mtaka na Kheri James waipinga style anayotumia Makonda ya kusikiliza kero kwa kuzungukwa na media

    Anthony Mtaka: "Hawa Ma-DC wanafanya kazi kubwa kutatua kero, ni vile hawana ma TV tu." Kheri James: "Tutenge muda wa kutatua kero na si kusikiliza kero"
  7. Suley2019

    Makonda ampa Kiongozi wa Ardhi dakika 5 kutoa hati ya Mwananchi

    Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
  8. B

    Maigizo ya Balozi Dkt. Nchimbi kwenye mikutano yake yanakidhalilisha chama, abadilishe mapigo kidogo

    Balozi Dr Emmanule Nchimbi kama mwanasiasa mbobevu ndani na nje ya Tanzania sikutegemea kama angefanya matukio ya kuigiza kwenye kila anachodai ni kusikiliza kero za Wananchi. Kwanza ifahamikw kwamba Kero na shida za Wananchi zinajulikana kazi walioshindwa Chama na serikali ya ccm ni kuzitatua...
  9. C

    Makonda: Vijana achaneni na siasa, hailipi. Pesa ndiyo inalipa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa vijana kuachana na siasa kwakuwa siasa hailipi badala yake wafikirie kuhusu kutengeneza pesa, maana pesa ndio inalipa na ukiikosa hata kwenye uchaguzi huchaguliwi! Pale ambako mwanasiasa anakwambia siasa hailipi! Kama hailipi mbona haachi...
  10. Aramun

    Kizazi cha akina Mwigulu, Nape, January hakiwezi kutuletea maendeleo yoyote, kizazi cha akina Makonda, Hapi ndicho kina kitu ndani yao

    Uzi huu nauandika nikiwa nimebanwa nkaa kwenye mwendokasi. Na nimepanda mwendokasi kwa sababu sina jinsi maana route ya daladala iliuawa kutokea town centre kuelekea Ubungo hadi Kimara. Hivyo ndivyo maono yangu yanavyonituma. Kwamba hiki kizazi cha akina Mwigulu, Nape, January, kamwe hakitakaa...
  11. Nyendo

    Gambo: Mkuu wa Wilaya asinichokonoe, ameshindwa kuwasimamia Wataalamu, aache kumsingizia Mbunge

    Gambo amuonya Mkuu wa wilaya mbele ya Makonda, asema ameshindwa kazi Kuna kiongozi mmoja, alisema eti mambo hayaendi kwasababu ya mgogogro wa mbunge, Baraza la Madiwani na Wataalamu, haya mlioyaona kuna sehemu mbunge anaingia hapo? Mkuu wa Mkoa kwa kuridhika na kazi yako nimetulia naomba...
  12. BARD AI

    Akina Makonda Wanatulazimisha Tuendelee Kutafakari Nafasi za Wakuu wa Wilaya, Mikoa: Tunawahitaji Kweli?

    Watanzania hawawahitaji wakuu wa mikoa na wilaya, na walilisema hili hadharani wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba, maarufu kama Tume ya Warioba, ilipotembea nchi nzima kwa ajili ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu mfumo wa kiutawala wanaoutaka, na tume hiyo ikayaheshimu mawazo hayo kwa...
  13. La Quica

    CV ya Paul Makonda

    Wakuu kwema? Nafurahishwa sana na utendaji kazi wa huyu mkuu wangu wa mkoa. Kwakweli mama anaupiga mwingi. Nilikuwa naomba mwenye CV yake atuwekee ili tujue na kama itawezekana na watoto wetu wafuate nanyo zake. Asalaam.
  14. Chakaza

    Kama CCM imeshindwa na Makonda kaweza, CCM ya Nini tena?

    Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP. Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
  15. H

    Kuhusu RC Makonda, tusisahau moto wa kichaa pia ni moto!

    Nimeshangaa sana kuona kuna watu wana imani na huyu Makonda, Na kwamba eti, ana uchungu sana sana na nchi hii! Na kwamba eti ni mkuu wa mkoa bora, ni Kiongozi mzuri! Yote tisa, Nimeshangaa na nimestuka kuona kuna wanaokwenda mbali zaidi na kudai makonda anafaa kuwa raisi! Yaani kabisa Raisi wa...
  16. Shining Light

    Makonda suspends health officials over embezzlement allegations in Arusha

    In a public meeting on May 28, 2024, Makonda expressed surprise and concern over their continued presence in office. Arusha DC Director Selemani Msumi confirmed that the matter is now with security agencies, and Human Resources Officer Elizabeth Ngobei stated that the suspension letters had...
  17. BARD AI

    Is Makonda imagining an unthinkable future for Tanzania?

    𝗣𝗥𝗘𝗦𝗜𝗗𝗘𝗡𝗧 𝗣𝗔𝗨𝗟 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗡𝗗𝗔? ◾It's almost laughable to fathom the thought that the abrasive and pseudo-populist Arusha Regional Commissioner could even be considered as a future President of Tanzania ◾A chequered past, questionable education background, authoritarian streak and unhinged personality...
  18. C

    Wakili huyu angekuwa ndio anahojiwa na Makonda angeloa kejeri na udhalilishaji!

    Hapo na Wakili wa Makonda anayetakiwa kuwatetea na wananchi kutokana na dhuluma mbalimbali akisoma hukumu ya kesi nadhani. Huyu bwana ndio angekuwa anahojiwa na makonda angeitwa hajasoma, anaongea vibaya, anabana pua kama anaongea na mke wake, mwishowe amtengeu, ila sababu yuko upande wake kila...
  19. chiembe

    Sikiliza English ya wakili aliyekuwa mkutanoni na Makonda

    Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni. Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika. Huyu atakuwa partner wa Madeleka kwenye kampuni yao ya uwakili...
Back
Top Bottom