ardhi

  1. M

    SoC04 Utajiri uliofichika kwenye Ardhi

    Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi, ikiwemo ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo, ufugaji na uwekezaji. Hata hivyo, migogoro ya umiliki wa ardhi imekuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo endelevu hapa nchini. Kwa bahati nzuri, suluhu ya migogoro hii inaweza kusaidia kuongeza ajira na kuinua uchumi...
  2. Kaka yake shetani

    Hii sheria ya ardhi kuhusu wageni kumiliki ardhi isipokuwa makini mtakuja kulaumiana mbeleni

    Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi. Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi wako kwenye wimbi la umaskini ususani vijijini ambapo ndio maeneo yenye rasilimali kama madini,kilimo...
  3. Suley2019

    Makonda ampa Kiongozi wa Ardhi dakika 5 kutoa hati ya Mwananchi

    Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
  4. GoldDhahabu

    Sheria ya Ardhi inahitaji marekebisho?

    Inasemekana: Kwa Sheria ya Tanzania, hakuna mtu anayeweza kumiliki ardhi. Anaweza kupangishwa tu, labda kwa kipindi cha miaka 99. Kwa Sheria za Tanzania, Rais ndiye "mmiliki" wa ardhi yote nchini. Sijui itakuwaje pale Serikali itakapoitamani ardhi iliyokupangisha! Sijui itakupokonya! Kwa...
  5. J

    SoC04 Upangaji na Upimaji Ardhi kimkakati kuepukana na Changamoto ya Makazi holela katika Miji midogo, Miji, Manispaa na Majiji

    Ukuaji wa miji kiholela nnchini Tanzania ni suala mtambuka ambalo limekua likitafutiwa muarobaini kwa muda mrefu. Kufuatia kasi ndogo ya upangaji wa matumizi ya ardhi na ujenzi wa kasi, makazi holela( makazi yasiyofata utaratibu pangwa) yamekua yakishuhudiwa sehemu tofauti tofauti. Picha ya...
  6. Mr Why

    Jerry Silaha aongeza kasi ya kukomesha kesi za mirathi, ardhi na nyumba

    Kesi za mirathi na kesi zote za umiliki wa ardhi na majengo zimepata suluhu baada ya Mh Jerry Silaa kuongeza kasi ya kukomesha wale wote wanaosababisha mtafaruko ndani ya jamii Mh raisi Samia tunakupongeza sana kwa kumpa Waziri wa ardhi cheo hiki hakika anakitendea kazi Mh raisi bado tunahitaji...
  7. Roving Journalist

    Waziri wa Ardhi aifunga Ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna wa Ardhi Mkoa. Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa...
  8. JanguKamaJangu

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia aunda Kamati kufuatilia kama kuna uvunjifu wa Haki za Binadamu katika mgogoro wa ardhi unaohusisha Kanisa la EFATHA

    1.0 Waheshimiwa Wabunge, tarehe 14 Februari, 2024 nilipokea barua kutoka Kanisa la EFATHA, ikiwasilisha utetezi wake kuhusu mchango alioutoa Mhe. Deus Clement Sangu, (Mb) dhidi ya EFATHA, Mchango huo ulihusu mgogoro wa Ardhi kati ya Wawekezaji kwenye Shamba la Malonje na Vijiji vinavyolizunguka...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Edward Ole Lekaita Atoa Darasa la Sheria Kuhusu Kutatua Migogoro ya Ardhi Nchini

    MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ATOA DARASA LA SHERIA KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI NCHINI "Mhe. Jerry Silaa tangu umeteuliwa umefanya kazi kubwa hasa kupitia Kliniki ya Ardhi, endelea hivyo hivyo kwani matarajio ya Mheshimiwa Rais na wananchi walio wengi wanataka migogoro ya Ardhi iishe na tuwasikilize...
  10. chiembe

    Wakati nchi ikiwa kwenye vita dhidi ya matapeli wa ardhi Morogoro, kwa nini ofisi za ardhi za mkoa ziliendelea kutoa hati kwa matapeli wa ardhi?

    Nilifuatilia vita dhidi ya matapeli wa ardhi Morogoro, nikagundua wote wana hati za ofisi za ardhi Morogoro, Jerry, fumua hiyo ofisi ya ardhi Mkoa na Manispaa ya Morogoro, bila kuibomoa hiyo ofisi, ni kilio tu Morogoro. Fuatilia hati za Mkundi, au itisha mkutano wa hadhara, asilimia kubwa...
  11. S

    Waziri wa Ardhi, mwondoe huyu m/kiti wa baraza la Ardhi wilaya ya Mbulu-Manyara

    Baraza la Ardhi na nyumba wilaya ya Mbulu liko eneo la Dongobesh. Huyu bwana ni mla rushwa, mbaguzi, katili asiye na utu. Anashirikiana na wenye hela ktk eneo husika kuwadhulumu wanyonge. Ameshawanyanganya watu na kuvunja nyumba nyingi kwa ajili ya rushwa. Anakula na ofisi ya msajili kanda...
  12. GoldDhahabu

    Sheria zetu zimeshindwa kuwathibiti matapeli wa ardhi?

    Haya ni miongoni mwa "mauozo" machache: 1. Kiwanja kimoja kumilikishwa kwa watu zaidi ya mmoja 2. Wamiliki halali wa rdhi kupokonywa maeneo yao kinyemela 3. Shamba au kiwanja kimoja kuuzwa kwa zaidi ya mtu mmoja. 4. Watu kuuziwa mashamba/viwanja hewa Wauzaji wa viwanja hewa, kwa mfano...
  13. BARD AI

    Zaidi ya Nusu ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi itatumika kwenye Matumizi ya Kawaida

    DODOMA: Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Bilioni 171,372,508,000 kwaajili ya Matumizi yake kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ambapo zaidi ya Nusu ya Bajeti (Tsh. 93,930,673,000) imeelekezwa katika Matumizi ya Kawaida Pia, Wizara imeomba kiasi...
  14. Makirita Amani

    Kujenga Utajiri kupitia Ardhi na Akiba

    Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye mwendelezo wa masomo ya NJIA KUMI ZA KUJENGA UTAJIRI kutoka kitabu kinachoitwa THE TEN ROADS TO RICHES kilichoandikwa na Ken Fisher. Kwenye masomo yaliyopita tumejifunza njia nane kati ya 10 za kujenga utajiri. Kwenye somo hili tunakwenda kujifunza njia ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    MBUNGE WA MBOGWE, Mhe. Nicodemas Henry Maganga Amtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Kufika Mbogwe Kutatua Migogoro ya Ardhi

    MBUNGE WA MBOGWE, Mhe. Nicodemas Henry Maganga Amtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Kufika Mbogwe Kutatua Migogoro ya Ardhi "Kupitia Kamati ya Mawaziri Nane (08) wanaoshughulikia utatuzi wa migogoro ya vijiji 975, hifadhi ya Msitu wa vilima vya Mkweni haiikuwa kwenye orodha ya Misitu...
  16. E

    SoC04 Kutumia Mifumo ya Blockchain katika Usimamizi wa Ardhi na Hati za Umiliki

    Wazo hili linahusu matumizi ya teknolojia ya blockchain katika usimamizi wa ardhi na hati za umiliki ili kuongeza uwazi, usalama, na ufanisi katika sekta ya ardhi nchini Tanzania. Blockchain ni teknolojia ya kuhifadhi taarifa katika mfumo wa kidijitali ambao ni salama na haubadiliki. Kila...
  17. GoldDhahabu

    Watumishi wa idara ya ardhi Tanzania "wamelaaniwa"?

    Angalia majiji makubwa kama Arusha, Mwanza na Dar Es Salaam! Kero zilizosababishwa na watumishi wa hiyo idara ni lukuki! Kuna waliopokonywa ardhi isivyo halali! Kuna waliotapeliwa!, n.k. Kesi ni nyingi sana. Baada ya kuona malalamiko yanayoshughulikiwa na Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, pamoja...
  18. Lawrance franci

    Wasiolipa kodi ya pango la ardhi wapewa siku 30

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ametoa siku thelathini (30) kwa wamiliki wote wa ardhi wanaodaiwa Kodi ya Pango la Ardhi ambao hawajalipa hadi sasa kulipa kodi husika na baada ya muda huo kupita hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Waziri Silaa ameyasema...
  19. Roving Journalist

    Wananchi Katavi watakiwa kutokwepa kulipa kodi ya ardhi

    Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Katavi wameiomba serikali kuona namna bora ya kuwapunguzia wananchi Kodi ya ardhi na kodi ya jengo ambapi imekua mzigo kwa wananchi hao kulipa kodi mbili kutokana na serikali kukata fedha kupitia mfumo wa LUKU huku kodi ya ardhi ikitakiwa kulipiwa katika ofisi za...
  20. M

    Hoja za Tundu Lissu kuhusu Muungano na ardhi ya Tanzania kugawiwa Waarabu.

    Mh. Tundu Lissu amekuwa akitoa hoja zake kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa hauna usawa. Lakini pia amekuwa akieleza kuwa, ardhi ya Tanzania inagawiwa kwa Waarabu wa Oman kwa maelfu ya Hekta. Kutokana na hoja hizo, naomba watu wa serikali watoe majibu ya kina na ya kweli, vinginevyo...
Back
Top Bottom