utajiri

  1. Robert Heriel Mtibeli

    Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama ûzuri na ûhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya. Je ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

    Habari za jumapili! Ni wivu katika jamii au ni jambo gani? Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika, Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k? Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
  2. M

    SoC04 Utajiri uliofichika kwenye Ardhi

    Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi, ikiwemo ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo, ufugaji na uwekezaji. Hata hivyo, migogoro ya umiliki wa ardhi imekuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo endelevu hapa nchini. Kwa bahati nzuri, suluhu ya migogoro hii inaweza kusaidia kuongeza ajira na kuinua uchumi...
  3. Komeo Lachuma

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Akifanyiwa mahojiano na kituo cha Habari cha Global TV Dkt Sule ameeleza masuala mbalimbali yanayohusu kupata mali kwa kutumia majini. Akifafanua kwa imani yake kuwa kupata mali kwa Majini si haramu Sule anasema: Kupata mali kwa njia ya majini ambao sio wachafu sio haramu, nitasema na...
  4. The Stress Challengerr

    Tumepokea kwa shangwe kushuka kwa utajiri wa Elon Musk na kuwa watatu

    Ebana wanajamvi inakuwaje! Ni chereko, nderemo, shangwe, vifijo na furaha baada bilionea wa Tesla utajiri wake kushuka hadi 198 billion usd na kuwa watatu nyuma ya Bernard Arnault mfaransa na billionaire wa Amazon Jeff Bezos. Ikumbukwe huyu Elon Musk ni mbaguzi na kujifanya Mungu mtu...
  5. Makirita Amani

    Weka kazi na kuwa na msimamo kujenga utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye maisha, kile kinachoitwa ni mafanikio ya haraka, huwa ni kazi iliyofanyika kwa muda mrefu bila ya kuonekana. Kwa bahati mbaya sana, wakati watu wanaanzia chini kabisa na kupambana kufanikiwa huwa hawaonekani. Lakini wakishafanikiwa, wanaanza kusikika na kujulikana...
  6. Makirita Amani

    Fanya kwa kusudi na ongozwa na malengo ili kujenga utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Hadithi za kulala masikini na kuamka tajiri zimekuwa zinapendwa sana na watu wengi. Wengi hudhani kuna njia ya mkato ya kupata utajiri, ambayo wakiweza kuipata tu basi wanakuwa wameagana na umasikini kabisa. Lakini ukweli ni kwamba hakuna utajiri mkubwa wa kudumu...
  7. Makirita Amani

    Amini Na Wajibika Binafsi Kujenga Utajiri Mkubwa.

    Rafiki yangu mpendwa, Ukiwaangalia watu wanaojenga utajiri na wale wanaobaki kwenye umasikini, hawatofautiani sana kwa nje. Unakuta wengi wanatokea eneo moja, wanafanya kazi au biashara zinazofanana, lakini matokeo yao ni tofauti kabisa. Hilo limekuwa linawashangaza wengi, kwa kushindwa...
  8. Makirita Amani

    Vunja Imani Hizi Potofu Sita (6) Kama Unataka Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yako.

    Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu aliye hai, ambaye ana shughuli yoyote ya kumwingizia kipato, anao uwezo wa kujenga utajiri kwenye maisha yake. Ndiyo, nimesema kila mtu, hata wewe unayesoma hapa, bila ya kujali unaanzia wapi, uwezo wa kujenga utajiri tayari unao. Kama unashangaa huo uwezo uko...
  9. Makirita Amani

    Kujenga Utajiri kupitia Ardhi na Akiba

    Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye mwendelezo wa masomo ya NJIA KUMI ZA KUJENGA UTAJIRI kutoka kitabu kinachoitwa THE TEN ROADS TO RICHES kilichoandikwa na Ken Fisher. Kwenye masomo yaliyopita tumejifunza njia nane kati ya 10 za kujenga utajiri. Kwenye somo hili tunakwenda kujifunza njia ya...
  10. Mdeke_Pileme

    SoC04 Utajiri Uliojificha Kwenye Koti La Kimaskini, Ni Mda Muafaka Sasa Wa Kulifufua. Iundwe Wizara Mpya Ya Sayansi ,Technologia na Uvumbuzi.

    TANZANIA TUITAKAYO NA MAARIFA YA KUJITEGEMEA. Binadamu tunakabiliwa na changamoto kubwa za kimaisha ambazo zinahitaji suluhisho hasa katika masuala ya kiteknolojia. Ikiwa ni pamoja na jinsi ya kufikia maendeleo endelevu ya Tanzania Tuitakayo, hapa tunaongelea kuchochea uchumi wa masoko wenye...
  11. Makirita Amani

    Kanuni ya kukokotoa utajiri unaotakiwa kuwa nao kulingana na umri wako

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye safari ya kujenga utajiri, watu huwa wanashangaza sana. Wengi wanapokuwa na miaka 20 na 30 huwa wanaona ni mapema sana kwao kuhangaika na kujenga utajiri. Hivyo wanajiachia na kutumia kipato chao vile wanavyotaka. Wanapofika miaka 40, wanajiona wameshachelewa...
  12. Makirita Amani

    TABIA ZA KITAJIRI; Tabia za kuishi kila siku ili kupata utajiri, mafanikio na furaha

    Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa kukukaribisha kusoma kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI. Ni furaha kubwa kwangu kwani kwa wewe kukisoma na kuchukua hatua, nakuwa nimetimiza na hata kuvuka wajibu wangu wa kushirikisha maarifa haya ambayo yana nguvu kubwa kwa yeyote anayeyaelewa na...
  13. KHM 1995

    Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

    Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi? Kama linafanya kazi stakeholder na maexpert wa field hii wajitokeze tujue hii kitu inaexit au scams tu. Asante kwa kuwakilisha, wazee...
  14. MINING GEOLOGY IT

    Prof. Muhongo ataja utajiri wa madini nchini “Tufanye maamuzi haraka tutailisha dunia”

    https://www.youtube.com/watch?v=k0X8CsnDV24 Ni kazi ngumu kufikisha idara hii ya geology ambayo kwa kwetu imeonekana kama ina mchango mdogo wakati ndio yenye utajiri wa madini. MINING GEOLOGY IT
  15. MINING GEOLOGY IT

    Sasa ni wakati wa kutoka gizani kwenye pango kuhusu utajiri wa madini

    Hapa kuna ujumbe kwenu: Alama ya pango la Plato Katika pango, watu ambao wameishi maisha yao wakielekea nyuma kuelekea mwanga unaoingia kutoka nje, wanauona tu vivuli vya wanyama, watu, na vitu mbele yao. Vivuli hivi ndivyo ukweli pekee kwa watu hawa ambao hawajawahi kuona sura zao halisi.Siku...
  16. MINING GEOLOGY IT

    Dhahabu ya Afrika na Utajiri wa Mansa Musa na Biashara ya Dhahabu katika Karne ya 14 na 15

    HISTORIA Mansa Musa, ambaye alikuwa mtawala maarufu wa Dola ya Mali kati ya karne ya 14 na ya 15, alikuwa mwenye utajiri mwingi sana na anajulikana kwa utajiri wake mkubwa wa dhahabu. Utajiri wake mkubwa ulitokana na utawala wa eneo lenye rasilimali nyingi na biashara ya dhahabu.Eneo la Dola ya...
  17. Lomaa lolusa

    Utajiri kupitia ufugaji

    Members habari naweza kutajirika kupitia ufugaji na kitu gani Cha kufuga kitakachonitoa haraka
  18. I

    Kenya yaorodheshwa kama nchi ya nne kwa utajiri barani Afrika

    Kenya iliorodheshwa katika nafasi ya nne katika nchi tajiri zaidi barani Afrika na siku 2 zilizopita Kenya imeorodheshwa miongoni mwa masoko makubwa matano tajiri barani Afrika yenye mamilionea na mabilionea. Kulingana na Ripoti ya Utajiri ya Afrika ya 2024 iliyochapishwa na Kampuni ya...
  19. MINING GEOLOGY IT

    Craton yenye utajiri wa madini na usalma

    Kwa tanzania ni moja ya maeneo yenye craton, ambayo ni sehemu thabiti ya ganda la dunia ambalo limekuwepo kwa mamilioni ya miaka bila kubadilika sana. Craton za Afrika, ikiwa ni pamoja na ile ya Tanzania, zinaonyesha ishara za miamba yenye umri mkubwa sana, kama vile miamba ya kale ya...
Back
Top Bottom