jerry silaa

Jerry William Silaa
Jerry William Silaa (1982) ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi, August 2023 aliteuliwa na Rais Samia Suluhu kuwa Waziri wa Ardhi, Nyuma na Maendeleo ya Makazi.
  1. Mhaya

    Jerry Silaa na Paul Makonda ni viongozi wa mfano wa kuigwa

    Appreciation post to MAKONDA na SILAA Niliwahi kuwaeleza huko nyuma kwamba kwa dunia ya sasa hivi haiwataki watu imara, yaani watu haiwataki wale waliokuwa na misimamo yao, haiwataki wale wapiga kazi, inawataka watu walegevu. Namwangalia Paul Makonda anavyofanya kazi yake, kiukweli ni mtu...
  2. Mr Why

    Jerry Silaha aongeza kasi ya kukomesha kesi za mirathi, ardhi na nyumba

    Kesi za mirathi na kesi zote za umiliki wa ardhi na majengo zimepata suluhu baada ya Mh Jerry Silaa kuongeza kasi ya kukomesha wale wote wanaosababisha mtafaruko ndani ya jamii Mh raisi Samia tunakupongeza sana kwa kumpa Waziri wa ardhi cheo hiki hakika anakitendea kazi Mh raisi bado tunahitaji...
  3. Influenza

    Kawe, Dar: Hatimaye Kituo cha Mafuta cha Lake Oil kilichokuwa karibu na makazi ya Watu na stendi ya daladala ya Tanganyika Packers chabomolewa

    Baada ya malalamiko ya muda mrefu ya Wakazi wa Kawe katika Wilaya ya Kinondoni, hatimaye Kituo cha Mafuta cha 'Lake Oil' kilichokuwa kimejengwa karibu kabisa na makazi ya watu kimeanza kubomolewa. Kituo hicho kilichokuwa karibu pia na stendi ya daladala ya Tanganyika Packers kilikuwa...
  4. Huihui2

    Video Clip: Jerry Silaa adai kuna Jaji anamlinda tapeli wa viwanja

    Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa Mzee "X". Na sasa Jaji "Y" anawaita Mawakili wa Serikali kutaka kuwa CORRUT. Je huyu Jaji "Y" ni...
  5. J

    Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais!

    Huyu Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais! Huyu jamaa ukimtazama haraka haraka unaweza kumchukulia poa Ila spiritual na kiuzalendo yuko vizuri kuliko Mawaziri wote nadhani. Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri. 😂 Sabato...
  6. K

    Ushauri kwa Waziri Jerry Silaa

    Kuna tatizo sugu la ardhi limekuwa likiendelea nchi kwa miaka mingi. Halmashauri nyingi hazitaki kupima mashamba vijijini kwa makusudi mpaka wanapopata mradi. Mradi ukitokea wenye mashamba wanapewa fidia kidogo, mashamba yakishapimwa wanamilikishwa wafanyakazi wa ardhi halafu wanayauza kwa faida...
  7. Kaka yake shetani

    Tuweke siasa pembeni, usomi ungekuwa unatumiwa mfano aliyepata uwaziri wa ardhi Jerry Silaa jinsi sheria anavyoweza kuitumia kwenye utendaji

    Sijawahi kumfatilia sana waziri wa ardhi, Jerry Silaa ila nilichomkubali baada ya kuona jinsi anavyochambua sheria za ardhi na jinsi ya kutatua migogoro kisomi na kijamii zaidi. Kama viongozi wengine wangekuwa mfano wa kuonesha elimu yao na utendaji tungekuwa mbali sana.
  8. Yoda

    Waziri Jerry Silaa, kwanini hushughuliki na maafisa ardhi? Jifunze kutoka Libya ya Gaddafi pia

    Katika muendelezo wa kile waziri wa ardhi Jerry Silaa anachokiita kliniki ya ardhi na kutatatua changamoto za ardhi ameendelea kupuuza kabisa documents/nyaraka halali za serikali na mahakama za wale wanaodaiwa kuwa ni wavamazi au wanunuzi matapeli waliojimilikisha ardhi za watu wengine. Yani mtu...
  9. chiembe

    Jerry Silaa kapewa onyo tu?! Maana nilitarajia aondolewe katika uwaziri!

    Dah....mama anaupiga mwingi, kwa hiyo Jerry kapewa onyo tu, huyu naye ni wa kufukuza, ila bado tunasubiri muda, maana njia yake anaiwekea miba kwa juhudi kubwa sana. Anguko lake haliko mbali. Mama anatoaga second chance.
  10. chiembe

    Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa sana. Sasa watanzania wataingia hasara ya bilioni 20 ili kumlipa Johnson Mahululu baada ya Jerry...
  11. chiembe

    Jerry Silaa, mbona hututembelei Manzese na Tandale, au kwa Mpalange unapita pita maeneo ya matajiri tu, hatukuoni vijijini!

    Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama hayo, akaunda kamati ya kitaifa ya mawaziri. Mbona ndugu Silaa hajihusishi na hayo ambayo SSH...
  12. Lord denning

    Hongera sana Jerry Silaa. Naona mwanzo wa nchi yetu yote kupimwa na kupangwa chini yako

    Kama kuna jambo linalonifanya kila siku niseme inawezekana nchi yetu tulilaaniwa ni namna ambavyo nchi yetu imejengwa vibaya bila mpangilio. Yaani namna watu wanavyojijengea hovyo hovyo tu bila mpangilio na kupangwa. Kila siku tumekuwa tukiandika humu na kusema humu huku titicaca Serikali...
  13. Pfizer

    Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

    Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao. Kituo hicho kinajengwa katika Barabara ya Senga, Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi Kata ya Mikocheni...
  14. J

    Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

    Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi. Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa...
  15. ChoiceVariable

    Jerry Silaa: Ukiharibu hatukuhamishi bali tutamalizana na wewe

    Jerry Silaa ameonya kwamba mtumishi yeyote wa Umma atakayeharibu hatohamishwa Kituo Bali atamalizana nae Kwa kumfukuza kazi. Watumishi ujumbe wenu huo ---- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi, Jerry Silaa @jerrysilaa amesema hakuna Mtumishi yeyote wa ardhi atakayepangiwa eneo...
  16. ChoiceVariable

    Jerry Silaa atoa siku 100 kwa waliovamia maeneo ya wazi kuondoka Mara Moja

    Ngoja tuone maana umekuja na matamko mengi sana. - Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa, amewataka waliovamia maeneo ya wazi kuanza kuondoka mara moja huku akiwaelekeza viongozi na watendaji wa wizara hiyo, wenye mamlaka ya kusimamia sheria kuhakikisha ndani ya siku...
  17. ChoiceVariable

    Waziri Jerry Silaa aigiza Wizara ya Ardhi Kitengo cha Upimaji na Ramani kupima kila kipande cha ardhi nchi nzima

    Waziri wa Ardhi na Nyumba ameagiza Nchi nzima ipimwe. Moja ya shida kubwa kabisa ya Tanzania ni ujenzi holela na Nchi inakuwa kama dampo Kwa kujaaa ma slums na mabanda Kila sehemu. My Take: Peleka Kwenye Balaza la Mawaziri pendekezo la kuunda Mamlaka au Wakala wa Mipango Miji na Matumizi...
  18. BARD AI

    Waziri Jerry Silaa apiga marufuku ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo. Waziri Silaa...
  19. R

    Jerry Silaa ataka Serikali kutoyumbishwa uboreshaji wa Bandari

    Mbunge wa Ukonga (CCM) Jerry Silaa ameishauri Serikali kutokubali kuyumbishwa na watu wanaotaka nchi isiendelee kiuchumi kwa kupinga utekelezaji wa makubaliano kati ya Serikali yaTanzania na Dubai juu ya uboreshaji wa bandari nchini. Bunge liliridhia azimio makubaliano kati ya Serikali ya...
  20. ChoiceVariable

    Jerry Silaa: Serikali iweke Tozo ya Tsh. 100 kwenye mafuta yanayonunuliwa Dar ili Kupata Pesa za Kujenga Barabara za Jiji

    Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam. Jerry Silaa amesema amesema...
Back
Top Bottom