tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Erythrocyte

    Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
  2. E

    SoC04 Bunifu ya kuboresha Sekta ya Kilimo yanayoweza kutekelezwa kuanzia sasa mpaka miaka 25 ijayo ili kupata Tanzania tuitakayo kwenye kilimo

    Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao kwenye mashamba ambayo inajumuisha uzalishaji wa mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Kilimo hulenga kuzalisha chakula, malighafi za nguo, na nishati kutoka kwa mimea. Mkulima ni mtu au shirika linalojihusisha na shughuli za kilimo kwa lengo la...
  3. P

    SoC04 Advancing the Technology Sector in Tanzania

    Introduction: The technology sector has the potential to drive economic growth, innovation, and job creation in Tanzania. However, there are challenges that need to be addressed to fully capitalize on this potential. This proposal outlines a comprehensive plan to advance the technology sector...
  4. kiroba kifupi

    SoC04 Tanzania tuitakayo ni ile ambayo wananchi wake wanautaratibu wa kujiwekea akiba

    UTANGULIZI - Tanzania tuitakayo ni ile ambayo wananchi wake wana utaratibu mzuri wa kujiwekea akiba. Akiba ni muhimu sana katika ustawi wa kibinafsi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi. Kwa hiyo, kuwa na utamaduni wa kujiwekea akiba kunaweza kusaidia katika kujenga mifumo imara ya kifedha kwa...
  5. Nguruka

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
  6. GoldDhahabu

    Watumishi wa idara ya ardhi Tanzania "wamelaaniwa"?

    Angalia majiji makubwa kama Arusha, Mwanza na Dar Es Salaam! Kero zilizosababishwa na watumishi wa hiyo idara ni lukuki! Kuna waliopokonywa ardhi isivyo halali! Kuna waliotapeliwa!, n.k. Kesi ni nyingi sana. Baada ya kuona malalamiko yanayoshughulikiwa na Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, pamoja...
  7. Mama Amon

    The Tanzania Democracy Forum 2024: Towards an Inclusive, Participatory Democracy in the United Republic of Tanzania

    The Tanzania Democracy Forum 2024: Towards an Inclusive, Participatory Democracy in the United Republic of Tanzania 16 and 17th May, 2024 Golden Tulip Airport Hotel, Zanzibar Zanzibar, Tanzania Abstract The Center for Strategic Litigation (CSL), in collaboration with Waandishi wa Habari za...
  8. OLS

    Ukiachana na ranks, kwa score bado mazingira ya habari ni magumu

    Mei 3, watu wengi walifurahi kuona Tanzania imepanda kwa nafasi 40 kwenye uhuru wa habari duniani. Yaani mwaka 2023 ilikuwa ya 143, lakini mwaka 2024 imekuwa ya 97. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Reporters without Borders. Hata hivyo, ripoti ile inaweka score kwa kila nchi na kila score ina...
  9. Jamii Opportunities

    Utilities Operator x4 at AB InBev

    Dreaming big is in our DNA. It’s who we are as a company. It’s our culture. It’s our heritage. And more than ever, it’s our future. A future where we’re always looking forward. Always serving up new ways to meet life’s moments. A future where we keep dreaming bigger. We look for people with...
  10. Mkalukungone mwamba

    Mohammed Issa: Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake

    Mbunge Khalifa Mohammed Issa (ACT) kutoka Jimbo la Mtambwe, Zanzibar amesema Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake. Amebainisha kuwa wanzanzibari hubaguliwa kwa uzanzibari wake na kauli zingine husema Rais Samia anatawala nchi isiyo yake, amekopeshwa kutoka Zanzibari aje kuwa Rais wa Jamhuri...
  11. K

    SoC04 Tanzania tunaweza

    🇹🇿 Tanzania viongozi na taasisi za serikali bado ushirikiano hakuna baadhi ya taasisi aziwasiliani na taasisi zingine katika kufanya maendeleo unakuta kila taasisi mbabe kwakuwa kila mtu kachaguliwa na rais mfano TANROADS wanatengeneza barabara alafu kuna nguzo za umeme basi barabara hiyo...
  12. A GIRL OF THE GIRLS

    SoC04 Tanzania bila ulemavu wa neli ya mgongo (neuro tube defects) kwa watoto wanaozaliwa inawezekanika

    Kasoro ya kuzaliwa ni mabadiliko ya kimuundo ambayo yapo wakati wa kuzaliwa yanaweza kuathiri ukuaji na utendaji wa mtoto. Kwenye nchi yetu uchunguzi uliyofanyika mwaka 2015 kwenye Hospital ya Ifakara, Ilionesha kuwa Watoto wanaozaliwa na kasoro ni 5.6 % kubwa kuliko wastani wa Dunia nzima ambao...
  13. S

    SoC04 Utumishi kwenye Kata na Tanzania tuitakayo

    Imekua ni dhana iliyoko kwenye vichwa vya watu wengi hasa watumishi, wapya na wengine wazoefu kuwa kufanya kazi kwenye kata ni jambo gumu sana kuweza kulitekeleza, na hiyo inathibitika kutokana na hali ilivyo katika kata nyingi nchini Tanzania. Watumishi wengi wanaofanya shughuli zao kwenye kata...
  14. kiroba kifupi

    SoC04 Tanzania mpya tuitakayo ambayo si kichwa cha mwendawazimu katika medani za kimichezo na kisoka

    UTANGULIZI. NB: picha ya kibonzo kwa hisani ya mtandao mchoraji Marco Tibasam 📌Tanzania ina historia ya mafanikio katika michezo mbalimbali kama vile riadha, masumbwi,soka, na mengineyo. Ingawa kuna changamoto na maboresho yanaweza kufanywa, kutambua mafanikio na jitihada za wanariadha na...
  15. K

    SoC04 Tanzania tuitakayo yenye maono ya kibunifu ambayo yanaweza kutekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15 hadi 25 ijayo katika nyanja mbali mbali

    Kuunda Tanzania bora zaidi katika miaka ijayo kutafuta mbinu madhubuti na mawazo bunifu ya kutekelezeka katika nyanja mbalimbali. Kupitia mipango ya miaka 5, 10, 15, na 25, tunaweza kuona mabadiliko makubwa katika elimu, maendeleo ya vijana, kuwawezesha wanawake na watoto, kuboresha kuboresha...
  16. K

    SoC04 Kuendeleza Tanzania kufikia maono ya kibunifu katika miaka ijayo inahitaji mkakati thabiti na mipango madhubuti katika nyanja mbalimbali

    Elimu: 1. Miaka 5: Kuboresha ya shule na kusambaza vifaa vya kufundishia. 2. Miaka 10: Kuimarisha mafunzo ya walimu na mfumo wa elimu unaowezesha kujifunza endelevu. 3. Miaka 15: Kuanzisha programu za ufundishaji wa stadi za kidijitali ili kuandaa wanafunzi kwa ajira za baadaye. 4. Miaka 25...
  17. Logikos

    Tanzania (Cradle of Humanity na Moja ya Chimbuko la Mapinduzi Afrika) - The Untapped Cash Cow kupitia Utalii

    Tanzania - Chanzo cha Binadamu Kwanza kabisa ya Kaisari tumuachie Kaisari....; Tukifuata Historia Tanzania ni kwamba Chimbuko la Binadamu wa Kwanza ni nchini Tanzania Olduvai Gorge.., Ni kwamba hapa ndio Chanzo cha Binadamu na wote tumetokea hapa....; - Sasa hapo utaona kama vile watu...
  18. BabuKijiko

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?
Back
Top Bottom