mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Wabongo kwa kujiita C.E.O mitandaoni utafikiri hata wanajua maana na kirefu cha herufi hizi. Sio mbaya kujiinua ila huu ni ulimbukeni.

    Mara utasoma " The cute baby mama" C.E.O wa Ze Cute Outfits za warembo Mara "Juma aka Simba mkali" C.E.O wa simba fanicha kunduchi" Maana halisi na ya kawaida ya C.EO ni mtu mkuu mwenye jukumu la kusimamia kampuni, ambaye wakati mwingine pia ni rais wa kampuni au mwenyekiti wa bodi. Tena hapo...
  2. Jaji Mfawidhi

    Hospitali zaanza kutafuta wagonjwa mitandaoni, Wasanii wahusishwa!

    https://www.pc.go.tz/ Shilole ameonekana akitangaza hospitali hiyo hapo kwenye picha na kusisitiza wagonjwa waende na kwamba ni hospitali Bora. Kimaadili si sawa, ni kama hospitai hiyo inataka kupata watu waumwe ili wakatibiwe huko na ni muhimu sana kujua kwamba ni kama ndvyo basi bwana...
  3. BARD AI

    Zambia: Wananchi wapinga Serikali kuanzisha Sheria ya Kudhibiti Vyombo vya Habari vya Mitandaoni

    Tangazo la Serikali kuitaka Mamlaka Huru ya Utangazaji (IBA) kuongeza Kanuni mpya zitakazodhibiti Uendeshaji wa Vyombo vya Habari vya Mitandaoni limeibua malalamiko ya Wananchi wanaodai zinalenga kuminya Uhuru wa Habari na Kujieleza Baadhi ya Wanahabari na Wanaharakati wamesema "Kuna haja...
  4. A

    DOKEZO Utapeli mpya uliozuka mtandaoni

    UTAPELI MPYA ULIOZUKA MITANDAONI Habari wana Jamii Forums Kumekuwa na njia mpya ya utapeli mitandaoni ambayo inawaumiza wa Tanzania wengi na pia kuwaondolea uaminifu baadhi yao kwa jamii inayowazunguka. Utapeli umekuwa ukihusisha mtandao wakijamii wa Facebook kama daraja la kufanikisha hao...
  5. Mr Why

    Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za wabaya wanaokuteta mitandaoni

    Mh Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za mafisadi wanaokuteta mitandaoni kumbuka kuwa binadamu hata umfanyie jema atakupaka mavi Ni hivi karibuni umeanza harakati za kuwafuata Wananchi na kusikiliza keo zao ikiwemo kutatua lakini mitandaoni humu tunaona watu wakijadili misafara yako...
  6. Comrade Ally Maftah

    Usitapeliwe mitandaoni - Part 1

    CHUKUA TAHADHARI ZIFUATAZO KUEPUKA KUTAPELIWA MTANDAONI MAELEZO KWA VIDEO👇🏽 Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Kutokana na hali ya watu kuwa wanadhurumiwa mara kwa mara kwenye mitandao ninaanza kampeni ya kuwasanua watu kuhusu mbinu za hawa matapeli, WAUZAJI WA BANDO Pamoja na...
  7. lord commander

    Mitandaoni sio sehemu ya kujibizana na kila mtu

    Katika miaka kadhaa ambayo watanzania tumeizoea mitandao basi tunakutana na watu mbalimbali katika posts zao ama comments ambazo ukizisoma unaweza patwa na hasira kwa jinsi alivyoandika upuuzi. 1.Kuna hawa wanaoandika kuhusu siasa, kuunga mkono juhudi, kutukana wapinzani, kusifia mambo...
  8. R

    Kwanini wanachama wa CCM wamewaacha viongozi wao akiwemo Kinana kushambuliwa mitandaoni bila kuwatetea?

    Mhe. Kinana anazungumza na waandishi wa habari Dodoma. Katika mambo aliyozungumza ni kudai tume itakuwa huru, kudai Rais ana nguvu kwenye kila tume ya uchaguzi Duniani na kudai Chadema wanamepewa uhuru siku chache na wanahubiri chuki. Katika haya yote hakuna linaloonekana kuungwa mkono X na...
  9. R

    Watakatishaji fedha wanaotoa mikopo mitandaoni wanalindwa na nani? Wanapata wapi pesa za kukopesha watu wasiowafahamu?

    Tanzania kuna mtandao mkubwa umeibuka wa utakatishaji fedha unaoongozwa na wanasiasa na viongozi wa umma wanaokwapua fedha za walipa kodi zisizo haki yao. Kutokana na watu hawa kupata fedha wasizo na uchungu nazo wametengeneza application zakutoa fedha online kama mikopo. Masharti yao...
  10. Teko Modise

    Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

    Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi. Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni. Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa...
  11. mdukuzi

    Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

    Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka . Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko...
  12. olimpio

    Kuna shida ya kupambana na matapeli mitandaoni

    Nimepitia report ya Mamlaka ya mawasiliano ya past three months(iliyotoka mwezi huu) report Nimeona kitu cha ajabu sana , kila report hizi za TCRA zikitoka , mikoa miwili ya Rukwa na Morogoro inaongoza kwa utapeli mitandaoni , kuna maswali magumu sana najiuliza 1. Taasisi zinazopambana na...
  13. Andre-Pierre

    Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

    Vijana wa Arusha (wadudu) msipobadilika mtaangamia sana. Kuna video inatembea mitandaoni hasa twitter, bodaboda akigongana uso kwa uso na Subaru. Chanzo ni mwendo kasi wa bodaboda na ku-over take bila kuchukua tahadhari. Nafikiri wale jamaa wa bodaboda wamefariki palepale. Maana mmoja...
  14. jingalao

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa...
  15. DeepPond

    Belarus: Akamatwa kwa kushangilia ugaidi wa Crocus HALL mitandaoni

    Mamlaka za usalama nchini BELARUS zimekamata kijana alieshangilia vifo vya raia wa kiberalus na kirusi waliouwawa na kujeruhiwak ktk tukio la kigaidi jijini Moscow kwenye ukumbi wa crocus city hall.
  16. U

    Wataalam wa kudownload mitandaoni naombeni mnisaidie pdf za vitabu hivi

    Edit: Nimshukuru thesym kwa kuweza kushare nasi link muhimu yenye vitabu kibao, nimeweza kupata vitabu nilivyohitaji nawe waweza kujaribu. link ya vitabu
  17. MamaSamia2025

    Ninawashukuru sana makada na viongozi wa CHADEMA kwa free publicity wanayoipa CCM kupitia majukwaa yao mitandaoni

    Nitakuwa mchoyo wa shukrani na pongezi nisipoandika uzi huu wa kuwashukuru na kuwapongeza kwa dhati makada na viongozi wa CHADEMA kwa kukitangaza bure Chama Cha Mapinduzi kupitia majukwaa yao mitandaoni. Kila CCM inapofanya jambo lake huwa viongozi na makada wa CHADEMA hupost kwenye pages zao...
  18. R

    Chawa wa Makonda wanapambana na Amos Makalla mitandaoni kuliko hata wapinzani

    Mzee Makala natabiri atakaa kwa muda mfupi sana kwenye nafasi mpya. Changamoto kubwa iliyopo ni kukalia kiti cha mtu anayeamini yupo sahihi na anaweza kuliko wote. Team Makonda are not happy na kilichotokea, awataki kuamini kwamba Makala anaweza akawa smart kuliko bosi wao. Wamegoma kukubaliana...
Back
Top Bottom