Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu
Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani
Na anachuki na wachezaji fulani
Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira
Ila huyu kocha anabagua wachezaji
Tunaomba chama cha Fat...
NIiwakumbushe tu kitu kimoja, ukiyabeza ya mwenzio ya kwako yatafanywa hivyo hiyo.
Nizungumzie kitu kidogo tu cha usafi wa mazingira yetu ambalo lilikuwa ni maono ya kwanza ya JPM alipoingia madarakani, na ikapitishwa siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi watu wote tufanye usafi wa maeneo yetu...
Katika Vitu vinapoteza watu wengi kwenye biashara ni MTAJI WA KUTOSHA.
kuna watu nawambia wana mitaji mikubwa sana ya kufungua biashara yoyote na popote pale lakini hawaangaliii wala kuwaza yatakayojiri kwenye hizo biashara mambo yakigeuka.
Kuna
Uwezo kipesa na
Kuna Ujuzi Wa kitu
Katika...
Wewe ni bosi upo kampuni flani au kwenye taasisi ya serikali lakini unatumia mamlaka yako vibaya kwa kuwakandamiza na kuwanyanyasa walio chini yako na kuwadhulumu stahiki zao, nini faida ya yote hayo unayoyafanya?
Zikitangazwa ajira kwenye ofisi yako unaitisha interview kama formality tu lakini...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.
Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah...
Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.
Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au anatumia nini haswa ambacho ni tofauti na mtanzania mwengine wa maisha ya wastani?
Wanafunzi wakumbuke...
Anaemia/ Upungufu wa Damu kwa wajawazito
Je unajua upungufu wa damu huchangia 14.5% ya vifo vya kinamama(Martenal Deaths) Tanzania?
Kiasi cha damu pungufu ya 11g/dl uhesabika upungufu wa damu kwa Mjamzito ambapo kikawaida hutakiwa kuwa 11.5 - 13g/dl wakati huu
Fuatana nami sasa 👇🏿
Upungufu...
Magonjwa yasioambukizwa sio jambo geni masikioni mwetu, shuleni tumesoma baadhi ila kwa juu juu sana. Magonjwa yaliyopewa kipaumbele ni magonjwa ya kuambukiza, elimu yake imekua ikitolewa mpaka mtaani. Lakini kadiri ya siku zinavyosonga magonjwa yasioambukiza yamezidi kujinafasi na kua hatari...
UTANGULIZI:
Miaka ya hivi karibuni watanzania tumekuwa tukipokea taarifa au kushuhudia mauaji ya kinyama kutoka mikoa mbalimbali nchini. Bila shaka wote tunatambua kuwa kumtoa mtu uhai wake ni kinyume na haki za binadamu kwani unamuondolea haki yake ya...
Wakuu habari,
Embu tujadili hili swala hapa. Mimi baada ya kumaliza form 6 niliamua kujitolea kwenye shule fulani hivi ya sekondari nikisubiri kujiunga na chuo kikuu.
Sasa bwana pale kuna changamoto nilikutana nayo kwamba kuna supervisor wangu alinielewa. Mimi nikamkatia bwana kwa sababu...
Wakuu
Hii team ya walevi na wanywa wanzuki yaani inatia huruma
Mitandaoni mashabiki hawana Furaha kabisa yaani kila post admin atakayotoa basi wanampopoa tu jamani ..!
Kilichobaki ni admin kuigeuza page imekuwa ya kuwish watu happy birthday tu ...
Yaani simba ya kumuwish Happy birthday...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ikifika Aprili 15, 2024 atawataja kwa majina Watu wakiwemo Mawaziri wanaotoa fedha za kuwalipa Watu ili wamtukane Rais Samia mitandaoni kama hawataacha.
Akizungumza wakati wa Kumbukumbu ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Sokoine...
Ofisi inajihusisha na ujasiriamali wa kuuza Series/movies kwa watu majumbani.
Anahitajika kijana mwenye uzoefu na kazi ambae ameshawahi kuifanya na mwenye uzoefu nayo.
Lakini kwa ambae anajua computer vizuri kutumia na Kuitengeneza matatizo madogo madogo pia unaweza kufaa.
Kazi ni Kuingiza...
Katiba mpya!
Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?
Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-
1. Samia atuletee katiba mpya.
2. Samia atupatie katiba mpya.
Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana...
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.
Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?
Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini...
Uwezo mnao ila viwanja vyenu vinatia aibu fremu nje za mamilioni ndani uwanja nyasi kichefu chefu. Vyenye taa mwanga kama wa torch havifai kwa game za usiku.
Hela mnazo tuibia rudisheni basi kama fungu la kumi kwenye kukarabati uwanja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.