Mawasalimia kwa jina la jamhuri.
Leo nimeona nilete uzi mdogo hapa kwenu kwa swali nililoliwaza sana. Kwanini Waafrika wengi tunapenda lalamika? Hapo awali nilidhani tatizo ni umaskini, ila pia kwanini matajiri pia wanalalamika?
Nimepita baadhi ya nyuzi kibao huku, nimeona wengi wana express...
Kwa muda wa miaka 10 niliokuwa kwenye sekta ya ujenzi, nimegundua kuwa kuna watu wengi hawana sifa za kitaaluma wana vyeti vya kufoji vya ndani na nje ya nchi.
Kwa kuwa bodi za kitaaluma (ERB na nyinginezo) hazifanyi due diligence, watu hao wamekuwa wakitekeleza majukumu kwa nafasi kubwa wakati...
Habari zenu Wana wa Jamii forum? Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea vizuri na pirikapirika za utafutaji mkate wa kila siku.
Bila kupoteza muda Leo acha nitowe hoja ya kizushi. Wanawake wengi ila sio wote wa Kafrika au weusi kwa ujumla hawajui maana ya kupenda. Wengi wao wanaigiza...
Kati ya sekta huria ambazo kila kinyangarika yumo basi ni NDOA.
Hii "sekta" ya ndoa huwezi kujua mtaalamu ni yupi wala majnuni ni yupi. Kila mtu kawaka moto anajitia mjuvi, hapoi wala haboi.
Ukiingia mitandaoni na penginepo, kila Tom na Jeri anafundisha kuhusu ndoa. Hata wachungaji nao ati ni...
Mwanaume ameaminiwa na Mungu na kuwekwa kuwa kichwa cha familia.
Kichwa ndio Injini ndio ubongo wa familia. Kwa mtazamo huu Rasilimali na vipato vyote vya familia vinapaswa kuwasilishwa kwa kichwa mara tu vinapopatikana.
Mwanamke hata uwe CEO wa Google(kampuni inayoongoza kwa kulipa mishahara...
Habari za mida hii?? Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kuni ruzuku uhai. Mara kadhaa nimeskia wanaume wenzangu wakilalamika kuwa wake zao hawaamini kabisa kuwa hawana hela katika kipindi chao cha maisha. Lakini pia nimesikia mara kadhaa wanawake wanasema ''mwanaume haishiwi pesa''.
Kwa utafiti...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Hapi amewataka Wanaume kuacha kutelekeza Watoto huku akiwasisitiza Vijana kuoa .
Hapi amesema hayo akiwa Mkoani Singida May 10,2024 ambapo amesema “Nataka tuone mkakati kweli tuna tatizo kubwa la Watoto wa Mitaani na sio Singida tu ni kote...
Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote.
Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini...
Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na atangulize uzalendo, hekima na busara. Siyo kila kitu ni cha kuwajibu CCM hata kunyamaza ni hekima na...
Kwema Wakuu!
Watanzania waliowengi ni Conservative(Watu ambao ni wagumu kubadilika au wanachukia au kuogopa mabadiliko)…
Sio ajabu mtu ni muislam au mkristo kwa sababu alizaliwa na kukulia kwenye Ukristo. Sio ajabu mtu ni Simba au Yanga kwa sababu alipokulia ni Washabiki wa Simba na Yanga...
Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu.
Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi...
Wakuu neno ukiukwaji wa haki unaweza kulichukulia kirahisi kama haijakutokea wewe. Ila ni kitu kinachoweza kukuvuruga mno kikitokea.
Hayati Lowassa ni miongoni wanajua ladha ya hilo neno kwa vitendo baada ya tukio la kukatwa jina lake mwaka 2015.
Ingawa sidhani kabla ya hapo kama alikuwa...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Karibu kwa maada yangu. Awali ya yote, niwashukuru wote kwa kufika hapa leo.
Acha nianze kwa kusema maneno machache kuhusu mustakabari wa ujenzi wa Taifa nikiangalia mitazamo ya vijana, wanasiasa na wananchi kwa jumla.
1. Elimu: Elimu ni...
Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic.
Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa...
TUNA CHANGAMOTO KUBWA SANA YA MABINT WANAJIUZA KIJANJA JANJA
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Baada ya kupitia changamoto za kutengana na aliyekuwa mke wangu, nilianza heka heka za kutafuta replacement yake, hapo ndipo nilipokutana na masarakasi ya kunifanya kujifunza kwamba dunia...
Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao
Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa kijana aliyemsimamisha ilikuwa imeisha wakati wake. Alipomwuliza sababu za kuendesha gari huku leseni...
Nilizoea kuwaona wachina Dar es Salaam tu lakini nimeshangaa kuwakuta wachina hadi huko Kigoma vijijini, mwanzo nilidhani labda ni wakandarasi kwenye miradi ya barabara, lakini hapana, unawakuta wapo barabarani wanazurura, nilishangaa mpaka wanauza vyombo, yaani wanakodi gari na kuanza kukopesha...
Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi.
Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni.
Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa...
Ukiachana na 'wadudu', wachekeshaji wengi wameenda shule.
Hii tasnia imeonekana kustawi vema miaka ya hivi karibuni.
Ni katika kutelekeza kaulimbiu ya Serikali yetu ya kuwataka wasomi wajiajiri.
Wasomi wetu baada ya kukosa michongo ya maana wameangukia kwenye vichekesho, wengine wakienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.