wachina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    Wachina bwana: Wameiiga Tesla Model X kwa robo bei

    Juzi kati kulikua na Malaysia Auto Show, kuanzia tarehe 22 May hadi tarehe 26 May. Kuna baadhi ya chuma zimezinduliwa ila hii ilinivutia. Aion sub brand ya CAG wamezindua Aion Hyper HT SUV EV gari linalofanana na Tesla Model X kwa $54,000 tu, performance model. Mfanano hauishii umbo la nje...
  2. M

    Kwanini bango la sabasaba halijawekwa picha ya mtu mweusi?

    Kama lilivyo bango la kutangaza maonyesho ya biashara ya kimataifa/ Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) almaarufu SABASABA. Nimejiuliza ni kwamba waaandaji walikosa kabisa picha ya mtu mweusi wa kumuweka kwenye hilo bango? au ndo tunaandaliwa kisaikolojia kwa mchina kukabidhiwa...
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Zijue asili za Waafrika, Wachina, Wazungu na Waarabu

    HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains. Bahari Yao Inaitwa Black Sea, haisapoti hata samaki... Ina kemikali zisizoruhusu uwepo wa wayama. Tofauti na sisi great lakes zetu za chimbuko la mababu zetu zote...
  4. Kaka yake shetani

    Wachina japo kuwa na teknolojia kubwa na elimu ila mapenzi yao yapo kwa wazungu kwenye bidhaa zao zote

    China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa nyingi na teknolojia nyingi ila cha kushangaza kuwa na vyote ila ni wapenzi wa bidhaa za wazungu kuliko zao mfano vifaa vya Apple,kompyuta za makampuni ya kigeni ulaya na usa,vinywaji mfano henesi,heniken na n.k. swala la elimu wanapenda kusoma vyuo...
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwanini wachina wamekuwa wengi sana?

    Nilizoea kuwaona wachina Dar es Salaam tu lakini nimeshangaa kuwakuta wachina hadi huko Kigoma vijijini, mwanzo nilidhani labda ni wakandarasi kwenye miradi ya barabara, lakini hapana, unawakuta wapo barabarani wanazurura, nilishangaa mpaka wanauza vyombo, yaani wanakodi gari na kuanza kukopesha...
  6. L

    Wachina waenzi asili na utamaduni wao katika ibada ya kumkumbuka Mfalme Huangdi “babu wa Wachina wote”

    Ilikuwa ni heshima kubwa mwaka huu kupata mwaliko wa kwenda kuhudhuria ibada ya kumkumbuka Mfalme Huangdi “babu wa Wachina wote”, ambayo ilikuwa kubwa na ya aina yake inayofanyika kila ifikapo tarehe tatu ya mwezi wa tatu kwa kalenda ya kilimo ya China huko Xinzheng mkoani Henan. Mwaka huu...
  7. R

    TANROADS Tanga rekebisha sehemu ya Mwakidila kwenda daraja la wachina Mwahako, hakupitiki na mvua za leo

    Mchina amemwaga tope na sasa leo na mvua hii ya tangu saa 9 usiku mpaka sasa hapapitiki. Tafadhali njooni mkwangue mtoe huo "uji" ambao umeweka madimbwi kwenye kipande hicho. Kutoka Chalinze kwenda daraja la wachina. Actually ni mpaka kwenda Kibaoni junction ya kwenda Mgwisha.
  8. Meneja Wa Makampuni

    Urgent: Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta

    Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta. Ndugu yangu kama una hamu ya kwenda China anza kufanya maombi. Mwisho wa maombi ni kesho. 中文版 2024 Shanghai Government Scholarship -- “Belt and Road” Petrochemical Industry Technician and Executive Development...
  9. LIKUD

    Andiko lisemalo " Kila nafsi itaonja mauti" ni swali na sio jawabu. Wachina wameanza kujibu. Babu zetu walikaribia kabisa kupata jawabu

    Sisi wafuasi wa dini za kiafrika tuna amini kwamba Mwenyezi Mungu (Chanzo cha vitu vyote ) alituumba wana wa dunia na kutuweka kwenye sayari ya dunia ili tuweze kujibu maswali mbalimbali ambayo yeye Mwenyezi Mungu ametuuliza. Moja kati ya swali ambalo Mungu ametuuliza ni " Tutafanya nini ili...
  10. Mto Songwe

    Hebu Nendeni mkajifunze kwao hao mnaoita marafiki zenu wachina kuhusu kuendesha mashirika ya umma wao mbona kidunia ni makubwa sana

    Sisi vishirika vya umma vichache tu kila siku vinatulamba hasara tunaona njia ni kubinafsisha kila kitu. Hawa marafiki zenu nyie CCM hawa wachina wao uchumi wao umeshikiliwa na mashirika ya umma tena katika sekta muhimu. Tazama hawa jamaa katika fortune global 500 kwa mwaka 2021 mashirika ya...
  11. Chizi Maarifa

    Al Jazeera: Hivi ndivyo Wachina wanavyotuona sisi. Nimesikitika na kuumizwa sana na Jambo hili

    Miaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu. But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa. Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea...
  12. sonofobia

    Nani kawahi kuona NGO ya wachina hapa Tanzania? Kama hazipo sababu haswa ni nini kuja kufanya kazi nchi kama Tanzania?

    Naomba nisaidieni kama kuna mtu kawai ona NGO ya kichina nna taka kufanya research kuhusu mchango wa NGO za China kwenye social services za Tanzania. Nipige comparative study China vs Western. Binafsi sijawai ona NGO ya kichina Tanzania na sijui sababu ni nini ata kupata volunteer wa kichina ni...
  13. Kaka yake shetani

    Jamii ambayo inaweza kuwa ukaribu na watu ni wachina tu

    Wachina ndio wanaweza kwenda afrika na kuishi sawa na waliopo hapo. Najaribu kutafuta historia ya hapa tanzania kipindi cha ujenzi wa reli waliishia wapi. Kwa kenya karne ya nyuma wachina waliofika hapo wameacha vizazi. Hata historia ya kilwa inadaiwa wachina walifika na kufanya biashara.
  14. Kiboko ya Jiwe

    Swali kwa serikali: Hawa Wachina walioweka madubwi kila kona Tanzania nao ni wawekezaji?

    Sijasomea uchumi ila kwa hesabu za haraka haraka tu mchina akizunguka mitaa 5 tu ya Dar es salaam anakusanya mpaka sh. Milioni 100 za Watanzania kupitia madubwi au mabonanza wengine huyaita. Mtaa mmoja una slots machines 20-50. Mchina anaweka sarafu za sh. 200, ambazo zinakuwa sarafu 300 sawa...
  15. Kiboko ya Jiwe

    Suala la Wachina kutujazia bidhaa bandia kwenye masoko yetu, je, wanatuona hatuna akili timamu?

    Kila Mtanzania ni shahidi. Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote. Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama. Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia? Kwanini...
  16. Jidu La Mabambasi

    Serikali ndiyo imeshtuka, ukosefu wa dola umesababishwa na Serikali yenyewe kwa kuwabeba wachina miradi mingi

    Ukosefu wa dola sasa unaathiri biashara nyingi zinazotegemea kuagiza vipuri na malighafi zinazohitajika kuagizwa nje. Kwa miaka mingi viongozi wa serikali wamekuwa wakishinda kila kiongozi kumpata "Mchina wake" kwenye miradi mingi nchini. Wachina wamekuwa wakipewa miradi hata inayoweza...
  17. Mto Songwe

    Serikali ya Tanzania itoe VISA free kwa wahindi, wachina, wakorea, wajapan katika hatua za mwanzo

    Napendekeza serikali ya Tanzania ichukue hatua katika haya mapendekezo yangu. 1. Napendekeza serikali ya JMT itoe visa free kwa raia kutoka India, China, Japan na Korea - katika mchakato wa visa free kwa mataifa mbalimbali tuanze na hayo mataifa manne kwanza kwa miaka 20 ya mwanzo. 2...
  18. Mto Songwe

    Sherehe ya kufagia makaburi " qingming festival" wachina wana mambo!

    Qingming Festival hii ni sherehe maalumu inayo adhimishwa na jamii ya kichina ulimwenguni kote hasa katika maeneo/nchi zenye jamii kubwa ya kichina mfano China, Indonesia, Thailand, Singapore, Malaysia, Vietnam n.k Kwa lugha ya kiswahili sherehe hii unaweza kuitambua kama sherehe maalumu ya...
  19. Swahili AI

    Wachina ni lazima mtudanganye kuhusu Brands?

    Kunayo haja gani ya kuandika wrong brand name ili hali sio? 有什么必要把品牌名称写错才不会呢?这已经超出了愚蠢的范围。我们不是胆小鬼,先生
  20. L

    Uzinduzi wa Uwanja uliokarabatiwa wa Amani Zanzibar wakumbusha juhudi za ujenzi za Wachina

    Mwishoni mwa mwaka 2023 ambayo ilikuwa Disema 27, rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi alifanya sherehe kubwa katika uwanja wa Amani, ikiwa ni moja ya mafanikio yake mengi makubwa tangu aingie madarakani mwaka 2020. Sherehe hiyo ambayo ilikuwa ni mahsusi...
Back
Top Bottom