Panafahamika kama peace valley huko Iraq.. Unaweza ukadhani ni mji kumbe hapo kuna kabauri zaidi ya million 5.
======
The world's largest cemetery, in Iraq's Shi'ite holy city of Najaf, is expanding at double its usual rate as Shi'ite militias bury their dead from the war against Islamic...
Habari waungwana!
Sisi tuliowapumzisha wapendwa wetu hivi karibuni makaburi ya Kinondoni tumeona ni jinsi gani ilivyo ngumu hata kupita katikati ya makaburi mengine. Kiufupi eneo lile limejaa halipaswi kuendelea kuwa sehem ya kupumzisha wapendwa wetu.
Ushauri wangu-
1. Serikali ifunge eneo...
Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia.
Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na...
Maana maneno haya ya wazawa yalisikika wakati DP weldi walipokuwa wanapingwa kuendesha Bandari , zikatoka hadithi kwamba , Kwanza Bandari wenyewe ni , wachomvi .
Neno makaburi wa Tanzania ni wazawa yapo kwenye Hotuba ya Mwl Nyerere kuhusu Raisi tunayemtaka, na matatizo ya Muungano. Na Ubaguzi...
Serikali imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu - Makambako na taratibu za malipo zitaanza baada ya kuidhinishwa na Mthamini Mkuu wa Serikali.
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa akijibu swali...
Hazina ya maandiko yaliyoko JamiiForums ni kubwa sana.
Kama ni utajiri wa mawazo, fikra, ushauri basi nitaupata kwenye maandiko hayo.
Nitakuwa natoa updates katika nitakayokuwa nikijifunza Ili kwa watakaopenda wakajifunze pia.
Mwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k.
Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo...
Yaani hawa magaidi wa dini walitumia nguvu nyingi sana kujipanga, dadeki..
Hawa walipaswa wapigwe carpet bombing tuanze upya, ingekua Mrusi au Mchina anapambana na hawa, angepiga moja tu na tunasahau hizi issue, dunia inapiga makelele mwezi mmoja kisha tunafanya mengine.
Israel wanatumia nguvu...
Jumla ya maeneo 16 ya kuzikiana watu huko Gaza yamefukuliwa na jeshi la Israel kwa kile wanachokiita kutafuta mateka.
Pamoja na kufukua makaburi hayo vile vile katika baadhi ya maeneo wamejenga kambi zao za muda juu ya makaburi hayo.
Kitendo hicho kimewashangaza watetezi wa haki za binadamu...
Qingming Festival hii ni sherehe maalumu inayo adhimishwa na jamii ya kichina ulimwenguni kote hasa katika maeneo/nchi zenye jamii kubwa ya kichina mfano China, Indonesia, Thailand, Singapore, Malaysia, Vietnam n.k
Kwa lugha ya kiswahili sherehe hii unaweza kuitambua kama sherehe maalumu ya...
Kwa mujibu wa gazeti la nipashe la leo, limeripoti kwamba japokuwa makaburi ya Kisutu, Kinondoni, Magomeni na Sinza kutangazwa na serikali kuwa yamejaa toka mwaka 2018, lakini yameendelea kutumika mpaka sasa.
Kinachofanyika ni unawapa tenda vijana maalumu wanaohusika kuchimba makaburi kwenye...
Habari ndugu,
Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai?
Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu...
Wazee Jana usiku nimeota ndiyo makaburi yote nchini yameinuka juu huku yakipiga Amapiano ila sikujali.
Lakini kama nilivyesema hapo awali, usikubali kuteketea hata kidogo Tena Kwa mambo ya hovyo hovyo. Hivi unajua ni wangapi wamepotea mpaka sasa? Hakika nakwambia siku utakayojua utalia na...
Nov 01, 2023 12:18 UTC
Eneo la Wapalestina la Ghaza limegeuka kuwa makaburi kwa watoto kwani maelfu wameuawa kufuatia mashambulizi yanayofanywa na utawala haramu wa Israel, huku zaidi ya watoto milioni moja wakikabilwa na uhaba wa mahitaij muhimu na maisha yao ya baadaye yakiwa mashakani...
MWANGWI wa vilio na simanzi kutoka kwa watu waliopoteza maisha baada ya meli kuzama kwenye mkondo wa bahari wa Nungwi, Zanzibar, uliambaa kwenye maji na kwenda kugota kwenye ukuta wa chini ya bahari, mahali palipokuwa na maelfu ya makaburi yaliyochongwa kwenye mwamba mgumu kuhitimisha safari ya...
Dar es Salaam. Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo katika kata ya Kipunguni yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA).
Mchakato wa kuhamisha makaburi hayo unafuatia mpango wa ulipaji fidia kwa wakazi 1,865 wa eneo hilo wanaotakiwa...
Tukio hilo limetokea wakati waandishi wa habari wakirekodi tukio la wafanyakazi wa makaburi ya Langata kugoma wakilalamika kucheleweshewa mishahara yao, ambapo polisi waliwataka waandishi wa habari waondoke kutoka eneo la tukio.
Shughuli za mazishi zilisitishwa katika makaburi hayo, baada...
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
Nilipita njia ya makaburini, nikakuta kwenye baadhi ya makaburi kwa juu kumewekwa chupa ya chai na vikombe vya chai, kuna moja ya wazee waliopo hapo maeneo ya karibu aliniambia hizo chupa na vikombe unaona vimechoka ila kwenye ulimwengu wa roho hizo ni chupa mpya na vikombe vipya kabisa...
Katika mkutano wake hivi karibuni na viongozi wa bandari, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alitoa taarifa kwamba Zanzibar haikuwemo katika mkataba uliosainiwa kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji katika bandari. Sababu ya kutolewa taarifa hii ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.