Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,283
11,147
Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia.

Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na dalili za kuzikwa wakiwa hai.

Maiti hao wengine walikuwa na pingu mikononi kuashiria ni wale waliodhaniwa ni wapiganaji wa Hamas.Wengine kati yao wamekuta na dripu mikononi mwao kuashiria kuwa walikuwa ni wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali hizo.

Kazi hiyo mpaka sasa imefanyika kwenye hospitali chache kubwa katika mji mkuu wa Gaza na katikati ya eneo hilo.

Itakumbukwa kuwa jeshi la Israel mara kadhaa bila kutoa uthibitisho lilishutumu kuwa mahospitali ndiko walikokuwa wamejificha wapiganaji wa Hamas waliokuwa wakiwawinda.

La kushangaza ni kuwa kwa sasa hospitali karibu zote za Gaza ukiondoa chache zilizobaki Rafah zimepigwa na kugeuzwa kifusi.Wakati huo huo vita bado havijamalizika.
 
Kufukua Makaburi ni kazi ya Madaktari na watoa huduma za afya?
Ukute hao wafukuaji ni HAMAS wameenda na hizo pingu na na drip ili kuzifunga na kuzichima maiti walizozihifadhi hapo ili wapate picha za selfie wazi post, si unajua tena Wapalestina wanavyopenda selfie za madudedude ya kutisha.
 
Kufukia Makaburi ni kazi ya Madaktari na watoa huduma za afya?
Ukute hao wafukuaji ni HAMAS wameenda na hizo pingu na na drip ili kuzifunga na kuzichima maiti walizozihifadhi hapo ili wapate picha za selfie wazi post, si unajua tena Wapalestina wanavyopenda selfie!
Wewe umezidi tena chuki na Hamas hata penye ukweli.
Kuna video pia na maafisa wa UN wameshuhudia.
Na dalili zote zipo kwamba watekelezaji ni jeshi la kiyahudi la IDF ambao ndio waliokuwa wamezishikilia hospitali hizo kwa muda mrefu baada ya kuzivamia.
 
Hao mazayuni hawatokaa kwa amani milele ! watoto wameona wazazi wao wakiuawa ndugu zao wakiuawa kuumizwa na kutiwa vilema hii haitaisha daima dawamu kwa sababu ishapandikizwa roho ya chuki na kisasi kwa wapelestina.Siku wakirusiwa silaha ndipo mayahudi watakapoita maji mma !
 
Madaktari na watoa huduma za afya ndiyo wanafukua makaburi?
Usitufunge pingu kihivyo bana, sisi siyo waharifu
 
Kufukia Makaburi ni kazi ya Madaktari na watoa huduma za afya?
Ukute hao wafukuaji ni HAMAS wameenda na hizo pingu na na drip ili kuzifunga na kuzichima maiti walizozihifadhi hapo ili wapate picha za selfie wazi post, si unajua tena Wapalestina wanavyopenda selfie za madudedude ya kutisha.
Toka llini shoga akawa na uchungu na watoto au mauaji yeyote yupo radhi aongee hata uonga limradi kushabikia mauaji hizi ndiyo sifa kubwa za Mashoga kama mtu anazo hizo basi ni shoga.
 
God Bless Israel

🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱
 
Wewe umezidi tena chuki na Hamas hata penye ukweli.
Kuna video pia na maafisa wa UN wameshuhudia.
Na dalili zote zipo kwamba watekelezaji ni jeshi la kiyahudi la IDF ambao ndio waliokuwa wamezishikilia hospitali hizo kwa muda mrefu baada ya kuzivamia.
Amezidi vipi wakati ni tabia ya wenye itikadi yenu,tumeona gaza kulikuwa/kuna maigizo ya kulia huku midoli imebebwa mikononi unapataje muda wa kuigiza katika mazingira yale?Hivi kuna aya ktk hiyo itikadi yenu inayozungumzia uhalali wa unafiki?
 
Toka llini shoga akawa na uchungu na watoto au mauaji yeyote yupo radhi aongee hata uonga limradi kushabikia mauaji hizi ndiyo sifa kubwa za Mashoga kama mtu anazo hizo basi ni shoga.
Yaani wewe jamaa tangu umeanza kulawitiwa basi kila kitu unakifananisha na mashoga.

Hiyo tabia ya kutojali watoto si unajua yule Kiongozi wako wa Kiimani ndiyo alikuwa kiongozi? Yeye bint aking’oa meno, yakianza tu kuota alikuwa anavuta na kuwaweka ndani. Unamuongeleaje huyo Shoga mwenzako?
Halafu kuna wale viongozi wenu wanaohamasisha wanawake wabebe mimba wakiwaambia mimba zao ndiyo silaha kwani wanahitaji hao watoto ili wakawatumie kwenye shughuli za kujitoa muhanga. Sasa hapo shoga ni yupi?
 
God Bless Israel
Tokea lini Mungu akawabaliki Mashoga
Screenshot_20240421-210932.jpg
Screenshot_20240422-115752.jpg
 
Yaani wewe jamaa tangu umeanza kulawitiwa basi kila kitu unakifananisha na mashoga.

Hiyo tabia ya kutojali watoto si unajua yule Kiongozi wako wa Kiimani ndiyo alikuwa kiongozi? Yeye bint aking’oa meno, yakianza tu kuota alikuwa anavuta na kuwaweka ndani. Unamuongeleaje huyo Shoga mwenzako?
Halafu kuna wale viongozi wenu wanaohamasisha wanawake wabebe mimba wakiwaambia mimba zao ndiyo silaha kwani wanahitaji hao watoto ili wakawatumie kwenye shughuli za kujitoa muhanga. Sasa hapo shoga ni yupi?
Huo mchezo mbona namfanyia bi mkubwa wako siku nyingi tu kukata mzizi wa fitina muulize Ritz ni nani😀
 
Madaktari na watoa huduma za afya ndiyo wanafukua makaburi?
Usitufunge pingu kihivyo bana, sisi siyo waharifu
Wewe puguani kweli

Huko Gaza, miili iliyozikwa chini na jeshi la Israeli inafichuliwa popote unapochimba. Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani uhuru, utu na haki za binadamu hazina thamani.

Waliwadhalilisha Wapalestina kiasi kwamba hakuna anayeripoti au kulaani chochote.

View: https://x.com/suppressednws/status/1783601542680953165?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Huo mchezo mbona namfanyia bi mkubwa wako siku nyingi tu kukata mzizi wa fitina muulize Ritz ni nani😀
Acha kujikaza wewe wakati tako limeshakuwa kama lens mbinuko hilo.
Unajichekesha baada ya kusoma ukweli kwamba wakiukwaji wakubwa wanustawi wa watoto ni nyie na kiongozi wenu wa imani
 
Hao mazayuni hawatokaa kwa amani milele ! watoto wameona wazazi wao wakiuawa ndugu zao wakiuawa kuumizwa na kutiwa vilema hii haitaisha daima dawamu kwa sababu ishapandikizwa roho ya chuki na kisasi kwa wapelestina.Siku wakirusiwa silaha ndipo mayahudi watakapoita maji mma !
Kumbe hawana silaha zile roketi na bunduki wanazotumia zinakuwaga toys??
 
Back
Top Bottom