Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa

Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia.

Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na dalili za kuzikwa wakiwa hai.

Maiti hao wengine walikuwa na pingu mikononi kuashiria ni wale waliodhaniwa ni wapiganaji wa Hamas.Wengine kati yao wamekuta na dripu mikononi mwao kuashiria kuwa walikuwa ni wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali hizo.

Kazi hiyo mpaka sasa imefanyika kwenye hospitali chache kubwa katika mji mkuu wa Gaza na katikati ya eneo hilo.

Itakumbukwa kuwa jeshi la Israel mara kadhaa bila kutoa uthibitisho lilishutumu kuwa mahospitali ndiko walikokuwa wamejificha wapiganaji wa Hamas waliokuwa wakiwawinda.

La kushangaza ni kuwa kwa sasa hospitali karibu zote za Gaza ukiondoa chache zilizobaki Rafah zimepigwa na kugeuzwa kifusi.Wakati huo huo vita bado havijamalizika.
Hamas kaanzisha vita kwa hiyo hayo uliyoandika kama ni kweli ni mojawapo ya matokeo ya vita aliyoianzisha Hamas
 
Acha kujikaza wewe wakati tako limeshakuwa kama lens mbinuko hilo.
Unajichekesha baada ya kusoma ukweli kwamba wakiukwaji wakubwa wanustawi wa watoto ni nyie na kiongozi wenu wa imani
Hahahaha matusi ya kizamani hauna tusi jipya?

Umemuuliza bI mkubwa analo kubwa sana nalipenda sana.

Mtoto wa kiume anaitwa Poki kuna hapo😀
 
Screenshot_20240426-124019_Google.jpg
Lakini c wapo peponi wanakula bikra walizoahidiwa kitu ambacho ni furaha yenu Waislamu, sasa tatizo hapo ni lipi.?
Kamata kitu hiki


Screenshot_20240426-123807_Google.jpg


gm060919xy9.gif

Screenshot_20240426-123911_Google.jpg
 
Hahahaha matusi ya kizamani hauna tusi jipya?

Umemuuliza bI mkubwa analo kubwa sana nalipenda sana.

Mtoto wa kiume anaitwa Poki kuna hapo😀
Utoto na ujinga ndiyo vinavyokusumbua, na kukufanya ujitoe thamani
 
Taarifa bila uthibitisho wa chanjo cha taarifa na picha huo ni uchochezi kama uchochezi mwingine....!!
 
Hao mazayuni hawatokaa kwa amani milele ! watoto wameona wazazi wao wakiuawa ndugu zao wakiuawa kuumizwa na kutiwa vilema hii haitaisha daima dawamu kwa sababu ishapandikizwa roho ya chuki na kisasi kwa wapelestina.Siku wakirusiwa silaha ndipo mayahudi watakapoita maji mma !
Hao jamaa hawana akili siyo Mzayuni siyo mpalestina hao wote vichwa vibovu akili zimehama.

Amma ukisema watapata shida mayahudi tu utakuwa unajidanganya maana hao hamas walipochokoza unaziona athari zake?zimepotea roho za Palestinian zaidi ya 30K na bado waanze kujenga tena huo mji unaona nani ameumia zaidi?
 
Kumbe hawana silaha zile roketi na bunduki wanazotumia zinakuwaga toys??
Katika kulinganisha ukubwa wa silaha basi za Hamas ni kama toys.Si unaona moto unaoshuswa na Israel.
Cha ajabu tu ni kwamba bado hawajashinda.
 
Hivi hi vita bado haijaisha

Ni vita kati ya Israel na wagonjwa na wanafunzi wa Kipalestina
 
Back
Top Bottom