Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa

Wasiishie kusikitika tu.Wawakatae Hamas na kutafuta namna bora ya kuishi na Israeli.
Israel ndio hawajui kuishi na wenzao vizuri.na kwa laana zao hawawezi kuishi na yeyote vizuri.
Walipoingia Gaza wangeonesha mfano kwa kuwatendea vyema wapalestina basi watu wa Gaza wote wangekuwa wapinzani wa Hamas.Lakini unamvunjia mtu nyumba yake na kumuulia watoto wake tena kwa njia za kikatili kwa kuwafukia wazima wazima.Hakuna mtu wa Gaza atayewapinga Hamas wanaopigana hata kwa jiwe na IDF.
 
Hao mazayuni hawatokaa kwa amani milele ! watoto wameona wazazi wao wakiuawa ndugu zao wakiuawa kuumizwa na kutiwa vilema hii haitaisha daima dawamu kwa sababu ishapandikizwa roho ya chuki na kisasi kwa wapelestina.Siku wakirusiwa silaha ndipo mayahudi watakapoita maji mma !
Hao wahuni waliokwenda Kulipua Israel Oktoba 7 wao walipandikizwa chuki na nani??? Tatizo hapo ni Mafundisho ya Dini yenu
 
Uislamu ni dini ya amani mwanzo mwisho na papo hapo inakataza kukubali kuonewa.
 
Katika kulinganisha ukubwa wa silaha basi za Hamas ni kama toys.Si unaona moto unaoshuswa na Israel.
Cha ajabu tu ni kwamba bado hawajashinda.
Kuna jini aina ya makataa, atakuwa ndo aliwaongia hamas na kuwaamrisha washambulie Israel ili Hamas wafe pamoja na wapalestina wasio kuwa na hatia, kinachotafutwa hapo ni damu ya binadamu. Unashikilia mateka 102 huku Israel imeua wapalestina 34,000 na 70,000 ni majeruhi na wapalestina zaidi ya 7,000 wamekamatwa( mateka) wako kwenye gereza kali za Israel, vita ni mbaya sana usikie kwa jirani. Eneo la Gaza la North Gaza linarudi Israel kwa ujinga wa hamas.
 
Kufukua Makaburi ni kazi ya Madaktari na watoa huduma za afya?
Ukute hao wafukuaji ni HAMAS wameenda na hizo pingu na na drip ili kuzifunga na kuzichima maiti walizozihifadhi hapo ili wapate picha za selfie wazi post, si unajua tena Wapalestina wanavyopenda selfie za madudedude ya kutisha.
Wewe mlokole punguza chuki wanaokufa ni binadamu siyo mbwa.
 
Bro mbona una akili za kipumbavu!?
Pingu zimekutwa zina kutu zingine zina alama zimechimba mikono ya maiti.
Utasemaje wamefukua na kuwafunga watu ili wasingizie!?
BBC NA CGTN zile maiti unazoziita midoli walitoa footage kuwa ni maiti halisi,unaziitaje midoli??
ACHA USENGE.
Hata kama una chuki ila usiwe na akili za kisenge namna hii.
Hiyo inawezekana, hiyo ni vita , Netanyahu alipotangaza vita mlidhani anatania! Hao wengine watakuwa ni mateka walifungwa pingu na hamas halafu wakauliwa, pia wengine watakuwa ni wapalestina walioangukiwa na majengo wakiwa hospitalini . Vita ni mbaya ikitokea uwe na hatia usiwe na hatia ukiwa kwenye uwanja wa mapambano lolote linaweza kutokea.
 
Maiti iloangukiwa na jengo na ilofukiwa hazifanani.
Jaribu kufuatilia vizuri,mateka waliokufa walikutwa katika mahandaki na majengo yaliyoanguka ila sio katika mass graves zinazofukuliwa sasa hivi.
Mateka walifungwa kamba sio pingu.
 
Uislamu ni dini ya amani mwanzo mwisho na papo hapo inakataza kukubali kuonewa.
Ndio Mnadanganywa hivyo Madrassa? husomi Quran wala Hadithi za kiislam? mnavyo ambiwa muue wayahudi na wakristo ndio Amani hiyo Fake muslim wewe.. wenyewe kwa wenyewe hamna amani kule Sudan ndio iwe Israel..

Tulioneshwa Hamas wakizikana kaburi moja then wanafukua na kusema Idf Shetani kashikwa kila kona
 
Maiti iloangukiwa na jengo na ilofukiwa hazifanani.
Jaribu kufuatilia vizuri,mateka waliokufa walikutwa katika mahandaki na majengo yaliyoanguka ila sio katika mass graves zinazofukuliwa sasa hivi.
Mateka walifungwa kamba sio pingu.
Kwa jinsi Aljaazira anavyomlika Gaza , jeshi la Israel nisingeweza kuzika wafu hao wote bila kujulikana. Hao watakuwa wamezikwa na hamas, vita ni mbaya Hamas acheni mateka ili vita isitishwe vingenevyo hali itakuwa mbaya sana, shida wengi hamuamini biblia , kila kitu kilishaongelewa kuhusu hatima ya Israel ya leo na ndugu zao waarabu, biblia inasema hakuna taifa ambalo litaweza kuwang'oa wayahudi pale middle East.
 
Unaonesha kutokua na akili timamu.
Hizi habari hata CGTN na BBC wamezitoa.
Halafu usisahau kuwa hizo hospitali Israel ama IDF walizivamia na kuzikalia kwa zaidi ya wiki tatu,hao Hamas upenyo wa kuwazika hao watu wanaupata wapi ilhali IDF walizizunguka hizo hospitali!?
We jamaa embu kuwa na utimamu kiasi.

Habari za biblia usizilete jadili hoja mezani udini weka pembeni.
 
Kwa jinsi Aljaazira anavyomlika Gaza , jeshi la Israel nisingeweza kuzika wafu hao wote bila kujulikana. Hao watakuwa wamezikwa na hamas, vita ni mbaya Hamas acheni mateka ili vita isitishwe vingenevyo hali itakuwa mbaya sana, shida wengi hamuamini biblia , kila kitu kilishaongelewa kuhusu hatima ya Israel ya leo na ndugu zao waarabu, biblia inasema hakuna taifa ambalo litaweza kuwang'oa wayahudi pale middle East.
Aljazeera yenyewe waandishi wake wengi washauliwa wakijaribu kuripoti matukio hapo Gaza na Israel pia ishaipiga marufuku kwa tamko la bunge.Habari tunazoziongelea zimetoka vyombo mbali mbali za habari na kushuhudiwa na maafisa wa vitengo vya UN.
Upande wa biblia ndio kabisa hakuna kitu cha kufanya ndio dalili.Hata Trump naye keshatoa ya kwake.
 
Hao mazayuni hawatokaa kwa amani milele ! watoto wameona wazazi wao wakiuawa ndugu zao wakiuawa kuumizwa na kutiwa vilema hii haitaisha daima dawamu kwa sababu ishapandikizwa roho ya chuki na kisasi kwa wapelestina.Siku wakirusiwa silaha ndipo mayahudi watakapoita maji mma !
Kwa hiyo wao wale ndugu zao 1400 waliouwawa sio watu??? Haya masuala ya pande mbili na yatawagharimu wote miaka na miaks
 
Wewe umezidi tena chuki na Hamas hata penye ukweli.
Kuna video pia na maafisa wa UN wameshuhudia.
Na dalili zote zipo kwamba watekelezaji ni jeshi la kiyahudi la IDF ambao ndio waliokuwa wamezishikilia hospitali hizo kwa muda mrefu baada ya kuzivamia.
Hii Vita haituhusu kabisaaa
 
Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia.

Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na dalili za kuzikwa wakiwa hai.

Maiti hao wengine walikuwa na pingu mikononi kuashiria ni wale waliodhaniwa ni wapiganaji wa Hamas.Wengine kati yao wamekuta na dripu mikononi mwao kuashiria kuwa walikuwa ni wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali hizo.

Kazi hiyo mpaka sasa imefanyika kwenye hospitali chache kubwa katika mji mkuu wa Gaza na katikati ya eneo hilo.

Itakumbukwa kuwa jeshi la Israel mara kadhaa bila kutoa uthibitisho lilishutumu kuwa mahospitali ndiko walikokuwa wamejificha wapiganaji wa Hamas waliokuwa wakiwawinda.

La kushangaza ni kuwa kwa sasa hospitali karibu zote za Gaza ukiondoa chache zilizobaki Rafah zimepigwa na kugeuzwa kifusi.Wakati huo huo vita bado havijamalizika.
Weka picha mkuu
 
Back
Top Bottom