Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
232
Posts
7.2K
Threads
232
Posts
7.2K

JF Prefixes:

  • Sticky
Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie. Natanguliza shukrani zangu. BAADHI YA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU: UTANGULIZI Kuanzia...
27 Reactions
741 Replies
395K Views
  • Sticky
Habari wakuu, Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao. Kutokana na mada nyingi kuwa na...
22 Reactions
370 Replies
198K Views
  • Sticky
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima. HIZI NI MOJA YA...
319 Reactions
625 Replies
369K Views
  • Sticky
1. Hisa ni nini? Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa...
32 Reactions
451 Replies
228K Views
  • Sticky
Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread...
130 Reactions
2K Replies
383K Views
  • Closed
  • Sticky
Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya...
20 Reactions
62 Replies
78K Views
Natengeneza furniture material block board /melamine board Nakaribsha mbia
0 Reactions
7 Replies
162 Views
Salary 1.5 m net Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja. Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi. Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka Malipo awamu tatu...
6 Reactions
76 Replies
1K Views
Vijana wengi wanatamani kufanikiwa katika Biashara hata kwenye vitu vingine ila wanatafuta njia za chap watoboe, ila nikuambie uhalisia maisha ni marathon usiwe na papara ya mafanikio ya harakaa...
4 Reactions
14 Replies
351 Views
💥💥NIZAR COMPUTERS ACCESSORIES💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥 KARIBUNI SANA SISI TUNAUZA NA TUNATOA HUDUMA YA VITU MBALIMBALI IKIWEMO; 1:KAZI NA MALIPO YA VITU AU PESA TASILMU ,Kwa wewe mwanachuo au raia nadhani...
0 Reactions
1 Replies
48 Views
Salamaleko, Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
21 Reactions
87 Replies
2K Views
Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite. Habar Ndugu, hata kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto...
0 Reactions
2 Replies
23 Views
Kwenye kujitafuta bhana nikasema niombe Uwakala wa benki ya CRDB Sasa achana na Pesa ambayo nitaweka kwenye Account kwaajili ya kazi, naambiwa mashine yao inapatikana kwa Milioni 1 hadi...
3 Reactions
15 Replies
615 Views
1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi/ ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa 2. Ndugu wa mke - hakikisha wanakaa...
3 Reactions
4 Replies
265 Views
Habarini wana JF. Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa...
17 Reactions
210 Replies
22K Views
Kipindi nipo chuo miaka miwili iliyopita nilikuwa naona USD inacheza kwenye Tsh2300 hivi lakini hivi sasa Dollar imepanda sana. Hii inamaana gani kwenye uchumi wetu? Kwanini Shilingi inadhidi...
0 Reactions
0 Replies
2 Views
  • Redirect
Habari wakuu, ivi ni mambo gani muhimu waweza anza nayo kimaisha ili kujikwamua katika hu jobless endapo ukiwa na mtaji wa 1M ndani mwako huku ikiwa kazi ufanyazo sio za kuelewa. Mchango wenu wa...
4 Reactions
Replies
Views
Habari za wakati huu, Ni matumaini yangu kwamba unaposoma uzi huu unatamani kuanzisha biashara yako mwenye.Katika kuandika uzi huu nimefanya assumption kadhaa ikiwamo kwamba wewe unajua kusoma na...
20 Reactions
45 Replies
12K Views
Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta...
10 Reactions
54 Replies
3K Views
Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle ameishauri Serikali kupunguza gharama za leseni ya madereva wa pikipki (bodaboda) kutoka elfu 70 za sasa hadi elfu 20. Swalle amesema gharama hiyo ikipungua...
0 Reactions
0 Replies
38 Views
Habari zenu wana jamvi. Hope this thread finds you well. Bila kupoteza muda, naomba niruke kwenye mada moja kwa moja.. ninaomba uzoefu katika nyanja tofauti tofauti za uendeshaji wa kiwanda cha...
3 Reactions
25 Replies
480 Views
Wanajf Ninaomba mnijuze taratibu za kisheria za kufuata ili kununua na kumiliki chombo cha moto mfano bodaboda. Ninauliza kwa sababu wauzaji wamekuwa wengi,vinavyouzwa navyo ni mchanganyiko...
2 Reactions
13 Replies
169 Views
Habari za leo msomaji wa AMKA MTANZANIA, karibu tena kwenye kipengele hiki cha ushauri wa changamoto zinatotuzuia kufikia mafanikio kwa kile ambacho tunafanya. Ni kweli kwamba njia ya kufikia...
8 Reactions
19 Replies
6K Views
Ingawa biashara ya Bitcoin inaweza kuwa na faida kubwa, ni muhimu kutambua kuwa ni uwekezaji hatari sana. Kabla ya kuanza biashara ya Bitcoin, ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo: Hatari za...
1 Reactions
8 Replies
792 Views
Habari wadau, naimani kila mmoja yuko poa na kama mambo hayajakaa sawa basi hayo ni mapito tu, yatapita. Katika maisha ya sasa ujasiriamali ni jambo mtambuka, linahubiriwa kila kona mpaka kwenye...
12 Reactions
193 Replies
24K Views
Habari Wana JF, Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni. Ahsanteni 🙏
1 Reactions
15 Replies
329 Views
Back
Top Bottom