Ukiachana na 'wadudu', wachekeshaji wengi wameenda shule.
Hii tasnia imeonekana kustawi vema miaka ya hivi karibuni.
Ni katika kutelekeza kaulimbiu ya Serikali yetu ya kuwataka wasomi wajiajiri.
Wasomi wetu baada ya kukosa michongo ya maana wameangukia kwenye vichekesho, wengine wakienda...
Hili swali nimeulizwa na huyu mtoto wangu mdogo!
Kila mcheshi anadhani anaweza kuwa MC na wengi wamevamia huko, cha ajabu ni wachache sana kati yao wenye angalau.
Japo lengo lao kujipatia chochote kitu ila wengi wao ni hovyo kabisa, sherehe sio jukwaa la vichekesho. Washereheshaji mahiri wala...
Kulikua na wachekeshaji wanajiita Serious Funny TZ ambao walianza takribani miaka 7 iliyopita.
Hawa jamaa walikuwa na content za uchekeshaji kuliko comedy tunazoziona sasa hivi. Sikuhizi siwaoni tena. Wako wapi?
Mwana CCM huyu ameng’aka kabisa kuwa nimakosa makubwa Serikali kuruhusu hawa comedian(wachekeshaji) kuongelea suala la bandari
Anasema hawa wengi ndio wanasababisha mjadala kuwa mgumu na kuonekana na upotoshaji kwakuwa hawajui vitu muhimu vya kuongelea
Ameiomba serikali kuto ruhusu kila mtu...
Habari!
Mwaka jana nilizungumza kitu kuhusu hawa comedians jinsi wanavyotisha. Wachekeshaji wetu waache kupoteza muda kuropoka.
Mimi wachekeshaji wetu wanabiboa, kazi yao ni kuropoka majukwaani tu, wakizidi zaidi basi wataiga kazi za wenzao. Hawana ladha kabisa.
Soko lao linaishia ndani tu...
Wakuu,
Mimi hua nikiangalia bunge letu naona wachekeshaji tu na watu wenye vioja na mzaha mwingi yaani ile dhana ya wawakilishi inafia hapo.
Hua najiuliza hawa jamaa wanaenda mule ndani na mawazo yao au mawazo ya wananchi?
Haiwezekani tozo ipitie kwao wapitishe sheria baadae wananchi...
Hii ni orodha yangu. Tafadhali iheshimiwe
Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:-
1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani)
2. Mpoki
3. Joti.
Nimemaliza, prove my list wrong.
Orodha tayari
Uzi tayari
Over & out
Bye...
Kuna umuhimu mkubwa wa kufundishwa diplomasia kwa kila mzungumzaji kwenye hadhira iliyo na watu wa mataifa mbalimbali.
Unaweza kudhani unachekesha watu kumbe unaharibu.
Public speaking is an art, the untrained need to be trained before being given platform.
Duniani hakuishi vituko
Japani watu wanalipwa madola kibao kwa kufanya mtu alie machozi kuondoa stress wanaamini mtu akilia stress zinaondoka.Wasanii Muwezao kuliza watu mpo? Asipolia hulipwi
Jionee video mwenyewe
Tulizoea kuwaona hawa wawili wakiigiza comedy zao pamoja...lakini sasa hivh namuona Tin white yuko bize sana na Mkojani..kuna nini kati yao?
Ilipendeza sana wakiwa vile pamoja Ringo na Tin White kama ilivyo kwa.
Bambo na Kingwengu
Senga na Pembe
Sharo milionea na Kitale
Joti na Mpoki
Kiwewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.