wasanii

  1. Jaji Mfawidhi

    Hospitali zaanza kutafuta wagonjwa mitandaoni, Wasanii wahusishwa!

    https://www.pc.go.tz/ Shilole ameonekana akitangaza hospitali hiyo hapo kwenye picha na kusisitiza wagonjwa waende na kwamba ni hospitali Bora. Kimaadili si sawa, ni kama hospitai hiyo inataka kupata watu waumwe ili wakatibiwe huko na ni muhimu sana kujua kwamba ni kama ndvyo basi bwana...
  2. Nifah

    Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu

    Mkono mtupu haulambwi! Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili. Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wengine ambao ni viongozi na wadau wa tasnia ya burudani. Katika uzinduzi huo Rais...
  3. MFALME WETU

    List ya Wasanii 10 bora kwa sasa Tanzania

    1. Marioo 2. Harmonize 3. Jay Melody 4. Mbosso 5. Jux 6. Chino 7. D. Platnumz 8. Zuchu 9. Alikiba 10. Nandy Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi karibuni kulingana na mtazamo wangu. Nipe List yako
  4. Sauti Moja Festival

    Faida za Wasanii na Nchi katika Ziara za Rais Nje ya Nchi

    Habari wana-JF, Ziara za Rais nje ya nchi zinapowajumuisha wasanii, hata bila maonesho ya sanaa, zinaweza kuleta manufaa makubwa kwa wasanii binafsi na taifa kwa ujumla. Hizi ni baadhi ya faida hizo: Faida kwa Wasanii Mtandao wa Kijamii na Kitaaluma:Wasanii wanapata fursa ya kukutana na wadau...
  5. R

    Wasanii wakisafiri na Rais nje wanakwenda kutumbuiza? Nani atagharamia safari zao?

    Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani? Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani...
  6. BARD AI

    Rais Samia kuanza kusafiri na Wasanii kwenye ziara zake nje ya nchi

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao. Rais...
  7. HONEST HATIBU

    Tuongee ukweli hapa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

    Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest๐Ÿ˜œ
  8. D

    Wasanii hujifanya wana pesa, wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango

    Hii mitindo ya wasanii kujifanya wana pesa sana, halafu wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango, inakera sana.
  9. MLIMAWANYOKA

    Ndoa za wasanii wa Mziki wa Injili

    ๐‘ต๐’‚. ๐‘ฑ๐’๐’‰๐’-๐‘ฉ๐’‚๐’‘๐’•๐’Š๐’”๐’• ๐‘ด. ๐‘ต๐’ˆ๐’‚๐’•๐’–๐’๐’ˆ๐’‚ ____________________________ Nimekuwa mfuatiliaji sana wa maneno yaliyokuwa yakisemwa na baadhi ya Waimbaji wa Kike wa Nyimbo za Injili hasa baada yaWanawake hao kuachana na Waume zao, kutoka kwenye Ndoa zao baada ya Ndoa zao kuvunjika. Nilifuatilia zilipovunjika...
  10. kimsboy

    Nusu ya wasanii wa Bongo fleva ni mashoga asema Chidy Benzi

    Chidy benzi amesema nusu ya wasanii wa Bongo wa kiume wanalika akimaanisha kwamba ni "mashoga" Chidy benz angetaja list kabisa Video hii hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿป https://www.facebook.com/ISHEBOO/videos/1154680399214487/?app=fbl
  11. NALIA NGWENA

    Je ni albam gani ya wasanii wa hiphop Tanzania uliisikiliza na kuiona ni albam bora na siyo bora albam??

    hizi ndiyo albam zangu bora kabisa za hiphop zilizofanywa na wasanii wa Tanzania (1) PROF JAY, albam yake inayoitwa MACHOZI, DAMU NA JASHO hii albamu huwa siichoki kuisikiliza ina kila kitu elimu,kufurahisha na kusisimua jamii mwamba ukimsikiliza katika hii albamu unajua kabisa he is a geneus...
  12. ndege JOHN

    Nitajie wasanii wawili Tanzania ambao ni genius sana

    Kwa mimi binafsi naona 1. Nikki Mbishi wa Tamaduni Muzik 2. Leonardo wa Cheka Tu Wote ni wasomi wenye taaluma zao ambazo, zinahitajika kichwa Cha hesabu Nikki ana degree ya computer science huku Leonard yeye ana bachelor ya water resources engineering. Kwenye interview zao utagundua wako smart...
  13. de Gunner

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku mambo yakienda kombo unapotea kwenye game. Talent na uwezo sio kigezo cha msanii kutoka pamoja na...
  14. C

    Kwa hali inayoendelea sasa nchini wananchi wanaenda kwenye mikutano ya kisiasa kusikiliza sera au kuangalia Wasanii?

    Habari zenu Wakuu, Kwa hizi siasa zinavyoendelea nchini sidhani kama raia wanaojaa kwenye mikutano ya kiasiasa wanakuwa wanaenda kweli kusikiliza sera, hasa wale wanaojaza wasanii kibao utafikiri wanafanya tamasha. Kila mtu sasa hivi ni chawa, viongozi ni chawa ili kubakia kwenye nafasi zao...
  15. Suley2019

    RPC Arusha: Kundi la Wadudu ni kama Wasanii, wanafanya Sanaa sio Wahalifu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linao wajibu wakisheria wa kuwalinda raia na mali zao huku likibainisha kuwa limepokea maelekezo ya Mwenyekiti wa Ulinzi Mheshimiwa Paul Makonda aliyoyatoa hivi karibuni. Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha SACP Justine Masejo...
  16. U

    Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

    Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki. Hii ni tofauti na kundi la east cost team, members wake wengi wanadunda mpaka sasa GK - Lecturer katika...
  17. W

    Ungetamani kusikia collabo ya wasanii gani?

    Muziki wa Tanzania una wanamuziki wenye uwezo mkubwa lakini muziki wetu hauendelei mbele kwenye mataifa mengine kwa sabau hakuna ushirikiano baina ya wasanii. Naamini wasanii wa kishirikiana wanweza kusaidiana kuupeleka muziki wa Tanzania level za kimataifa. Je, Wasanii gani wa Tanzania ambao...
  18. R

    Nani anahusika kuratibu na kugharamia wasanii wa DSM kuzunguka kutoa burudani kwenye mkesha wa Mwenge? Hizi fedha zinapitishwa na bunge?

    Wasanii wa muziki na vyombo vya habari vimefanya mkesha wa Mwenge kuwa kama FIESTA. Wakuu wa wilaya na Mkoa wanatoa wapi fedha za kuwalipa wasanii wakubwa kwenda kutoa burudani usiku kucha kwenye mkesha wa Mwenge? Je hizi fedha za kuwalipa zinatokana na bajeti inayopitishwa na bunge? Mbona...
  19. Carlos The Jackal

    Baada ya kugundua kua Hawatajaza watu mikutanoni, na Wasanii wako bize, Nchimbi, Makala na Timu yake wajikita kwenye Mikutano ya Ndani ya CHAMA!!.

    Hii ni kuhofia aibu ambayo ingewapata, ndioo, Wamejua kwamba hawatajaza watu, wanajua hawakubaliki, hawana ushawishi, Sasa wamekuja na GIA ya kufanya Ziara za Mikutano ya Ndani tuu, yaan kwenye Viukumbi vyenye kubeba wanachama tu na sio Raia ,tena wanachama wapatao 100 !!. Hofu yao ni kuona...
  20. blogger

    Kwa alichopost Stamina anajiona katoboa, anatudharau

    Huyuu๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Kajisahau.. Huenda anahisi katoboa. Anamess na population moja inayoweza muamulia mtu maisha. Mshaurini aendelee kupambana na Break Ups zake.
Back
Top Bottom