Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.
Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii kwa Mahaba niue yake yote kwa Mumewe anayemuita Mwanasaikolojia wake Mke wa Mwanasaikoloja Maarufu nchini Dk, Chris Mauki aitwae Miriam Mauki amesema kuwa Mumewe huyo anajua kila Kitu isipokuwa Kupika tu ndiyo hajui.
Tafadhalini elewa hapo neno...
Shalom,
Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa...
UFAFANUZI WA KINA NA MBINU ZA KUACHA UVUTAJI WA SIGARA
Mbinu Za Kuacha Uvutaji Wa Sigara
Miongoni mwa mambo magumu kabisa katika ufanikishaji wake ni mtu kuachana na uvutaji wa sigara. Watu wengi wamekuwa wakionywa kuachana na uvutaji wa sigara kwa sababu ya madhara yake, lakini wamekuwa...
Mwanaume ameaminiwa na Mungu na kuwekwa kuwa kichwa cha familia.
Kichwa ndio Injini ndio ubongo wa familia. Kwa mtazamo huu Rasilimali na vipato vyote vya familia vinapaswa kuwasilishwa kwa kichwa mara tu vinapopatikana.
Mwanamke hata uwe CEO wa Google(kampuni inayoongoza kwa kulipa mishahara...
@Arusha,Mama mchagga (Mmaranguu), baba mngoni
Ndege mjanja hunaswa tundu bovu, baada ya kuchemka mwishowe nilisaidiwa kumpata wa kunioa 'Asante'
Mama aliwakataa wachumba zangu wawili, watatu alikuwa Mkibosho very handsome akisoma Uhandisi UDSM baba yake akiwa ni tajiri wa Hardware chains Arusha...
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa haraka sana, mara mume alie serious anahitajika au natafuta mchumba au fulani kwa kutajwa jina kabisa...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka isiyopunguwa 10 nimegunduwa ndoa si kitu muhimu tena Kwa jamii ya Kitanzania, anayebisha hili shauri...
Shalom,
Katika maisha enenda kwa namna njema na ipasayo hasa katika mtazamo wa kibinadamu na katika Mungu, heshimu watu, salimia watu usivimbe na usijione una mpenzi mzuri na uko level za juu.
Kisa kiko hivi nina jirani yangu dogo mmoja hivi ni Mhaya(Ishomile) kama kawaida mimi mama yangu ni...
Mimi ni mwanachama mtiifu wa timu KATAA NDOA, lakini nataka niwe baba watoto.
Kampeni nishaianza tayari. Juzi kuna mdada kajifungua mtoto wa kiume.
Muda huu nimetuma nauli kwa mdada mwingine ambaye ana hamu ya kuwa na mtoto. Hivyo anakuja kukaa siku 3 kwenye geto langu kwa lengo moja...
Umuhimu wa kumuombea mume wako
Kumuombea mume wako ni muhimu kwasababu unapomuombea mumeo ni kama unajombea wewe. Mafanikio ya mume wako ni ya kwako pia
Unapomuombea mumeo inaongeza na kukuza upendo wako kwake
Inakuamsha kwenye upendo mkuu zaidi wa Mungu aliokuunganisha na ndoa yako...
Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamume na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba.
Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika nyumbani yaani haendi kazini mwanamke analazimisha kwamba umsaidie kazi na usipofanya ananuna hii...
Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka.
Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
Wanawake ni viumbe ambavyo kisaikolojia ni tegemezi,,, kwa hiyo wameumbwa kumtegemea mwanaume katika nyanja mbali mbali na si lazima liwe swala la kiuchumi.
Si ajabu kabisa mwanamke akawa na amani ya ulinzi iwapo hata mwanaume huyo ni mvulana wa shule ya msingi kwa maana kijana mdogo kabisa wa...
Namshukuru Mungu mimi nilipata mume hapahapa JF ndoa tumefunga na nina mtoto mmoja na mume wangu siku nitaanzsha uzi hapa
nlvomuadithia rafiki yangu n a yeye akanituma nmtumie maombi yake...
Yeye pia ni MCHAGA single mama la mtoto 1 wa miaka 7
Baba mtoto wake hayupo kabisa
Anatafuta mume...
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa...
Umri wangu miaka 45,
Muislamu naishi Dodoma. Natafuta mchumba sifa awe mweupe, mzuri, asiwe bonge nyanya au mwenye maziwa mengi.
Awe angalau na kidato cha nne, awe tayari Kuishi Dodoma nilipo.
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja au asiwe naye kabisa. Umri usizidi 35,
Akiwa tasa sawa tu. almuhimmu...
kiujumla wizi wa aina yoyote ile ni mbaya sana.
na siku zote wizi hauna mipaka, mwizi huiba kila kitu anachokiona kinamfaa mbele yake kwa muda mfupi na haraka sana, haina kuremba.
kuiba mke au mume wa wenyewe, ni wizi mgumu, mbaya na hatari sana kwa afya na uhai wako.
Pasaka hii tulizana, baki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.