rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    Muda sio rafiki yako na hauhitaji mbwembwe

    Wakati nasoma sekondari pale Iyunga tech, Mbeya kuna mambo mengi niliyashuhudia ila leo nimekumbuka moja. Kama mnavyojua Mbeya ni baridi la kwenda hivyo kuoga ni mtiti. Kwa hiyo kuoga masela ilikuwa Kwa nadra kishenzi yaani ukiona mwanafunzi mwenzako anaoga unashangaa. Ila yote tupa kule Kuna...
  2. K

    Kwanini bei ya mafuta kwa Tanzania siyo rafiki?

    Kila Jumatano ya mwanzo wa mwezi EWURA wanatangaza bei mpya ya nishati ya mafuta. Kwa asilimia kubwa kila wakitangaza ni ongezeko tu la bei na siyo punguzo. Ukichukua mfano wa nchi zote za jirani zetu bei zao ni pungufu kuliko ya Tanzania. Hivi Tanzania tuna tatizo gani na tunawabebesha...
  3. Teslarati

    Nimetumia pesa kulala na mwanamke wa rafiki yangu bila kujua, na yeye kajaa hataki kuniacha

    Maisha haya tabu tupu. Kuna binti mmoja anafanya kazi hoteli fln hapo mlimani. Huyu nilimuona mara moja tu nikamtamani, baada ya kunihudumia nikamuachia tip nzuri tu na wala sikuchukua namba sababu ndo nnavyowatega warembo wa aina hio. Sasa kumbe binti kanikariri, 1 week ikapita nikarudi tena...
  4. Komeo Lachuma

    Rafiki mpenzi amenigeuka, amekuwa adui yangu

    Huyu rafiki tulipoteana kwa muda mrefu kidogo. Tulianza fahamiana chuo. Tukamaliza tukaja kutana tena mkoa flani kazini, tukaendelea kuwa marafiki. Baadaye tukatengana tena. Tukaja kutana tena hapa town baada ya yeye kunitafuta. Kumbe alikuwa anakaribia kuolewa. So akawa anataka mchango wa...
  5. D

    SoC04 Vijana waandaliwe katika mazingira rafiki ili waweze kutambua nafasi yao katika kuleta maendeleo katika jamii

    Katika ulimwengu unaobadilika haraka leo, kuwawezesha vijana ni muhimu kuliko wakati wowote. Vijana wanawakilisha mustakabali wa jamii, na sauti zao, mawazo, na hatua zao zina uwezo wa kuleta mabadiliko chanya. Hata hivyo, ili kutumia uwezo huu, ni muhimu kutekeleza mikakati ambayo inawapa...
  6. Surya

    Natafuta rafiki wa kike..

    Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu. Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
  7. halfcastmangi

    Hivi umewahi add rafiki facebook hasa wa jinsia ya kike na ukakutana na hili?

    Wadau hivi umewahi add rafiki wa kike Facebook kutokana na ile friends suggestions halafu ukaja kushangaa kwenye story pale juu katika profile yako unamuona huyo rafiki kaweka story yenye viashiria vya ngono? Huwa unaendelea naye kama friend au unamtoa fasta? Jana nime mu add dada mmoja, aisee...
  8. G

    Vijana mnaotafutana kwa kukaribiana umri mnakosea sana, inachangia sana migogoro. Sijutii kufanya maamuzi ya kuoa kwa gap la miaka 10

    Binafsi nilioa nikiwa na 28 mke wangu muda huo akiwa na 18, Kwa sasa naenda 36 mwenzangu yupo 26 kumekuwa na pattern kubwa ya vijana kutafutana waoane kwa kigezo cha kukaribiana ama kulingana umri. Sababu kuu huwa ni "nioe binti mdogo tutaongea nae nini" Niwajuze tu kwamba kwenye ndoa ni...
  9. M

    Nakuwa muwazi. Nashukuru, nilisaidiwa kumpata wa kunioa na rafiki yake mama

    @Arusha,Mama mchagga (Mmaranguu), baba mngoni Ndege mjanja hunaswa tundu bovu, baada ya kuchemka mwishowe nilisaidiwa kumpata wa kunioa 'Asante' Mama aliwakataa wachumba zangu wawili, watatu alikuwa Mkibosho very handsome akisoma Uhandisi UDSM baba yake akiwa ni tajiri wa Hardware chains Arusha...
  10. Comrade Ally Maftah

    Mtu akichagua kuwa adui usimfanye rafiki

    MTU AKICHAGUA KUWA ADUI, USIMFANYE KUWA RAFIKI Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Katika maisha kuna watu wanatabia za chuki wanazaliwa nazo na wengine wanaziendekeza, unaweza kukuta mtu analazimisha kuwa na uadui na wewe, anaweza kutumia muda wake mwingi sana kuchambua chambua mapungufu...
  11. R

    Rafiki zangu Wadigo, pelekeni watoto shule, formal schooling, zipeni msisitizo kama mnavyo zipa msisitizo "chuo" madrasa

    Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa, akitaka aende shule za kawaida , asipotaka basi, lakini "chuo" atakwenda! Nikaacha fimbo zinatembea! Ni...
  12. Manyanza

    Tahadhari ya marafiki wasio rafiki

    Maisha yamejaa marafiki wasio na urafiki. Watu wengine hawakufa wakati mshale ukiwa kifuani mwao, walikufa walipoona ni nani aliyerusha mshale huo. Hapa kuna Dalili 12 za marafiki wasio na urafiki; 1. Marafiki wasio na urafiki wanapanga njama dhidi yako usiku na kucheka nawe asubuhi...
  13. U

    Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

    Kwa furaha kubwa sana kipindi cha Uncle Magu niliipongeza serikali kwa kuanza kuleta ndege mpya za air Tanzania nikiamini ya kwamba ushindani dhidi ya fastjet utaongezeka nasi abiria tunufaike zaidi. sikumbuki vizuri kilichotokea lakini fastjet waliondoka akabaki air Tanzania peke yake kama...
  14. T

    Ndoto ya rafiki yangu wa karibu

    Habar za jumamosi wana-jamiiforums, Moja kwa moja naomba nishee nanyi kisa kimoja kinachomkuta mtu wa karibu ambaye aliamua kushea namimi hili jambo lake Huyu jamaa yangu tulikuw pamoja enzi za utoto wetu , sasa huyu jamaa huwa na tabia ya kuota ndoto na mara nyingi hutokea au linatokea jambo...
  15. Suley2019

    Prof. Kitila Mkumbo: Vijana watengenezewe mazingira rafiki ya Biashara

    Profesa Kitila Mkumbo akizungumza na Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo na nafasi yao katika kuwezesha biashara nchini. Alisisitiza umuhimu wa Viongozi wa serikali kuweka mazingira wezeshi kwa vijana kufanya biashara. Katika...
  16. Jumanne Mwita

    Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Katika maisha yangu nachotaka kusema mimi na urafiki na mwanamke haupo hata kama unajifanya mimi ni rafiki yako ntafanya niwezalo nikukosee maana mafahari wawili hawawezi kaa zizi moja. Wapo wanaoweza ila Kwa upande wangu siwezi kama nilikutongoza ukasema hapana tuwe marafiki hapo ndio imeisha...
  17. Mwizukulu mgikuru

    Kwanini hawa rafiki zangu wanaumia sana mioyo yao

    Wakuu nipo Daressalam yapata mwezi sasa, nilitoka mkoani kuja huku kufukuzia fursa mbalimbali na kuongeza exposure. Ukizingatia mimi sio mtu wa kuishi sehemu moja kwa muda mrefu, kule mkoani kuna ishu zangu ambazo huwa nafanya na zinaniingizia pesa ya kuendesha maisha yangu. Toka nimekuja...
  18. PrimeTech255

    Jipatie CCTV Camera Bora na za kisasa uweze kutizama eneo lako kila unapokwenda kwa gharama rafiki

    Kuna machaguo mbali mbali ya Cctv Camera mfano HIK VISION,Dahua, nk ila Leo Ninakuletea chaguo jipya sokoni na hii ni "Ezviz" Yes "Ezviz" Wametoa Cctv Camera zisizohitaji waya Wala vifaa vya ziada kama DVR/NVR ili ziweze kufanya kazi Bali kwenye hizi camera unahitaji tu Internet na Kila kitu...
  19. Friedrich Nietzsche

    Natafuta Rafiki wa Benaco Ngara Kagera

    Kichwa cha habari cha husika! Hamna vigezo awe tu binadamu
  20. CONTRARIAN

    Unaishije na rafiki/mpenzi ambaye hawazi kabisa kuhusu maendeleo?

    Nazungumzia mtu ambaye kwa kiasi kikubwa mpo karibu sana.. Yaani kama ni mpenzi yeye anataka udaku, kudinyana, romance... Rafiki naye, stori ni za Mahusiano tuu, n.k Kwa ufupi hakupi challenge yoyote ile.., kuna mda unahitaji kua peke yako ili angalau uwaze nje ya boksi, Ukimshirikisha...
Back
Top Bottom