Nimetumia pesa kulala na mwanamke wa rafiki yangu bila kujua, na yeye kajaa hataki kuniacha

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,869
7,284
Maisha haya tabu tupu.

Kuna binti mmoja anafanya kazi hoteli fln hapo mlimani. Huyu nilimuona mara moja tu nikamtamani, baada ya kunihudumia nikamuachia tip nzuri tu na wala sikuchukua namba sababu ndo nnavyowatega warembo wa aina hio.

Sasa kumbe binti kanikariri, 1 week ikapita nikarudi tena pale akanipokea kwa bashasha sana na macho alivokua ananiangalia ukijumlisha uzuri wake aisee nilisisimka palepale. Ile nimekaa tu akaenda kutafuta kitaulo akaanza kufuta meza huku akiniuliza anihudumie nn. Nikamwambia chakula nnachotaka huku akili ikiwa pengine kabisa ikishangaa anavyomelemeta ile siku na lile tabasam lake.

Nilipomaliza kula nikamlipa na kumuachia tip kama kawaida ila nikamuachia pia business card yangu nikamwambia anitafute.

Ile naingia kwenye gari tu napata msg "Hellow, mhudumu wako hapa boss" nikareply "ok"

Mida ya saa moja jion nimechill kwangu mrembo akanipigia tukapiga story mbili tatu, nikamtania tu, nipo nimechill njoo tuongee face to face, bila hiyana akakubali.

Kachukua bolt mida ya saa mbili na nusu ameshafika, tukafanya yetu tena bila kinga, lkn tukapima baada ya bao 2 za mwanzo. Tukapiga cha tatu tukalala. Kesho yake akaniaga mapema akarudi kwake.

Sasa siku chache zilizopita nipo na rafiki yangu nnaefanya nae kazi ofisi moja pale pale hotelin tunapata msosi si akaja yule binti kutuhudumia.

Binti alivyomuona jamaa nikaona kabadilika akawa ananikwepa sana, na mm huwa hata kama nimelala na dem sioneshi nje. Alivyomaliza kutuhudumia, rafiki yangu akaongea nae kdg lkn kupitia hayo mazungumzo nikagundua wanafahamiana ila sikujua kama ni wachumba.

Sasa bwana wee, binti kaondoka si ndo mshikaji akaanza kuniambia, "unaona hiki chombo, nimesoma nacho, nimekileta mjini huku nikakipangia room na kukitafutia kazi. Nataka nioe hapa mambo yakitiki vzr kazini"

Aisee nilihisi ganzi mwilini niliposikia hivo. Nikikumbuka nilikua namwagia ndani, mtoto kachezea koni balaa usiku ule, na tuliendelea kukichapa hata baada ya ule usiku. Nikamuitikia tu jamaa yangu kwamba "Mtoto mzr huyo, chukua mapema"

Kilichonishangaza jioni yake nampigia simu dem na kumuuliza khs mahusiano yake na jamaa yangu, dem anajibu "Huyo ananisumbuaga sana ila mm hata simpendi, hapa kazini kwanza wameshamchoka anajipendekeza sana kwangu, kila siku anataka mm ndo nimuhudumie". Aisee nikazidi kuchoka, nikasema huyu dem yupo after money hata kwangu, sabab kama anasema hvo khs mtu alomtafutia kazi na kumleta mjini, isitoshe kumpangia chumba basi ni hatari sana.

Sasa kwenye yale mazungumzo si kakanipandisha genye, ikabidi kaje home tena tukakichapa. Ila baada ya hapo nafeel guilty saana, yaan zaidi ya sana. Hadi kuona naandika hapa roho inaniuma sana. Toka day one nmemuona huyu binti ni namwagia hela tu, na yeye anamsaliti jamaa yake akidhan mm sijui true story behind.

Roho inaniuma sana, hapa nimempiga block huyo dem ila kuna mda yale mamichezo yake yanarudi akilini nataman kumcheki tena. Shida tupu yaan, full dillemma
 
Ukiacha kumla, ukiendelea....

Hizo njia zote hazimsaidii rafiki yako

Mimi naona ufunguke tu, ushahidi wa meseji na call logs si unao, au nakosea?
 
Ukiacha kumla, ukiendelea....

Hizo njia zote hazimsaidii rafiki yako

Mimi naona ufunguke tu, ushahidi wa meseji na call logs si unao, au nakosea?
Nifunguke kvp?

Kwa mshikaji?

Huyo jamaa ni rafiki yangu sawa ila mm kazini ni mkubwa wake, siwezi jishushia heshima hivo. Ntamuacha tu dem kimya kimya watajuana wao kwa wao
 
Utu uzima kazi kwa kweli.

Ni rafiki au workmate tu mna mazoea mazoea

Maanake sielewi cheo kinaingiaje kwenye urafiki
Itakua hujui corporate life ww.

Akijua nimelala na huyo dem wake unaweza jua italeta nn hapo kazini? Hujui anaweza nishitaki? Ni rafiki yangu lkn kwenye corporate ladder hakunaga urafiki, unaless hujawah kufanyakazi na kuona corporate politics.
 
Back
Top Bottom