Michezo ya kubahatisha imekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa vijana duniani kote, na Tanzania haiko nyuma. Kwa miaka 25 ijayo, michezo ya kubahatisha inaweza kuwa na jukumu muhimu katika kusaidia maendeleo ya nchi kwa njia mbalimbali.
Kwanza kabisa, michezo ya kubahatisha inaweza kuchangia...
Katika ulimwengu unaobadilika haraka leo, kuwawezesha vijana ni muhimu kuliko wakati wowote. Vijana wanawakilisha mustakabali wa jamii, na sauti zao, mawazo, na hatua zao zina uwezo wa kuleta mabadiliko chanya. Hata hivyo, ili kutumia uwezo huu, ni muhimu kutekeleza mikakati ambayo inawapa...
Specification ya lenovo Laptop
Window 10 pro,
Processor core i5,
Hard disk,
Storage 300GB,
Ram 8GB
Hali yake ni imara na charger inadumu kwa masaa mengi nicheck 0624000771
Dhana ya elimu na ajira kwa wahitimu
Ndoto kuu ya wazazi wengi katika jamii ni kuona watoto wao wakifanikiwa katika kila walifanyalo, kama ni biashara basi iwe yenye faida na kama ni elimu basi iwe yenye tija katika kubadilisha maisha ya watoto wao na hata yao wenyewe maana hiyo ndiyo dhana...
MAGEUZI YA SAYANSI NA TENKNOLOJIA NI FURSA KWA VIJANA
Kijana anawezaje kunufaika na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia?
Mwandishi wa maarufu wa vitabu huko Marekani, Alvin Toffler katika kitabu chake Cha POWER SHIFT, Aliandika Alieleza Aina tatu za Nguvu, Nguvu za Mwili (physical power), Nguvu...
ELIMU, VIJANA NA MAENDELEO
Sekta ya elimu imeleta mchango mkubwa katika kuendeleza na kujenga uchumi wa nchi na maisha kwa ujumla toka kipindi cha uhuru mpaka sasa. Sekta ya elimu imechangia kwa kiasi kikubwa kuleta maendeleo ambayo tunayashuhudia sasa katika nyanja zote, kiuchumi, kijamii na...
Na. Sifael Essau Mpollo.
Rais wa 32 wa Marekani Franklin Delano Roosevelt aliwahi kusema “We cannot always build a future for our youth, but we can always build our youth for the future.” Kwa tafsiri isiyo rasmi katika Kiswahili ni kwamba "Siku zote hatuwezi kujenga mustakabali wa vijana wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.