Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
437
1,077
Katika maisha yangu nachotaka kusema mimi na urafiki na mwanamke haupo hata kama unajifanya mimi ni rafiki yako ntafanya niwezalo nikukosee maana mafahari wawili hawawezi kaa zizi moja.

Wapo wanaoweza ila Kwa upande wangu siwezi kama nilikutongoza ukasema hapana tuwe marafiki hapo ndio imeisha hiyo sitataka mazoea kabisa, hakunaga urafiki wa mke na mume.

Wanaume sisi tunajua tabia zetu hivyo mtu akisema sisi ni marafiki tu ukiamini, anaweza akawa anatumia urafiki huo akiwa na malengo yake siyo sawa kabisa kwamba mwanaume na mwanamke wanaweza kuwa na urafiki kwa muda mrefu hasa wale waliopo kwenye ndoa.

Kuna muda itafikia ataona kama anaweza kufikia mpaka Langoni hivyo anajaribu bahati yake, na ogopa mtu huyu akifika hatua hii na uliamini ni rafiki tu utajuta aisee.

Haya ni maoni yangu siyo sheria kwamba kila mtu yuko hivi.
 
Kufupisha stori yako ungepaswa kuandika kuwa wewe ni bahili kwa wanawake basi tungekuelewa mapema. Umejitahidi kuzunguka sana mkuu kuandika ujumbe wako
Hapana mkuu 😁😁 umeninukuu vibaya kitu nachokwepa ni

Wanaume wengi tunakaza moyo tu pale tunakua na marafiki wa kike kwamba naweza chomekea urafiki ukapotea ila kamwe usianze kuchomekea nitakukula tu 😂😂akunaga urafika wa mkate na chai 🙌🙌
 
Umenikumbusha nyimbo ya bizie Mark "just a friend"

"
I thought just havin' a friend couldn't be no crime
'Cause I have friends, and that's a fact
Like Agnes, Agatha, Germaine, and Jag
Forget about that, let's go into the story
About a girl named Blah-blah-blah that adored me"
 
Upo kama mimi, nasemaga kabisa sotakagi urafiki na wanawake. Na nikiruhusu uwe rafiki basi nakupa status ya Dada. Hapo nitakuheshim...
Eti urafiki? Toka lini urafiki wa nyani na mahindi
Mimi sina uwezo wa kustahimili kuwa na rafiki wa kike halafu nisimtongoze so nachofanya sina kabisa rafiki wa kike na sitaki😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom