Haujawahi kuwepo, haupo,na hautakuwepo urafiki kati ya mwanamke na Mwanaume

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,713
23,515
Salaam, Shalom!!

Thread hapo juu imejengwa katika Katiba ya Wana wa Mungu iitwayo Neno la Mungu.(Biblia).

Kusema kuwa haupo urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke haimaanishi kuwa Pana uadui HAPANA, yapo mahusiano ya kibinadamu Kwakuwa sisi sote ni watu, tunahusiana katika nyanja mbalimbali hivyo lazima tunakutana na kuhitaji kusaidiana katika mambo mbalimbali kibinadamu.

Ninaloliongelea Leo ,ni haupo, haujawahi kuwepo na hautakuwepo urafiki kati ya mwanamke na Mwanaume, nini maana ya urafiki?

Rafiki ni mtu wa karibu, mtu ambaye unashauriana naye, anayekutia moyo, unayemweleza taabu na shida zako, unashare naye mambo mbalimbali, unaweza kukutana naye popote,muda wowote bila mipaka. Huyo ndiye Rafiki. Ni yule ambaye unaweza kulia na akakusikiza na kukusaidia kurudi katika Hali Yako baada ya kujeruhiwa katika angle mbalimbali, ni yule wa karibu uwezaye kufurahia naye katika furaha, na kulia pamoja wakati wa huzuni, awezakuwa karibu zaidi hata ya ndugu.

Mwanamke na Mwanaume, kamwe hawawezi kuwa marafiki Kwa kiwango hicho, ukiona Mwanaume na mwanamke wamefika hatua nilizotaja hapo juu, lazima ni maigizo au ni jaribu Kwa mwingine sababu viumbe Hawa ni POSITIVE na NEGATIVE. Kamwe hawawezi kuwa karibu katika viwango hivyo wasinasane kama vile CHUMA kinavyonasa kwenye sumaku.

Wazazi mliookoka, Wana wa Mungu, msitoke kwenye mstari wa Neno la Mungu, wafundisheni Wana na Binti zenu kuwa BIBLIA Haina kitu kinaitwa BOYFRIEND na GIRLFRIEND, Binti Yako akipitiwa na rafiki za kiume Eti ni marafiki wanaenda kujisomea usiku, hakikisha unavunja urafiki huo fake.

Ndani ya BIBLIA kitu kinachoitwa BOYFRIEND na GIRLFRIEND hakipo na hakijawahi kuwepo na hakitakuwepo.

Ndani ya BIBLIA Kuna undugu, KAKA na DADA katika Kristo, mahusiano ya waamini, kaka na dada Yana mipaka, ni msichana wewe mvulana ,mahusiano yenu yanapasa kuwa kama ya kaka na dada wa Kuzaliwa tumbo Moja, maana hiyo ni kuwa, IPO mipaka.

Huwezi kukaa na dada Yako gizani pekeenu usiku, huwezi pata nafasi ya urafiki usio na mipaka Kwa dada Yako.

Wana wa Mungu tusiige tamaduni za kimagharibi, kwamba mume ana mkewe, pia anakuwa na girlfriend, na mke anakuwa na boyfriend,mambo hayo hayapo kibiblia.

HASARA ZA URAFIKI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE.

- Husababisha kuzoeana kusiko kawaida hivyo kupunguza Upendo Kwa mtu utakayekuja kumwoa,na kumbukumbu zile hazitofutika hivyo kuleta mgogoro ndani ya NDOA.

-Hutengeneza vishawishi na kukaribisha jaribu la Zinaa.

-Husababisha mwanamke kudharau Rafiki wa JINSIA yake na Kwa kiasi kikubwa ndiyo chanzo Cha uvaaji wa mavazi ya kiume Kwa wanawake , mavazi ya kike Kwa wanaume na kuongezeka vitendo vya usagaji, ushoga na kukataa Kuolewa au kuoa wakidhani wao ni kama wanaume au wanaume kudhani wanaweza kuwa wanawake.

- Huleta pia imbalance katika hormone za kiume, Mwanaume atajikuta anakosa ujasiri wa kukaa na wanaume wenzie muda mrefu, TABIA za kuwa wasafi kupitiliza na TABIA zingine za kike kuwavaa wanaume, na za kiume kuwavaa wanawake. Ukavu na kukosa HISIA za mpenzi waingiapo katika fungate na maisha ya NDOA.

HITIMISHO.

Mwanamke ni mwanamke, Mwanaume ni Mwanaume. Hakuna urafiki kati ya watu Hawa wawili, ingawa pia haimaanishi kuwa Pana uadui.

Hakuna urafiki kati ya mwanamke na Mwanaume, tunatakiwa tupate ndugu wa kiume na kike katika Kristo, tustawishe familia na mwili wa Kristo. Kamwe tusiige mitindo ya Dunia.

Mungu ibariki familia ya kristo.

Amen.

Karibuni 🙏.
 
Husababisha mwanamke kudharau Rafiki wa JINSIA yake na Kwa kiasi kikubwa ndiyo chanzo Cha uvaaji wa mavazi ya kiume Kwa wanawake , mavazi ya kike Kwa wanaume na kuongezeka vitendo vya usagaji, ushoga na kukataa Kuolewa au kioa wakidhani wao ni kama wanaume au wanaume kudhani wanaweza kuwa wanawake.

- Huleta pia imbalance katika hormone za kiume, Mwanaume atajikuta anakosa ujasiri wa kukaa na wanaume wenzie muda mrefu.
BUT HOW???? :rolleyes: :rolleyes:
 
Salaam, Shalom!!

Thread hapo juu imejengwa katika Katiba ya Wana wa Mungu iitwayo Neno la Mungu.(Biblia).
Mkuu sijaona uki-qoute kifungu chochote cha biblia kwenye huu uzi ili tuwe na uhakika zaidi maaana inaonekana kama umejikita katika mawazo yako na si biblia kama unavyodai
 
Niliyoongea yote ni Biblical,

Girlfriend na Boyfriend haijaandikwa popote katika BIBLIA ambayo ni Katiba ya Wana wa Mungu.
 
Salaam, Shalom!!

Thread hapo juu imejengwa katika Katiba ya Wana wa Mungu iitwayo Neno la Mungu.(Biblia).

Kusema kuwa haupo urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke haimaanishi kuwa Pana uadui HAPANA, yapo mahusiano ya kibinadamu Kwakuwa sisi sote ni watu, tunahusiana katika nyanja mbalimbali hivyo lazima tunakutana na kuhitaji kusaidiana katika mambo mbalimbali kibinadamu.

Ninaloliongelea Leo ,ni haupo, haujawahi kuwepo na hautakuwepo urafiki kati ya mwanamke na Mwanaume, nini maana ya urafiki?

Rafiki ni mtu wa karibu, mtu ambaye unashauriana naye, anayekutia moyo, unayemweleza taabu na shida zako, unashare naye mambo mbalimbali, unaweza kukutana naye popote,muda wowote bila mipaka. Huyo ndiye Rafiki. Ni yule ambaye unaweza kulia na akakusikiza na kukusaidia kurudi katika Hali Yako baada ya kujeruhiwa katika angle mbalimbali, ni yule wa karibu uwezaye kufurahia naye katika furaha, na kulia pamoja wakati wa huzuni, awezakuwa karibu zaidi hata ya ndugu.

Mwanamke na Mwanaume, kamwe hawawezi kuwa marafiki Kwa kiwango hicho, ukiona Mwanaume na mwanamke wamefika hatua nilizotaja hapo juu, lazima ni maigizo au ni jaribu Kwa mwingine sababu viumbe Hawa ni POSITIVE na NEGATIVE. Kamwe hawawezi kuwa karibu katika viwango hivyo wasinasane kama vile CHUMA kinavyonasa kwenye sumaku.

Wazazi mliookoka, Wana wa Mungu, msitoke kwenye mstari wa Neno la Mungu, wafundisheni Wana na Binti zenu kuwa BIBLIA Haina kitu kinaitwa BOYFRIEND na GIRLFRIEND, Binti Yako akipitiwa na rafiki za kiume Eti ni marafiki wanaenda kujisomea usiku, hakikisha unavunja urafiki huo fake.

Ndani ya BIBLIA kitu kinachoitwa BOYFRIEND na GIRLFRIEND hakipo na hakijawahi kuwepo na hakitakuwepo.

Ndani ya BIBLIA Kuna undugu, KAKA na DADA katika Kristo, mahusiano ya waamini, kaka na dada Yana mipaka, ni msichana wewe mvulana ,mahusiano yenu yanapasa kuwa kama ya kaka na dada wa Kuzaliwa tumbo Moja, maana hiyo ni kuwa, IPO mipaka.

Huwezi kukaa na dada Yako gizani pekeenu usiku, huwezi pata nafasi ya urafiki usio na mipaka Kwa dada Yako.

Wana wa Mungu tusiige tamaduni za kimagharibi, kwamba mume ana mkewe, pia anakuwa na girlfriend, na mke anakuwa na boyfriend,mambo hayo hayapo kibiblia.

HASARA ZA URAFIKI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE.

- Husababisha kuzoeana kusiko kawaida hivyo kupunguza Upendo Kwa mtu utakayekuja kumwoa,na kumbukumbu zile hazitofutika hivyo kuleta mgogoro ndani ya NDOA.

-Hutengeneza vishawishi na kukaribisha jaribu la Zinaa.

-Husababisha mwanamke kudharau Rafiki wa JINSIA yake na Kwa kiasi kikubwa ndiyo chanzo Cha uvaaji wa mavazi ya kiume Kwa wanawake , mavazi ya kike Kwa wanaume na kuongezeka vitendo vya usagaji, ushoga na kukataa Kuolewa au kuoa wakidhani wao ni kama wanaume au wanaume kudhani wanaweza kuwa wanawake.

- Huleta pia imbalance katika hormone za kiume, Mwanaume atajikuta anakosa ujasiri wa kukaa na wanaume wenzie muda mrefu, TABIA za kuwa wasafi kupitiliza na TABIA zingine za kike kuwavaa wanaume, na za kiume kuwavaa wanawake.

HITIMISHO.

Mwanamke ni mwanamke, Mwanaume ni Mwanaume. Hakuna urafiki kati ya watu Hawa wawili, ingawa pia haimaanishi kuwa Pana uadui.

Hakuna urafiki kati ya mwanamke na Mwanaume, tunatakiwa tupate ndugu wa kiume na kike katika Kristo, tustawishe familia na mwili wa Kristo. Kamwe tusiige mitindo ya Dunia.

Mungu ibariki familia ya kristo.

Amen.

Karibuni 🙏.
Haupo na hautokuwepo kamwe,
 
Haupo na hautokuwepo kamwe,
Afadhali mama kama nawe unawafundisha wanao hayo.

Ikiwa kaka na dada wapatao miaka 8 Hadi kumi, haturuhusu kulala chumba kimoja,

Iweje mzazi umruhusu Binti wa miaka 17 akasome na kijana mwenzi WA kiume, kwao na kulala huko na utegemee atautunza usichana na kuwa mke Bora baadae,

Hilo halipo.

Africa turudishe Ulimwengu ulipotoka katika Maadili na msingi wa Neno la Mungu.

Ubarikiwe 🙏
 
Back
Top Bottom