natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Top007

    Natafuta wadada na wakaka 5 kwa ajili ya kupika katika bakery

    Habari, Naitaji wafanyakazi 5 (wadada na wakaka) kwa ajili ya kunisaidia kupika katika bakery. Eneo: Kibaha Maili Moja Piga: 0678650509
  2. Msonjo

    Natafuta dalali wa mbuzi Tabora

    Habari wanajamvi Ninatafuta dalali/mfanyabiashara wa mbuzi mkoani Tabora kwa yeyote anayeweza kunisaidia kwa hilo nitashukuru sana. Tuwasiliane 0788303079
  3. salimu alute

    Natafuta kazi, nina diplom ya Uandishi wa habari

    Natafuta kazi, nina diploma ya uandishi wa habari na utangazaji. Pia nipo vizuri kwenye camera na video editing. Please jamani connect.
  4. Top007

    Natafuta Mtu wa masoko

    Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : 0678650509
  5. Staphylococcus Aureus

    Natafuta mtu mwenye geto kali Mwanza awe ananiazima

    Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo! Nitakua nampooza ya maji!! NB: Wenye ushauri wa uende lodge/hotel siwataki
  6. S

    Natafuta mchumba awe anaishi Dar

    Mimi ni mwanaume natafuta mchumba awe anaishi dar Umri 20-35. Umri wangu 32. Asiwe slay queen. Ajue thamani ya mwanaume Mwanamke serious anifate inbox aache kuchat chat hapa.
  7. B

    Natafuta kazi, clinical officer

    Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza, nawasilisha Kwa maelezo Zaidi...0719926468
  8. Z

    Natafuta kazi

    Habari za wakuu Mimi ni kijana wa kiume nina bachelor ya business adminstration based in accounting, nina uzoefu wa kufanya kazi benk lakin mkataba uliisha na sikua tayari kuongeza tena kwa sababu zangu binafsi, baadae nilipata kazi kweny kiwanda, mkoani kama mhasibu msaidizi lakin bahati mbaya...
  9. E

    Natafuta kazi Dar

    Habari zenu wapendwa, mimi ni binti wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne ninaujuzi wa kompyuta nilisoma kozi fupi natafuta kazi ya stationary, au uwakala tigopesa nimefanya mara kadhaa hizo kazi nina uzoefu nazo napatikana Dar - Mabibo Napatikana humu0789 642604. Asanteni.
  10. S

    Natafuta mwanamke awe mchumba wangu.

    Habari za saa hizi. Mimi ni kijana naishi dar. Umri 32. Natafuta mwanamke kwa nia ya uchumba tukienda sawa awe mke. Awe anaishi dar Umri 20-36 usizidi zaidi ya hapa. Aelewe thamani ya mwanaume . Asiwe mtu wa vizinga. Mengine PM.
  11. J

    Natafuta mke/Mkristo

    Ref;-Natafuta mke mkristo, Ila akiwa msabato na awe anaishi dar es salaam itakuwa poa zaidi. Awe mwalimu au nurse au kazi yoyote ya serikali,asiwe muhaya au mjita. Awe na miaka 22-33 asiwe na mtoto,na asiwe aliolewa/asiwe kibonge sana akiwa mwembamba itakuwa poa sana. Me naitwa...
  12. dr namugari

    Natafuta Probox used namba A,B,C,D

    Nataka kumiliki gari na mm.hv sasa Nina guta ila nimeona Kaz zangu inahitaji pro box Naombeni Kam Kuna . member anato aniuuzie Bajeti yangu Ni 4m , Nataka niuuzr guta nimiliki pro box Faida za probox Ni kuwa hyo Ni gari tofauti na guta siwezi kula starehe nayo ila probox Nitabeba mizigo...
  13. Hussein Obama

    Natafuta ajira za kibarua, nipo Mbeya

    Habarini wakuu, Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
  14. N

    Natafuta MKE mwenye CPA(T), Doctor of Medicine au HR😎

    Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs Nipo Dar es Salaam Natafuta Mke wa kuoa. Vigezo: ●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌 ○Umri 24-48😎 ●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵 ○If she's above 30's basi liwe li-shangazi fulani hivi jeupe jeupe!💃 ●lazima awe na Bubbly Ass🍑 ○ kuhusu...
  15. S

    Natafuta ajira (kazi) ni mwanafunzi wa chuo lakini najisomesha mwenyewe

    Mimi kijana wa miaka 24 nasoma degree mwaka wa kwanza Dar es salaam. Naomba mnisaidie kazi kwa sababu najisomesha mwenyewe. Mimi hata nikipatiwa kazi ya kuingia kwa zamu sawa ila iwepo Dar es Salaam Nitawashukuru sana jamani naomba mnisaidi namb zangu +255 772 525 607 hizo naomba mnisaidie...
  16. E

    Natafuta mchumba

    A/alleikum Naitwa Bakari Hamisi mkazi wa Dar es salaam. Umri 32 miaka. Kazi: Muajiliwa (Electrical engineer) Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke kama tukiridhiana Sifa Uwe Muslim Elimu yoyote Mkazi wa Dar es salaam au jirani Umri 20-29 Napatkana telegram 0759565300 or normal.
  17. L

    Natafuta shule ya msingi ya bweni ya binafsi inayotumia mtaala wa kiswahili

    Naombeni msaada kwa anaefahamu shule ya msingi ya binafsi inayotumia kiswahili. Nitafurahi nikioata mawasiliano ya shule husika Natanguliza shukrani
  18. liyangafx

    Natafuta kazi yoyote ya halali Dar es Salaam

    Mimi Ni kijana Nina miaka 28 nime graduate elimu ya diploma ya ualimu wa secondary na bachelor in human resources. Mambo magumu mtaani Kama kuna boss una ajira please call me 0753993094🙏🙏🙏
  19. Poppy Hatonn

    Nani dalali Arusha? Natafuta nyumba ya kukaa

    Wapi naweza kumpata dalali Arusha ili niweze kutafuta nyumba ya kukàa? Nyumba ya kupangisha, siyo kasri.
  20. Surya

    Natafuta rafiki wa kike..

    Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu. Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
Back
Top Bottom