bakery

A bakery is an establishment that produces and sells flour-based food baked in an oven such as bread, cookies, cakes, pastries, and pies. Some retail bakeries are also categorized as cafés, serving coffee and tea to customers who wish to consume the baked goods on the premises. Confectionery items are also made in most bakeries throughout the world.

View More On Wikipedia.org
  1. Top007

    Natafuta wadada na wakaka 5 kwa ajili ya kupika katika bakery

    Habari, Naitaji wafanyakazi 5 (wadada na wakaka) kwa ajili ya kunisaidia kupika katika bakery. Eneo: Kibaha Maili Moja Piga: 0678650509
  2. Mjukuu wa kigogo

    TFDA tupieni macho Wilson bakery ya Bunda wanauza mikate iliyokwisha muda wake

    Kwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi. Kwanza vifungashio vyake vingi...
  3. mercyg123

    Vifaa vya Bakery

    Full set backery machine vifaa vyote vinafanya kazi. vimetumika mwaka mmoja tu! Yaan vingine ni vipya kabisaaa! Ukinunua kazi yako ni kununua unga nakuanza bakery yako!! (hatuuzi kimoja kimoja). 1 pc oven 2deck gas 2pc Bread improver 2pc Tray Trolley 1pc Cup cake maker 1pc Donut Maker 1pc Ice...
  4. M

    UZUSHI Shirika la Afya Duniani(WHO) lawatahadharisha mikate ya kuoka kuwa inasambaza COVID-19

    Hivi karibu kumekuwepo na taarifa ya kuwataka watu kutokula vitafunwa kama vile mikate n.k kwa ajili ya kuepuka maambukizi ya CoronaVirus Taarifa hiyo ili kupewa uhalali wake, iliambatanishwa na nembo ya Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa(WHO) imesambaa kwenye Mitandao ya Kijamii ikidai watu...
  5. Cordy bnei shirk

    INAUZWA Commercial ovens for sale

    Deck 1-1,200,000Tsh(umeme) 1,550,000Tsh(gas) Deck 2-260,000Tsh(umeme) 3,000,000Tsh(gas) Deck(Kama hiyo kwenye picha) 3-3,500,000Tsh(umeme) 3,900,000Tsh(gas) Tupo kAriakoo mtaa wa ndanda,mikoani tunatuma Call /WhatsApp 0673206639
  6. perky

    Nahitaji mtu wa kuanzisha biashara ya bakery Arusha

    Nina idea ya hiyo biashara soko lipo Ila mtaji changamoto mwenye uhitaji mawasiliano 0677603842
  7. E

    Oven ya deki tatu inauzwa

    Jiko la deki 3 ,trey 9 linauzwa, kwa wenye nia ya kufungua bakery ama baking zozote ni jiko zuri sana ni jipya halijawahi kutumiwa, bei mil 5 ,tuwasiliane no.0777482509.karibuni ulimwengu wa wajasiriamali.
Back
Top Bottom