maambukizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Staphylococcus Aureus

    Ukiachana na UKIMWI, ni ugonjwa gani wa maambukizi Mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote??

    Wakuu Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus. Magonjwa yasiyoambukiza -magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo. Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
  2. Kaka yake shetani

    1979-2024 takwimu za watu duniani walipota maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Tanzania mpaka leo ipo kwenye kundi la top 5

    Kuna video ikionesha takwimu za tokea ugonjwa wa ukimwi kuingia mpaka sasa yani ulitokea uganda ila uganda kashindwa kimashindano na Watanzania. Tazama video hii: Ukimwi upo nyie wa mada zenu kula kimasihara. https://www.youtube.com/watch?v=zEpylI1uhg0
  3. T

    Ili Kujustify Ngono Zembe, Jamii imejitengezea Myth Mpya, Njia Nyepesi ili Kujikinga na Maambukizi dhidi ya Ukimwi

    Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima. Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
  4. JanguKamaJangu

    Dar na Pwani zaongoza kwa kuwa na Wagonjwa wa Red Eyes, Mikoa 23 yabainika kuwa na maambukizi

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Wizara ya Afya, Profesa Pascal Ruggajo, mikoa inayoongoza kwa ugonjwa wa Macho Mekundu (Red Eyes) ni Dar es Salaam na Pwani, ambapo Dar es Salaam imefikia wagonjwa 6,412, Pwani wagonjwa 4,041, Dodoma 363, Morogoro 307, Mtwara 193, Shinyanga 193...
  5. BARD AI

    Watu 163,131 walikutwa na Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI mwaka 2023 Tanzania

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu leo January 10,2024 ametoa taarifa ya hali ya utoaji huduma za afya nchini kwa mwaka 2023 katika mkutano wake na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam ambapo amesema katika mwaka 2023 jumla ya Watu 8,145,576 walipima Virusi vya UKIMWI (VVU) na Watu...
  6. Webabu

    Askari wa Israel wanaopigana Gaza wakumbwa na maambukizi yasiyosikia dawa

    Mbali na askari wa jeshi la Israel wanaouliwa vitani na Hamas kuna adui wao wengine wanaowatesa kichini chini .Maabadui hao wengine ni viumbe visivyoonekana ambavyo huwakumba wale wanaopata majeraha katika vita hivyo vinavyoendelea kwa mwezi wa tatu sasa. Viungo vya askari hao huathiriwa na...
  7. BARD AI

    Mikoa ya Njombe na Mbeya yaongoza tena kwa Maambukizi ya UKIMWI Tanzania

    Utafiti wa Hali ya UKIMWI nchini (Tanzania HIV Impact Survey - THIS 2022/23) umeonyesha kiwango cha maambukizi ya UKIMWI kwa watu wazima (miaka 15 na zaidi) kuwa kimepungua kutoka asilimia 4.9 mwaka 2016/17 hadi asilimia 4.4 mwaka 2022/23. Mikoa mitatu yenye kiwango cha juu cha maambukizi...
  8. eliakeem

    Kenya yashika nafasi ya saba kwa maambukizi ya VVU duniani

    Takwimu nchini Kenya zinaonesha nchi hiyo inashika nafasi ya saba kwenye orodha ya mataifa yenye idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI duniani, huku Rwanda na Tanzania zikitajwa kufanikia kudhibiti maambukizo. Hapa tukiwa kama nchi za JAM lazima tuweke mikakati ya pamoja katika...
  9. BARD AI

    Waliozaliwa na VVU na Vijana wanaojiuza kwa Watu Wazima watajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI

    Kwa mujibu wa taarifa ya Chuo Kikuu cha Hospitali ya Aga Khan cha jijini Nairobi, sababu mbili zimebainika kuwa chanzo cha ongezeko hilo na Moja wapo ni Watoto waliozaliwa na Maambukizi ambao sasa wamekuwa vijana au Watu wazima kujihusisha na Ngono bila kuchukua tahadhari. Dkt. Adeel Shah...
  10. DodomaTZ

    ATM Maalum ya kutolea Huduma za Vipimo vya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU yazinduliwa Mbeya

    ATM maalum ya kutolea huduma za vipimo vya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU ijulikanayo kwa jina la “Jipime”, ( HIV Self Testing) imezinduliwa Jijini Mbeya kwa lengo la kuhamasisha wananchi kupima na kutambua afya zao ili kujilinda dhidi ya maambukizi mapya ya virusi hivyo. Huduma hiyo...
  11. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenista Mhagama: Vijana Kati ya Miaka 15-24 Waongoza Maambukizi ya VVU - UKIMWI

    Imeelezwa kuwa kundi la vijana kati ya umri wa miaka 15 mpaka 24 wanaongoza kwa kuchangia maambikizi mapya ya VVU – UKIMWI ambayo ni sawa na Asilimia 40 (40%). Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameyasema hayo mapema...
  12. JanguKamaJangu

    Maambukizi mapya ya VVU yamepungua kutoka 7% hadi 4.3%

    Imeelezwa kuwa kasi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI imepungua kutoka Asilimia 7% Mwaka 2003 hadi kufikia Asilimia 4.3% Mwaka 2022. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe, akimuwakilisha Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akiongoza ujumbe wa wageni...
  13. JanguKamaJangu

    Maambukizi ya Kipindupindu yasambaa katika Majimbo 10 Nchini Zimbabwe

    Serikali ya Zimbabwe inaendelea na jitihada za kuzuia kuenea kwa mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu licha ya kuwa maambukizi yemesamba katika Majimbo 10 huku kukiwa na ongezeko kubwa zaidi katika majimbo ya Kusini-Mashariki ya Masvingo na Manicaland. Mlipuko wa Kipindupindu umeua zaidi ya watu...
  14. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Khamis Hamza akumbusha Wananchi kuchukua Tahadhari juu ya Maambukizi Mapya ya VVU na Ukimwi

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza ameiasa jamii kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI nchini kwa kuendelea kuzingatia elimu inayotolewa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI nchini ili kuunga mkono...
  15. Gulio Tanzania

    Condom zimepanda bei tumejipangaje kudhibiti maambukizi?

    Wakati tunapambana na mfumuko wa bei kumbe sikujua hata condom nazo zimepanda bei juzi wakati nipo safari usiku ule nilivyofika bar moja nimekunywa wakati naondoka zangu kulikuwa kuna mrembo nilimuomba kampani akakubali usiku ule nilinunua kondom pakiti mbili za kutumia usiku ule na asubuhi...
  16. OCC Doctors

    Maambukizi ya utando wa kinywa

    Maambukizi ya utando wa kinywa (Stomatitis), inahusu kuvimba na uwekundu wa utando wa mdomo (oral mucosa) ambayo husababisha maumivu na ugumu wa kuzungumza, kula, na kulala. Inaweza kuathiri mashavu ya ndani, ufizi, midomo na ulimi. Kuvimba husababisha kuundwa kwa vidonda vya mdomo, kimoja au...
  17. BARD AI

    Madonna alazwa 'ICU' baada ya kupata Maambukizi makali ya Virusi

    Madonna ameahirisha ziara yake baada ya kuwa mgonjwa na kukaa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwa siku kadhaa. Taarifa iliyotumwa kwenye Instagram na meneja wa mwanamuziki huyo wa Marekani, Guy Oseary, ilisema: "Siku ya Jumamosi Juni 24, Madonna alipata maambukizi makubwa ya bakteria ambayo...
  18. BARD AI

    Ripoti Muhimbili: Wanaume 4 hadi 8 wanaishi na Maambukizi ya Virusi vya Homa ya Ini

    Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. John Rwegasha ametoa taarifa hiyo na kuongeza kuwa idadi hiyo inaweza kuwa zaidi kwa makundi hatarishi wakiwemo wanaojidunga Dawa za, Kulevya Aidha kwa mujibu wa Takwimu za MNH, Saratani ya Ini ni ya pili kwa...
  19. BARD AI

    #COVID19 Rais Museveni akutwa na Maambukizi ya COVID-19

    Wizara ya Afya Uganda imesema Kiongozi huyo alianza kupata dalili za homa ya Mafua makali ingawa hali yake sio mbaya na anaendelea na kazi zake kama kawaida huku akipata matibabu. Mapema Juni 7, 2023 baada ya kutoa hotuba kwa Taifa katika viwanja vya Bunge, Museveni (78), alidokeza kuwa huenda...
Back
Top Bottom