Chembe hai za ubongo (neuronal cells) zina utando unaoitwa Sphingolipids( Haya ni mafuta maalum ya ubongo) na mojawapo yanaitwa Sphingomyelin.. mafuta haya husaidia kusafirisha taarifa ( impulse) ambayo huwa katika mfumo wa umeme( action potential).Taarifa ya kusikia , kuona , maumivu nk...
Habari Ndugu zangu!
Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio!
Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote!
Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye mazoezi! Japo bado sioni mafanikio!
Jamani ninahitaji Sana wa kupata watoto umri wangu umesonga, Ndoa...
Hebu tupeane experience.
Mie gono ya kwanza kabisa nilipata mwaka 2012, na dem alonipa ni alikua kisu balaa tena chuoni na nilihangaika kinoma kumpata, sikutegemea kama angekua anaumwa ugonjwa aina hiyo kwa classy alokua anajiweka.
Aisee Jana nimekutana na brother mmoja anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba ulimi na ni muda mrefu sasa anaendelea na tiba ila hajapona nimeona huruma sana haongei analia anadai mwanamke wake alimloga ila me nikasema Nika tafute mtandaoni chanzo cha huo ugonjwa nikakuta unaitwa Glossitis na ni...
Kama kunamtu anauelewa au alishawahi kukutwa na hali hii naomba ushauri au experience yake.
Tuligundua mtoto ana mafindofindo yamevimba alipokuwa na umri wa miaka miwili. Tulijaribu kumtibu traditionally. Kuna dawa flani tuu ya kienyeji ya kuyachua kwa siku mbili yanakwisha yenyewe. Tumekuwa...
Wakuu
Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus.
Magonjwa yasiyoambukiza
-magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo.
Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
Serikali ya Peru imetangaza kupitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia kuwa wana changamoto ya Ugonjwa wa Akili na kuwa wanastahiki Huduma za Afya ya Akili.
Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch (HRW) limekosoa uamuzi huo wa Serikali na kueleza kuwa haioni kama watu...
Salaam, shalom!!
Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC?
NB: Nia ya kuuliza swali hili ni njema, inalenga kujua jinsi Gani Tanzania ilivyobarikiwa(...
Zifuatazo ni faida chache walizonazo Wagonjwa wote wa Pumu ( Asthma ) duniani
1. Wengi wao huwa ni Werevu sana
2. Wataugua Magonjwa yote ila kamwe hawatapa UKIMWI ( Dally Kimoko )
3. 99% huwa au huja kuwa Matajiri sana kwani Kiasili huu ni Ugonjwa wa Kitajiri na Matajiri
4. Katika Mapenzi...
Kipindi Cha Nyuma Miaka Ya 2000- 2012 Katikati Hapo Mashuleni Wasichana Walikumbwa Sana Na Chekelea, Hasa Bording School Walimu Walichokuwa Wanafanya Ni Kutenga Siku Za Outing Day Kila Mwisho Wa Mwezi. Au Kualika Shule Jirani Kwa Ajili Ya Debate Hasa Shule Za Boys. Baada Ya Debate Kunakuwa Na...
TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida
Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno kwenye uke au kumea kwa nywele kwenye ovari
Japo sio kitu kinachompa maumivu muhusika na hili...
Je umeshawahi kukutana na mtu mwenye hali hii hapa chini kwenye picha katika sehemu yake ya kwapa/sehemu za siri?
Hali hiyo hapo juu kwenye picha ni ugonjwa hujulikanao kwa kitaalamu kama Trichomycosis (trichobacteriosis).
Trichomycosis ni hali ambayo inahusisha ukuaji wa bakteria kwenye...
Habarini za wakati huu memberz wenzangu.
Nimekuja humu kuomba ushauri/ tiba ya ugonjwa unaonisumbua.
Ni takriban mwezi wa 6 huu nagusa mfano wa kipele/kinundu kirefu kinachouma ndani ya uke (nikilala chali nakishika kabisa).
Awali nilidhani huenda ni mchubuko tu nikajua nitapona hvo sikutilia...
Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha
Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
Maisha mengi tuliyonayo yalianza kama picha inayojengeka akilini. Hakuna mwanadamu asiyependa vitu vizuri.
Ushindani na matamanio ya mwanadamu yanazua mambo mengi. Pale unajaribu hili na lile ili kupata vizuri halafu ukavikosa ndipo akili inapoanza kuchanganyikiwa.
Zipo nyuzi nyingi za...
Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia Sekunde 30 tu Kuziongelea na Kuzisifia Simba na Yanga.
Hivi ni nani Aliyewaroga sasa baadhi ya...
Princess of Wales, Kate Middleton ametangaza kuwa anapatiwa matibabu wa ugonjwa wa Saratani baada ya kugundulika nao.
Taarifa hii inakuja baada ya sintofahamu ya muda mrefu kidogo waliokuwa nayo Waingereza kuhusu kutokuonekana hadharani kwa Princess of Wales na hali yake ya kiafya ikoje
Habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.